Paul Makonda Special Thread: Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Paul Makonda; Make Arusha Great Again

Paul Makonda Special Thread: Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Paul Makonda; Make Arusha Great Again

Sasa Ukiwa Mbunge utatatua vipi hizo shida hata ukisikiliza? Ni lazima uwe na executive orders iwe kwenye chama au Serikalini.

Pili inawezekana nyie ni wageni wa siasa.Mtu wa kwanza kutumia staili hii Kwa Wakuu wa Mikoa ni Amos Makalla since early days akiwa RC wa Dar,Makonda ameanza kufanya hivi Sasa hivi ila awamu ya Magu hajawahi fanya.

Pia RC mwingine ambae Huwa anatumia hii staili Toka kitambo ni Juma Homera wa Mbeya.

Tofauti Yao na Makonda ni kwamba Makonda ana pesa alizopata Kwa kuwa na bucking ya Marais wote,ana hela za kulipa vyombo vya Habari nk
huna haja ya kua na executive orders hali ya kua unatumia departments na wakuu wake kudeal na tuisue tudogotudogo ambavyo responsible official ama kwa woga, uzembe, uvivu ama uwezo mdogo wameshindwa kuyatatua kwa hiyari yao mpaka wawe forced like that 🐒

na mbona mambo yaneenda vizuri tu, issues zinakua solved na mambo yanakwenda vizuri tu 🐒

actually,
hao ambao tayari unasema wameshawahi kufanya kama ambavyo anafanya Makonda, yes inawezekana walifanikiwa sana but communications hawakuitumia ipasavyo, na haikufahamika walifanikiwa kwa kias gani, and that is their weakness 🐒
 
Tatizo la ngozi nyeusi ni ujinga na ujuaji na kujifanya wenye hekima kumbe ni majizi yanayoumiza wananchi! Kiongozi yeyote Afrika mwenye kushughulika na matatizo ya watu wa hali ya chini Viongozi wenzake hawawezi kumpenda!
Watampendaje wakati wanaona anamwaga mboga zao,watoto wao watakula wapi,ada watapata wapi!? Basi kumbe wote tuajiriwe kwenye siasa na utumishi ili watoto wetu waende shule!!
 
Kwa binadamu yeyote anayetamani kuona Tanzania inapiga hatua ya maendeleo katika kila nyanja, basi bila shaka atakuwa anafurahishwa na jitihada za Makonda katika kutatua kero za wananchi.

Makonda ni mbunifu sana. Popote alipo lazima watu wamsikilize. Na hii ni kutokana na yeye mwenyewe kupenda kusikiliza.

Uenda asifanikiwe kwenye kila analolianzisha. Ila nia yake daima huwa ni njema. Dunia ni ngumu sana. Kuna watu wana nguvu na wanafanya kila wawezalo kukwamisha maendeleo kwa maslahi yao binafsi.

Makonda ni mpambanaji, mbunifu, msikivu, mpenda haki.
visionary leaders ndivyo walivyo 🐒
 
Ati Specialist wa kutatua kero? je umejiuliza hizo kero zinasababishwa na nini?
I mean chanzo cha hizo kero ni nini? tuanzie hapo kwanza.
Ukishapata jibu, tafuta maana ya "Reconciliation".
 
Nina mashaka ni movies zimetengenezwa ili ionekane CCM inashugulikia kero za watu! Vipi huko alikopita wakati akiwa mwenezi kero za wananchi zilitatatuliwa?
Makonda angejikita kukamata mafisadi yaliyotajwa kwenye ripoti za CAG na kuyafikisha mahakamani,hapa tungemwona ni mwamba kweli kweli.
Braza are u seriously kweli.? Hiv hio kaz ndio unahis anapaswa kufanya yeye.bila shka nyie ndio wale boda bao hawakupewa hela ya mafuta kwnye maandamano ya lisu
 
Tangu kuteuliwa kwa RC Makonda Arusha, Lema ni kama amepotea, watu wapo bize na makonda in short kama hali itaendelea hivi hivi A town Lema ana kazi sana.

Utendaji kazi wa RC unawakosha watu na kuona jinsi chama chao cha mapinduzi ni sikivu nenda uone jinsi watu wanavyosaidiwa kero zao.

Huu muziki ukiendelea hivi hivi kelele za kina Lissu zitakuwa maeneo mengine ila sio Arusha, Istand to be corrected.
Aliwahi kuwa rc dar hakuna kilichobadilika

Aliwahi kuwa mwenezi zaidi ya makelele na misafara hakuna kilichobadilika

Dogo mabadiliko ya kweli yataletwa na sera za kitaifa

Pambania katiba mpya acha ushabiki wa kipumbavu
 
Tangu kuteuliwa kwa RC Makonda Arusha, Lema ni kama amepotea, watu wapo bize na makonda in short kama hali itaendelea hivi hivi A town Lema ana kazi sana.

Utendaji kazi wa RC unawakosha watu na kuona jinsi chama chao cha mapinduzi ni sikivu nenda uone jinsi watu wanavyosaidiwa kero zao.

Huu muziki ukiendelea hivi hivi kelele za kina Lissu zitakuwa maeneo mengine ila sio Arusha, Istand to be corrected.
Mapopoma kwa kujisifu.
 
Mkuu wa mkoa Arusha akakamate mafisadi yaliyotajwa kwenye ripoti ya CAG badala ya kutatua matatizo ya raia wa Arusha?
Kitu pekee makonda anaweza kutatua ni marinda tu.
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Mkuu wa mkoa wa Arusha katika kile kinachoitwa kusikiliza kero za wananchi jana akiwa amevalia kinadhifu mavazi ya kofia na tisheti vyenye maneno "Jesus did it" amezungumzia mambo mawili muhimu sana,

1. Wakuu wa mikoa hawapewi maelekezo yoyote ni kero za aina gani wanatakiwa kushughulikia kusikiliza au kutokusikiliza!

2. Mkuu wa mkoa ni mwenyekiti wa mwenendo wa nidhamu/maadili wa mahakama za mwanzo katika mkoa wake, jaji mfawidhi ni mjumbe katika kikao chake.

Sheria namba 4 ya mwaka 2011 ya uendeshaji mahakama inamfanya mkuu wa mkoa kuwa mpokeaji malalamiko dhidi ya uamuzi wa kesi wa hakimu.

Wanaweza kukaa kikao na jaji mfawidhi kumuambia achukue hatua kwa baadhi ya mambo. Mwenyekiti wa nidhamu kitaifa wa mahakama ni Rais!
 
Kwa kazi kama hii na ikipigwa back to back kila wiraya , asee 2025 mama saa tatu asubuh kafunga mahesabu arusha. Nasemea hivyo sabab lema alirudi alijua anakuja kuichukua arusha ila sasa battle yake,hapo bado kamati ya ufundi
Muda bado mbunge ni Mrisho Gambo Arusha Lema ni mwananchi wa kawaida kama wananchi wengine kwa hiyo ongelea mambo ya Gambo na Makonda.
 
Back
Top Bottom