Paul Makonda Special Thread: Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Paul Makonda; Make Arusha Great Again

Changamoto ya lissu anaitaka nchi kimaslahi, yan anataka heshima tu, hawezi kuwa mtendaji wa vitendo kama Magufuli
Uliongea naye?. Halafu lini Lissu akadai anataka Urais?
 
Wakati nchi zingine zinawaza kuwa na mtandao wa wireless nchi nzima, sisi tunashabikia mikutano ya kusutana Kama wanawake wambea. Ok tuendelee tu.
 
Hakika Konda anawaongoza vyema abiria.
 
More than a leader??
He is not even a good leader.
 
More than a leader??
He is not even a good leader.
bila shaka unaona hadi aibu 🀣

ni ngumu kueleweka kupinga mambo makubwa anayoyafanya kijana dhidi ya wanainchi, hadharini tena mchana kweupe kila moja anamsikia na kumuona πŸ’
 
Huu ni mkakati maalumu wenye lengo mahususi.
in politics nothing happens out of mere coincidence, everythings are normally well planned, organized, scripted and executed to achieve a certain specific political objectives πŸ’

hilo ni bayana, na ni principle na standard katika sayansi ya siasa za kisasa kitaifa na kimataifa πŸ’
 
Licha ya mapungufu aliyokuwa nazo,ila kwa mambo mengine anayofanya sawa tu
Kwenye hizo halmashauri kuna mijitu wezi,wavivu tu

Ova
Yes,
ni kweli kabisaa, ni mwanadamu ana mapungufu yake kama wanadamu wengine...

but in reality,
kijana amewazidi vitu vingi mno viongozi wa kitaifa wa chama na serikali, hususani approaches, commitments na measures anazochukua kufikia conclusions za changamoto binafsi na za jumla za wanainchi.....

anaeonekana sambamba nae kwa sasa ni huyu kija waziri wa Aridhi Jerry Silaa, na yule wa kilimo Huseni Bashe ingawa nae huwa anawaka moto halafu anapoaa kabisa sijui hua anapatwa na nini. ni rafiki yangu sana huyu kijana πŸ’

ila kijana huyu wa Arusha, akiwasha moto amewasha, mpaka uzime wenyewe πŸ’
 
Tumewashutukia na kikundi chenu kisichozidi watu 10 humu mitandaoni kumpigia promo Makonda.
kumbe uko hapa unahesabu tu watu wanafanya na kusema nini 🀣

eehe na nyinyi mnaopinga kila kitu, mko wa ngapi kwa mfano πŸ’
 
ni aibu na kujifedhehesha tu, kwa watu wanaoinuka na kupinga mambo makubwa yanayofanyika hadharini tena mchana kweupe na huyu kijana πŸ’
Mimi na CCM ni maji na mafuta ila Makonda nampa maua yake kabla hajafa kama Magufuli.
 
Wewe binafsi, jamaa au ndugu yako kuna hata jema mmoja kutoka uongozi wake ambalo mmewahi kuguswa nalo moja kwa moja?
Kuguswa sio lazima iwe personally kwangu au kwa jamaa zangu, mtu anaweza kuguswa na matendo yako hata kwa kuhadithiwa au kuona kwenye Tv, the fact is, Makonda ana tabia ya kishamba anayotakiwa kuiacha, mwerevu huwezi ku solve tatizo moja kwa kutengeneza lingine at the same time.
 
Umeshakubali kwamba watu wengi sana wanakwenda kwenye mikutano yake πŸ‘
Hilo moja pekee katika siasa za Tanzania ameshashinda na ataendelea kushinda πŸ‘

No matter anatatua kero au hatatui πŸ‘πŸ€ 
Sawa. Yaani kwamba ana'raise' false hope ambayo works in his favour, lakini baadaye watu watakapoona hawajasaidiwa itawaumiza zaidi. Lakini huu mchezo wa kudhani mtu mmoja ndiye wokovu inabidi tusiucheze. Mfano, siku tano anatembelea wilaya 5 na huko wanajitokeza mamia ya watu wenye shida na anaongelea shida ya mtu mmoja na anaagiza polisi wamkamate na watu wanashangilia mshutumiwa kukamatwa. Mkutano unamalizika anakwenda sehemu nyingine.

Wangapi matatizo yao yatatatuliwa kwa hiyo mikutano ya hadhara? Lakini pia wananchi kushangilia siyo utatuzi wa tatizo ni feeling tu ya kuona kwamba "fumelingana", lakini pengine huyu aliyekamatwa siyo mhusika na wananchi hao hao watakapoona ameachiwa watadhani haki haijatendeka wakati ushahidi uliopelekwa mahakamani pengine haumtii hatiani. Ushauri wangu ni kwamba kama Makonda anataka kutatua migogoro ya wananchi aimarishe mifumo iliyopo ya utatuzi wa migogoro na pale ambapo haipo iwepo na isimamiwe ili ifanye kazi. Hiyo ndiyo njia inayofanya kazi, otherwise ni cheap politics na watu wengi matatizo yao yatabaki palele.
 
kumbe uko hapa unahesabu tu watu wanafanya na kusema nini 🀣

eehe na nyinyi mnaopinga kila kitu, mko wa ngapi kwa mfano πŸ’
Mwambie makonda anachukua Jimbo la Arusha mjini 2025 Kwa mserereko !!!

Makonda namkubali kiutendaji huyu jamaa,ndio nuru pekee ya chama iliyobaki!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…