Paul Makonda Special Thread: Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Paul Makonda; Make Arusha Great Again

Kwa kichwa cha habari tu umeeleweka sizan km unaitaji kuongeza maelezo mengne
Huo ndo ukwel mtu yuko Musoma,Iringa ila anamuongelea vibaya makonda utazan ni kiongozi wake afu mwisho wa sku wanalalamika umaarufu wa makonda wakat wao ndo wanausababisha
 
uko sahihi sana :whatBlink:
 
Sisi binafsi tulikua na mgogoro wa eneo letu na mvamizi alikua na hela,wakat akiwa Rc Dar siku tukamsubiri walikua na misafara ya makam wa rais, palepale tukamtaimu kwenye folen aliinua simu moja tu.kesho yake tukaitwanofisi za dc na ishu ikaisha
 
uko sahihi kabisa kamanda,

saa zingine inakubidi tu ukubali na kusema ukweli, ili uwe Free....
Truthful shall set you free. Na huo ndio ungwana 🐒
Na unafiki au chuki si njema, hata shetani akitenda wema apewe maua yake.
 
Muheshimiwa mkuu wa mkoa wa Arusha Paul Makonda nikupongeze kwa kazi nzuri unayoifanya hakika wewe ni mchapa kazi kweli kweli.Muheshimiwa songa mbele wala usisikilize kelele uchwara za kukukwamisha kutatua kero za wananchi sisi wananchi wa Arusha tunakuunga mkono kwa kila unalolifanya.

Mungu azidi kukubariki na ninakuona ukisonga mbele zaidi katika nchi hii ni swala la muda tu Muheshimiwa. Sisi watu wa Arusha tutaendelea kukutetea popote pale maana tunaona unavosaidia wananchi wanyonge kupata haki zao.Aluta Kontinua

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Muheshimiwa mkuu wa mkoa wa Arusha Paul Makonda, nikupongeze kwa kazi nzuri unayoifanya, hakika wewe ni mchapa kazi kweli kweli. Muheshimiwa, songa mbele wala usisikilize kelele uchwara za kukukwamisha kutatua kero za wananchi. Sisi wananchi wa Arusha tunakuunga mkono kwa kila unalolifanya. Mungu azidi kukubariki, na ninakuona ukisonga mbele zaidi katika nchi hii; ni swala la muda tu, Muheshimiwa. Sisi watu wa Arusha tutaendelea kukutetea popote pale maana tunaona unavyosaidia wananchi wanyonge kupata haki zao. Aluta continua.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Nimeshangaa sana kuona kuna watu wana imani na huyu Makonda,
Na kwamba eti, ana uchungu sana sana na nchi hii!
Na kwamba eti ni mkuu wa mkoa bora, ni Kiongozi mzuri!

Yote tisa,
Nimeshangaa na nimestuka kuona kuna wanaokwenda mbali zaidi na kudai makonda anafaa kuwa raisi!

Yaani kabisa Raisi wa nchi,
Unajua hebu tuweni serious,
Huu mzaha mzaha ulitumbua usaha kipindi kile tukapata raisi ambaye,
Ilibidi "Mungu" aingilie kati kuokoa watu wake,
Mpaka leo serikali inashindwa hata namna ya kuanza kulipa madai ya wafanyakazi yaliyosimamishwa kwa miaka 7

Ikiwemo kuajiri n.k kutokana na uamuzi mbovu wa mtu mmoja tu,

Leo hii mnaona Kuna mwingine mwenye akili zile zile za KUPENDA SIFA,
mnaanza kumsifia eti ohoo sijui raisi,

Niwakumbushe tu.
MOTO WA KICHAA PIA NI MOTO,
 
Mpaka leo serikali inashindwa hata namna ya kuanza kulipa wafanyakazi,

Ikiwemo kuajiri n.k kutokana na uamuzi mbovu wa mtu mmoja tu,

Leo hii mnaona Kuna mwingine mwenye akili zile zile za KUPENDA SIFA,
mnaanza kumsifia eti ohoo sijui raisi,

Niwakumbushe tu.
MOTO WA KICHAA PIA NI MOTO,
kwani wewe ukiwa na imani, maoni na mtazamo tofauti kuhusu makonda na uongozi wa nchi hii, kuna shida gani:pedroP:

si ni uhuru na haki ya kutoa maoni, au yamekugusa zaidi? si useme basi mwenye sifa kumzidi tumtafakari
 
Nimeshangaa sana kuona kuna watu wana imani na huyu Makonda,
Na kwamba eti, ana uchungu sana sana na nchi hii!
Na kwamba eti ni mkuu wa mkoa bora, ni Kiongozi mzuri!

Yote tisa,
Nimeshangaa na nimestuka kuona kuna wanaokwenda mbali zaidi na kudai makonda anafaa kuwa raisi!

Yaani kabisa Raisi wa nchi,
Unajua hebu tuweni serious,
Huu mzaha mzaha ulitumbua usaha kipindi kile tukapata raisi ambaye,
Ilibidi "Mungu" aingilie kati kuokoa watu wake,
Mpaka leo serikali inashindwa hata namna ya kuanza kulipa madai ya wafanyakazi yaliyosimamishwa kwa miaka 7

Ikiwemo kuajiri n.k kutokana na uamuzi mbovu wa mtu mmoja tu,

Leo hii mnaona Kuna mwingine mwenye akili zile zile za KUPENDA SIFA,
mnaanza kumsifia eti ohoo sijui raisi,

Niwakumbushe tu.
MOTO WA KICHAA PIA NI MOTO,
Siku zote huwa nasema WIVU NI UCHAWI. Wewe utamweza Makonda kama tu wazungu walimshindwa. Acha kupoteza muda na Rais wetu wa 2030.
 
Nimeshangaa sana kuona kuna watu wana imani na huyu Makonda,
Na kwamba eti, ana uchungu sana sana na nchi hii!
Na kwamba eti ni mkuu wa mkoa bora, ni Kiongozi mzuri!

Yote tisa,
Nimeshangaa na nimestuka kuona kuna wanaokwenda mbali zaidi na kudai makonda anafaa kuwa raisi!

Yaani kabisa Raisi wa nchi,
Unajua hebu tuweni serious,
Huu mzaha mzaha ulitumbua usaha kipindi kile tukapata raisi ambaye,
Ilibidi "Mungu" aingilie kati kuokoa watu wake,
Mpaka leo serikali inashindwa hata namna ya kuanza kulipa madai ya wafanyakazi yaliyosimamishwa kwa miaka 7

Ikiwemo kuajiri n.k kutokana na uamuzi mbovu wa mtu mmoja tu,

Leo hii mnaona Kuna mwingine mwenye akili zile zile za KUPENDA SIFA,
mnaanza kumsifia eti ohoo sijui raisi,

Niwakumbushe tu.
MOTO WA KICHAA PIA NI MOTO,
WIVU NI UCHAWI
 
Makonda ni mtu hovyo! Nchi inao watu wazuri, watendaji na wasomi kibao. Jana nilisikia watu wanajadiliana samia kwanini anamng’ang’ania makonda badala ya kufukuzia mbali… hana anachokijua na hata personality ya ukuu wa mkoa hana.
 
Back
Top Bottom