Paul Makonda Special Thread: Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Paul Makonda; Make Arusha Great Again

Makonda na Lisu ni watu wawili tofauti. Makonda ni kiongozi mzuri na mchapakazi mzuri na Lisu ni mwanaharakati mzuri na mjenga hoja mzuri ambaye ana uwezo mkubwa wa kuitetea na ikaaminika hata iwe ya uongo.
Lissu simwamwini hata kidogo
 
Watendaji ndo mitambo ya wizi wa fedha za umma. Ngoja wapigwe spana
Mkuu sio kweli, unawaonea bure, usihukumu watendaji wote kwa makosa ya watumishi wachache waovu. Usimeze matango pori ya makonda bila kutafuna!
 
βœοΈπŸ“πŸ‘ŒπŸ‘πŸ‘πŸ€πŸ™πŸ’πŸŽπŸ›‘οΈπŸ‘‘
 
Makonda ni kiongozi mzuri sana, mbona kila mwenye youtube anaona matendo yake?
 
aina ya uongozi wake ina athari au matokeo chanya sana kwa jamii nzima anayoiongoza mathalani kukamilishwa kwa wakati madarasa, vitua vya afya na zahanati, barabara, kero na changamoto binafsi za wanainchi kwa mfano madai, ardhi n.k.

Lakini pia hatua anazochukua kuzuia na kupambana na rusha inaponya moyo wa kukata tamaa kwa wanainchi nchi nzima πŸ’

msaada wake ni zaidi ya tiba ya akili, moyo na mchecheto wa waTanzania waliokata tamaa kwenye kero na changamoto mbalimbali walizozipambania miaka mingi sana....

kwa vijana nchi nzima, ni somo zuri na pana, sana la uthubutu, kujifunza kwa makonda πŸ’

kwa wenye chuki nchi nzima dhidi yake, bado Makonda atakua kero na maumivu makali sana dhidi ya nafsi na mioyo yao. Daima hawataona anachokifanya kama ni muhimu,πŸ’
 
Unachosema ni nadharia isiyo na uhalisia. Hao wakuu wa mikoa wengine waliokaa kimya mbona hiyo approach yako haitatui matatizo katika maeneo ya utawala wao?.Ni kweli hataweza kumaliza matatizo yote kwani viongozi wahujumu ni wengi na yeye hana mamlaka ya mwisho juu yao na wana umoja katika kumshambulia na kumkwamisha lakni atafanikiwa kupunguza sana changamoto za wananchi; pia amejipambanua kuwa yeye ni kiongozi wa watu.

Dua za watu wema anaowasaidia kutatua matatizo yao na sisi wengine wenye mapenzi mema na nchi hii zitamsaidia.
 
Alimzaba Kofi Warioba, kisha akasaidia kumtoa kwenye mkutano wa Katiba.
 
Makonda ni TINGATINGA jingine la Tanzania. Tulikuwa na Mwanamapinduzi, Mkombozi wa kweli wa Watanzania, Bulldozer, JPM, lakini sasa yupo Makonda anamwakilisha vizuri kabisa JPM.
Kwa kifupi, Makonda hata akipewa ubalozi wa nyumba 10, atawafunika wote walio juu yake bila kujali vyeo vyao.
 
Makonda ni kiongozi mzuri sana, mbona kila mwenye youtube anaona matendo yake?
Hapa tunataka ushuhuda wa watu halisi aliowagusa moja kwa moja kwa namna yoyote, sio story za youtube.
 
Kwangu mimi Makonda ni mtu muhimu maana anatuambia sasa ni muda wa mabadiriko na anajaribu kutuambia watendaji wetu ni watu wa namna gani.
 
Hoja nzuri ila labda wengi aliowagusa hawamo humu JF. Tutawasoma waliomo na watakaoona uzi wako na kutaka kuandika.

Makonda oyeeeee
Yani hakuna hata mtu mmoja huku JF aliyewahi kuguswa kwa njia chanya na Makonda?!
Hakuna hata mtu mmoja humu ambaye ndugu yake, rafiki au jamaa wa karibu aliyewahi kuguswa na Makonda?!
 
Kwangu mimi Makonda ni mtu muhimu maana anatuambia sasa ni muda wa mabadiriko na anajaribu kutuambia watendaji wetu ni watu wa namna gani.
Wewe umewahi kuguswa moja kwa moja na Makonda?
Kuna mtu yeyote wa karibu unayemfahamu aliyewahi kutatuliwa kero/shida yake ikaisha na Makonda?
 
Umeshakubali kwamba watu wengi sana wanakwenda kwenye mikutano yake πŸ‘
Hilo moja pekee katika siasa za Tanzania ameshashinda na ataendelea kushinda πŸ‘

No matter anatatua kero au hatatui πŸ‘πŸ€ 
 
Hata kama mtu ana hasira na makonda ya aina yeyote ile lakini kama unaujua au unausikia ubadhirifu wa mali za Nchi zinavyofanywa na wateule ni lazima utamuunga mkono Makonda angalau kwa ujasiri alionao wa kuukemea huo Ushetani tunao usikia kila kona ya Nchi πŸ‘πŸ˜³
 
Reactions: RMC
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…