Paul Makonda Special Thread: Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Paul Makonda; Make Arusha Great Again

Kwema Wakuu!

Mpaka hivi leo sidhani kama kuna nabii au mtume wowote ambaye anaweza kuwa na kiherehere cha kukatiza mbele ya Makonda. Kwa hali ilivyo kila anayejaribu kupita mbele yake anakatwa aidha mkia au pembe.

Kitu pekee ambacho nakiona wenye miungu wameamua kujikomba kwake kwa sababu hawana chaguo lolote kwani wakiwa kinyume naye ni mwendo wa kakatwa mkia au pembe. Nani yupo tayari kukatwa mkia bhana, nani atakubali akatwe pembe ilhali pembe ni silaha. Ni mwendo wa kujikomba.

Unajua kwenye vita hakuna jambo baya kama utangaze vita public na Watu wote wajue kuwa kuna battle baina ya Fulani na fulani alafu upasuliwe.
Hicho ndicho kilichotokea. Baina ya Gwajima na Makonda.

Kwa sasa kama ni mechi tunaweza kusema Gwajima 1 Makonda 3 (1-3). Dakika ni ya sabini, dalili za kurudisha hazipo zaidi labda kuongezwa.

Sisi watazamaji
 
Nashauri admini watuweke members kwenye magruop
Wenye akili sana, wa kati na wajinga wapumbavu.

Ni aibu kuchangia group Moja na mtu kama huyu, wazungu wanasema "comparing incomparable"


Unawezaje kumlinganisha lissu na takataka

Wenye akili tunajadili nyufa za taifakama mapungufu muungano, ufisadi, uwajibikaji hafifu, huyu bwege anajadili watu

Nadhani tuandike katiba kwanza
 
Mkuu kuna kitu kinakuwa extra kuhusu maombi kitu nachokifahamu Makonda akipatwa na dhiki kubwa huwa anaomba sana kwa Mungu amvushe katika majaribu yake thus y anakua mshindi na Kweli Mungu anaisikia dhiki yake anamuinua tena katika viwango vya juu hili hata sisi tunaweza kulifanya na tukapata matokeo makubwa.
 
a) Hana connection na mabeberu hana usakaji kwenye kazi. Hajipendekezi kwa wasiomuhusu.
=============
b) Natamani sana 2030 achukue form. Viatu vya Magufuli vinamtosha kabisa. Acheni kumsakama
Hapo (b) labda kwa kudra za Mwenyezi Mungu tu na si vinginevyo, maana wenye roho mbaya, wara rushwa na majambazi wana umoja na nguvu sana.
 
Kw sura au
 
Yuko vizuri sana.
Kama kuna changamoto ni zile za kawaida katika uendeshaji na taratibu za kiutawala.
Ni mfano mzuri wa vipaji kwa vijana wanaopewa madaraka makubwa wasio waoga katika kuamua na kutenda kwa ufanisi na weledi hata kama wachache watalalamika.
 
🤣🤣🤣
 
Kuna watu wana mihemko ya akili.Utapata shida sana kuwaelimisha.
 
Sasa Lissu ameingiaje hapo wewe mnafiki?. Makonda yupo serikalini ila Lissu yupo uraiani unawalinganishaje.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…