Paul Makonda Special Thread: Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Paul Makonda; Make Arusha Great Again

Makonda na Lisu ni watu wawili tofauti. Makonda ni kiongozi mzuri na mchapakazi mzuri na Lisu ni mwanaharakati mzuri na mjenga hoja mzuri ambaye ana uwezo mkubwa wa kuitetea na ikaaminika hata iwe ya uongo.
Lissu simwamwini hata kidogo
 
Watendaji ndo mitambo ya wizi wa fedha za umma. Ngoja wapigwe spana
Mkuu sio kweli, unawaonea bure, usihukumu watendaji wote kwa makosa ya watumishi wachache waovu. Usimeze matango pori ya makonda bila kutafuna!
 
Haisaidii kitu. Makonda hataweza kutatua kero za wakazi wa Arusha kwa approach yake hiyo. Ata'burn out' kwa sababu matatizo ni mengi mno kutatuliwa na mtu mmoja. Yeye, kwa maoni yangu, si mbadala ya vyombo vilivyopo vya utatuzi wa migogoro. Kwa sasa watu wengi wanahudhuria mikutano yake ndiyo, na ni wangapi wanaondoka pale matatizo yao yakiwa yametatuliwa? Kitu ambacho angekifanya ni kuimarisha vyombo vilivyopo vya utatuzi wa migogoro ya wananchi - kujua their strengths na weaknesses, then to build on their strengths and hapo ndipo kungekuwa na utatuzi wa kudumu wa migogoro. Lakini kwa approach yake ana'solve' tatizo kwa ku'create' tatizo lingine. Wapi na wapi? Hataweza kufanikiwa kwa approach yake. Kama Dar hakufanikiwa, hata huko hatafanikiwa as long as anaendelea kutumia the same approach.
✍️📝👌👍👏🤝🙏💐🎁🛡️👑
 
Makonda ni kiongozi mzuri sana, mbona kila mwenye youtube anaona matendo yake?
 
Huu uzi uwe wa kuwaumbua kwa ushahidi usio na mashaka wale wote wanaomtupia mawe Paul Makonda aliyejipambanua kama mtetezi wa wananchi wanyonge na pia kumpa maua yake, hivyo

Kama umewahi kutatuliwa shida yako ngumu na Paul Makonda weka ushuhuda hapa, tuelezee.

Kama kuna ndugu yako, jamaa au rafiki unayemjua binafsi aliyewahi kutatuliwa shida yake ngumu na Paul Makonda weka ushuhuda hapa, tuelezee.

Kama kuna changamoto/kero muhimu ya mtaani kwako iliyowahi kutatuliwa na Paul Makonda weka ushuhuda hapa, tuelezee.

Hembu tuwaonyeshe kwa ushahidi na ushuhuda thabiti wabaya wake kwamba anayofanya kiongozi huyu sio maigizo, hadaa, hearsay na kutafuta kiki tu bali ameacha alama za kweli za historia zisizofutika kwa watu halisi.
aina ya uongozi wake ina athari au matokeo chanya sana kwa jamii nzima anayoiongoza mathalani kukamilishwa kwa wakati madarasa, vitua vya afya na zahanati, barabara, kero na changamoto binafsi za wanainchi kwa mfano madai, ardhi n.k.

Lakini pia hatua anazochukua kuzuia na kupambana na rusha inaponya moyo wa kukata tamaa kwa wanainchi nchi nzima 🐒

msaada wake ni zaidi ya tiba ya akili, moyo na mchecheto wa waTanzania waliokata tamaa kwenye kero na changamoto mbalimbali walizozipambania miaka mingi sana....

kwa vijana nchi nzima, ni somo zuri na pana, sana la uthubutu, kujifunza kwa makonda 🐒

kwa wenye chuki nchi nzima dhidi yake, bado Makonda atakua kero na maumivu makali sana dhidi ya nafsi na mioyo yao. Daima hawataona anachokifanya kama ni muhimu,🐒
 
Haisaidii kitu. Makonda hataweza kutatua kero za wakazi wa Arusha kwa approach yake hiyo. Ata'burn out' kwa sababu matatizo ni mengi mno kutatuliwa na mtu mmoja. Yeye, kwa maoni yangu, si mbadala ya vyombo vilivyopo vya utatuzi wa migogoro. Kwa sasa watu wengi wanahudhuria mikutano yake ndiyo, na ni wangapi wanaondoka pale matatizo yao yakiwa yametatuliwa? Kitu ambacho angekifanya ni kuimarisha vyombo vilivyopo vya utatuzi wa migogoro ya wananchi - kujua their strengths na weaknesses, then to build on their strengths and hapo ndipo kungekuwa na utatuzi wa kudumu wa migogoro. Lakini kwa approach yake ana'solve' tatizo kwa ku'create' tatizo lingine. Wapi na wapi? Hataweza kufanikiwa kwa approach yake. Kama Dar hakufanikiwa, hata huko hatafanikiwa as long as anaendelea kutumia the same approach.
Unachosema ni nadharia isiyo na uhalisia. Hao wakuu wa mikoa wengine waliokaa kimya mbona hiyo approach yako haitatui matatizo katika maeneo ya utawala wao?.Ni kweli hataweza kumaliza matatizo yote kwani viongozi wahujumu ni wengi na yeye hana mamlaka ya mwisho juu yao na wana umoja katika kumshambulia na kumkwamisha lakni atafanikiwa kupunguza sana changamoto za wananchi; pia amejipambanua kuwa yeye ni kiongozi wa watu.

