Paul Makonda Special Thread: Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Paul Makonda; Make Arusha Great Again

makonda ni mpumbavu... mpumbavu huungwa mkono na wa pu,bavu
 
Kwanza hatujitaji vyama vya siasa. Tunataka tu viongozi wanaotatua kero na kuleta maendeleo ya nchi. Achana na mambo ya vyama hapa.
 
System imeoza. Kuna jamaa mmoja polisi wanamuigopa ni hatari.
 
Katika vijana waliobaki Ccm wenye udhubutu na ubunifu na nnaowakubali ni Makonda peke ake, ana mapungufu kibinadamu kama binadamu wengine tulivyo lakini ukweli ni lazima usemwe, ni kiongozi mzuri na atakuja kutusaidia sana kama Taifa mbele ya safari tumpe maua yake tusisubili aondoke ndio tuanze masifa ya unafiki.
 
MAKONDA SIO KIONGOZI NI Mzee wa Maigizo vipi mbona hatumwoni kupanda matrekta,Malori mikokoteni?
 
Kwa mfano wanawake waliotelekezwa na waume zao na kuachiwa watoto bila kuhudumiwa mahitaji ya msingi.

Unafikiri nani source ya tatizo? Je kila tatizo ni CCM?
Nani kaleta umaskini katika nchi yetu? Je wale maadui 3 ni nani anatakiwa kupambana nao kama si CCM na Serikali yake tangu 1961.
Hujui kwa nini wanaume wanakimbia familia zao hadi leo kijana?
Unafikiri hili tatizo linaweza kuondoka kwa maelekezo ya Makonda ?
 
Makonda amempoteza lema kabisa Arusha kitu makonda kinachombeba ni kutembea sambamba na walala hoi lema yeye ni mtu wa kelele tu huku akineemesha familia yake na unabii feki Mimi naipenda chadema lakini Kwa jinsi makonda anavyo floo sioni wa kumzuia Kwa Arusha labda chama changu chadema kitafute mgombea atakae tembea na bit za makonda Ila Kwa lema sioni ushindi
 
stupid, aseme pia aliowapotza na kuwaua. Sheitwani mkubwa. Kuna siku atawataja
 
Makonda ndiye habari ya mujini sasa hivi. Nyumbu wakitaka siredi zao ziwe na wachangiaji wengi basi wanaanzisha post kuhusu makonda!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…