Paul Makonda Special Thread: Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Paul Makonda; Make Arusha Great Again

Kwa mujibu wa kamusi ya kiswahili neno Mapooza ni watu ambao wanasifu Kila kitu hata kama Cha kipuuzi(chawa).Hivyo,alimaanisha chawa hawatakuja wapya zaidi ya Hawa wa sasa ambao watz wamewapuuza.
 
Umeangalia matokeo? GT anaangalia chanzo. Lakini Je, unao uthubutu wa kumsema dada katika imani? Huyo ndio tatizo kwa sababu Gwajima alishamvua nguo nje ndani, uwezo wake ulishamvua nguo mapewa, na hafai kweli. Ajabu dada yako kamteua.

Sasa hapo tatizo la akili ndogo ni nani? Makonda asingeweza kukataa uteuzi hata kama anajijua ni chenga
 
Kuna mijitu imezaliwa ili iwe michawa kwa wenzao,sijui hata wazazi wao wanajisikiaje kuwa na toto kama hilo!
 
Hapo alifeli,amefeli,na akiendelea nae atazidi kufeli Hilo halina ubishi,Liko wazi,may be aliona ampe second chance but habebeki...
 
kazi kazi tu..
viva comrade Makonda viva πŸ’ͺ
 
Umeupiga mwingiii sana, Mungu akubariki sana
Ila utumie Abood huyo New Force achana nae ni kichaa
Nitafanya hivyo ephen. Nakuahidi kwa dhati ya moyo wangu na kwa upendo mkubwa kama wa jua nitafanya hivyo na nitatekeleza.
 
Gwajima mzee wa connection kumbe nae ni Askofu?
 
Nitafanya hivyo ephen. Nakuahidi kwa dhati ya moyo wangu na kwa upendo mkubwa kama wa jua nitafanya hivyo na nitatekeleza.
Usijali! siku yoyote Mungu akikufanikisha utatimiza ahadi yako, hata ikiwa mwakani.
 
Hana mamlaka ya kumfuta mtu yoyote na Wala hawezi na Hana nguvu yoyote " Gwajiba hajawahi kufufua hata panya" nianeno yadogo wake ambaye ni wakili msomi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…