Dua za watu wema anaowasaidia kutatua matatizo yao na sisi wengine wenye mapenzi mema na nchi hii zitamsaidia.
 
Alimzaba Kofi Warioba, kisha akasaidia kumtoa kwenye mkutano wa Katiba.
 
Makonda ni TINGATINGA jingine la Tanzania. Tulikuwa na Mwanamapinduzi, Mkombozi wa kweli wa Watanzania, Bulldozer, JPM, lakini sasa yupo Makonda anamwakilisha vizuri kabisa JPM.
Kwa kifupi, Makonda hata akipewa ubalozi wa nyumba 10, atawafunika wote walio juu yake bila kujali vyeo vyao.
 
Makonda ni kiongozi mzuri sana, mbona kila mwenye youtube anaona matendo yake?
Hapa tunataka ushuhuda wa watu halisi aliowagusa moja kwa moja kwa namna yoyote, sio story za youtube.
 
Kwangu mimi Makonda ni mtu muhimu maana anatuambia sasa ni muda wa mabadiriko na anajaribu kutuambia watendaji wetu ni watu wa namna gani.
 
Hoja nzuri ila labda wengi aliowagusa hawamo humu JF. Tutawasoma waliomo na watakaoona uzi wako na kutaka kuandika.

Makonda oyeeeee
Yani hakuna hata mtu mmoja huku JF aliyewahi kuguswa kwa njia chanya na Makonda?!
Hakuna hata mtu mmoja humu ambaye ndugu yake, rafiki au jamaa wa karibu aliyewahi kuguswa na Makonda?!
 
Kwangu mimi Makonda ni mtu muhimu maana anatuambia sasa ni muda wa mabadiriko na anajaribu kutuambia watendaji wetu ni watu wa namna gani.
Wewe umewahi kuguswa moja kwa moja na Makonda?
Kuna mtu yeyote wa karibu unayemfahamu aliyewahi kutatuliwa kero/shida yake ikaisha na Makonda?
 
Haisaidii kitu. Makonda hataweza kutatua kero za wakazi wa Arusha kwa approach yake hiyo. Ata'burn out' kwa sababu matatizo ni mengi mno kutatuliwa na mtu mmoja. Yeye, kwa maoni yangu, si mbadala ya vyombo vilivyopo vya utatuzi wa migogoro. Kwa sasa watu wengi wanahudhuria mikutano yake ndiyo, na ni wangapi wanaondoka pale matatizo yao yakiwa yametatuliwa? Kitu ambacho angekifanya ni kuimarisha vyombo vilivyopo vya utatuzi wa migogoro ya wananchi - kujua their strengths na weaknesses, then to build on their strengths and hapo ndipo kungekuwa na utatuzi wa kudumu wa migogoro. Lakini kwa approach yake ana'solve' tatizo kwa ku'create' tatizo lingine. Wapi na wapi? Hataweza kufanikiwa kwa approach yake. Kama Dar hakufanikiwa, hata huko hatafanikiwa as long as anaendelea kutumia the same approach.
Umeshakubali kwamba watu wengi sana wanakwenda kwenye mikutano yake 👁
Hilo moja pekee katika siasa za Tanzania ameshashinda na ataendelea kushinda 👁

No matter anatatua kero au hatatui 👁🤠
 
Unachosema ni nadharia isiyo na uhalisia. Hao wakuu wa mikoa wengine waliokaa kimya mbona hiyo approach yako haitatui matatizo katika maeneo ya utawala wao?.Ni kweli hataweza kumaliza matatizo yote kwani viongozi wahujumu ni wengi na yeye hana mamlaka ya mwisho juu yao na wana umoja katika kumshambulia na kumkwamisha lakni atafanikiwa kupunguza sana changamoto za wananchi; pia amejipambanua kuwa yeye ni kiongozi wa watu.

Dua za watu wema anaowasaidia kutatua matatizo yao na sisi wengine wenye mapenzi mema na nchi hii zitamsaidia.
Hata kama mtu ana hasira na makonda ya aina yeyote ile lakini kama unaujua au unausikia ubadhirifu wa mali za Nchi zinavyofanywa na wateule ni lazima utamuunga mkono Makonda angalau kwa ujasiri alionao wa kuukemea huo Ushetani tunao usikia kila kona ya Nchi 👁😳
 
  • Thanks
Reactions: RMC
Back
Top Bottom