econonist
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 20,189
- 29,663
Uliongea naye?. Halafu lini Lissu akadai anataka Urais?Changamoto ya lissu anaitaka nchi kimaslahi, yan anataka heshima tu, hawezi kuwa mtendaji wa vitendo kama Magufuli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uliongea naye?. Halafu lini Lissu akadai anataka Urais?Changamoto ya lissu anaitaka nchi kimaslahi, yan anataka heshima tu, hawezi kuwa mtendaji wa vitendo kama Magufuli
Mtafikaje huko kama kuna wezi?Wakati nchi zingine zinawaza kuwa na mtandao wa wireless nchi nzima, sisi tunashabikia mikutano ya kusutana Kama wanawake wambea. Ok tuendelee tu.
Hakika Konda anawaongoza vyema abiria.ni mtumishi mwenye karama ya kipekee sana.
na hata anaowabaini hawakuwajibika vyema kwenye wajibu na majukumu yao mbalimbali ipasavyo, wana kiri kuzembea au kukosea, wanajutia na hawajiskii vibaya kuelezwa ukweli na kuchukuliwa hatua...
kwa hakika anawazidi mambo mengi sana, viongozi wengi sana wa kitaifa, wa chama na serikali.
mambo yake yanafanyika hadharini tena mchana kweupe....
bila shaka yoyote, ipo kazi maalumu, ambayo Mungu amempatia aitimize kwa manufaa ya watu wa inchi hii. na ndio maana ana ujasiri wa kipekee sana, ana nguvu na sauti ya kimamlaka, haogopi vitisho vya wasiopendezwa nae, hakati tamaa, wala kuyumba katika kuyafikia malengo yake kwa wanainchi, lakini pia kufanikisha ndoto na matarajio ya wanainchi anao waongoza....
awali alipambana na uwajibikaji wa viongozi wa idara na taasisi mbalimbali kwa wanainchi wakadai anaigombanisha serikali.
alitumia Top Down Approach kutatua changamoto za wanainchi...
hivi sasa ameamua kuanzia chini kwa wanainchi kupelekea juu kwa wanaowajibika na mipango na miradi mbalimbali kwa manufaa ya wanainchi. hivi sasa anautmia Bottom Up Approach kutatua kero na changamoto za wanainchi....
hata hivyo,
kwa narratives zote mbili, tangu akiwa mwenezi wa chama, mkuu wa mkoa wa Arusha, amefanikiwa kwa kiasi kikubwa kugusa mioyo, ndoto na matarajio ya wanainchi nchi nzima. Kijana huyu ni zawadi na hazina ya kipekee sana kwa Tanzania.
Inafaa kijana huyu aombewe na kila Mtanzania, na afikiriwe kwenye miongoni mwa nafasi za kipekee sana, za juu humu nchini kwa wakati muafaka utakapofika 🐒
More than a leader??check approaches zake katikati kufikia conclusions za malengo yake na matarajio ya wanainchi.....
Top Down Approach na Bottom Up Approaches, zinafanyika hadharini mchana kweupe ....
publicity ipi unataka tena?
every media platforms ni Makonda tu. which publicity is more than that?🐒
ndio maana nasema this gentleman is more than a leader 🐒
ni aibu na kujifedhehesha tu, kwa watu wanaoinuka na kupinga mambo makubwa yanayofanyika hadharini tena mchana kweupe na huyu kijana 🐒Hakika Konda anawaongoza vyema abiria.
We umekaa kichama zaidi..Huyo ndio Mwamba Mwenyewe Paul Christian Makonda. Kijana jasiri kusini mwa jangwa la sahara.
bila shaka unaona hadi aibu 🤣More than a leader??
He is not even a good leader.
in politics nothing happens out of mere coincidence, everythings are normally well planned, organized, scripted and executed to achieve a certain specific political objectives 🐒Huu ni mkakati maalumu wenye lengo mahususi.
Yes,Licha ya mapungufu aliyokuwa nazo,ila kwa mambo mengine anayofanya sawa tu
Kwenye hizo halmashauri kuna mijitu wezi,wavivu tu
Ova
hayo ya Mungu sina maoni nayo 🐒kuna mmoja alikuwa anaombewa kila siku akafia kwenye BUSTAN PALE MZENA
kumbe uko hapa unahesabu tu watu wanafanya na kusema nini 🤣Tumewashutukia na kikundi chenu kisichozidi watu 10 humu mitandaoni kumpigia promo Makonda.
Mimi na CCM ni maji na mafuta ila Makonda nampa maua yake kabla hajafa kama Magufuli.ni aibu na kujifedhehesha tu, kwa watu wanaoinuka na kupinga mambo makubwa yanayofanyika hadharini tena mchana kweupe na huyu kijana 🐒
Kuguswa sio lazima iwe personally kwangu au kwa jamaa zangu, mtu anaweza kuguswa na matendo yako hata kwa kuhadithiwa au kuona kwenye Tv, the fact is, Makonda ana tabia ya kishamba anayotakiwa kuiacha, mwerevu huwezi ku solve tatizo moja kwa kutengeneza lingine at the same time.Wewe binafsi, jamaa au ndugu yako kuna hata jema mmoja kutoka uongozi wake ambalo mmewahi kuguswa nalo moja kwa moja?
Sawa. Yaani kwamba ana'raise' false hope ambayo works in his favour, lakini baadaye watu watakapoona hawajasaidiwa itawaumiza zaidi. Lakini huu mchezo wa kudhani mtu mmoja ndiye wokovu inabidi tusiucheze. Mfano, siku tano anatembelea wilaya 5 na huko wanajitokeza mamia ya watu wenye shida na anaongelea shida ya mtu mmoja na anaagiza polisi wamkamate na watu wanashangilia mshutumiwa kukamatwa. Mkutano unamalizika anakwenda sehemu nyingine.Umeshakubali kwamba watu wengi sana wanakwenda kwenye mikutano yake 👁
Hilo moja pekee katika siasa za Tanzania ameshashinda na ataendelea kushinda 👁
No matter anatatua kero au hatatui 👁🤠
Asante Mungu Mwenyezi Kwa zawadi ya maisha ya makonda!!Asante Samiah Kwa uteuzi wa makonda na kumrudisha tena !!MAKONDA AAINISHA MPANGO KAZI WA VIPENGELE SITA: LETS MAKE ARUSHA GREAT AGAIN!
April 8, 2024
Arusha
⦁ M
Mwambie makonda anachukua Jimbo la Arusha mjini 2025 Kwa mserereko !!!kumbe uko hapa unahesabu tu watu wanafanya na kusema nini 🤣
eehe na nyinyi mnaopinga kila kitu, mko wa ngapi kwa mfano 🐒