Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
Kwema Wakuu!
Mpaka hivi leo sidhani kama kuna nabii au mtume wowote ambaye anaweza kuwa na kiherehere cha kukatiza mbele ya Makonda. Kwa hali ilivyo kila anayejaribu kupita mbele yake anakatwa aidha mkia au pembe.
Kitu pekee ambacho nakiona wenye miungu wameamua kujikomba kwake kwa sababu hawana chaguo lolote kwani wakiwa kinyume naye ni mwendo wa kakatwa mkia au pembe. Nani yupo tayari kukatwa mkia bhana, nani atakubali akatwe pembe ilhali pembe ni silaha. Ni mwendo wa kujikomba.
Unajua kwenye vita hakuna jambo baya kama utangaze vita public na Watu wote wajue kuwa kuna battle baina ya Fulani na fulani alafu upasuliwe.
Hicho ndicho kilichotokea. Baina ya Gwajima na Makonda.
Kwa sasa kama ni mechi tunaweza kusema Gwajima 1 Makonda 3 (1-3). Dakika ni ya sabini, dalili za kurudisha hazipo zaidi labda kuongezwa.
Sisi watazamaji