Paul Makonda Special Thread: Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Paul Makonda; Make Arusha Great Again

Paul Makonda Special Thread: Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Paul Makonda; Make Arusha Great Again

bado huna hoja,
ispokua ubinafsi wa mawazo ya kibadharia tu, ambayo mtu makini wala hawezi poteza muda kuskiza wala ku argue sana :BASED:
Kifupi makonda anachofanya ni kujionyesha,
"Show off" kujifanya kondoo kumbe ndani ni mbwa mwitu mkali,
Ni mtu mwenye roho mbaya
Kuliko hata dingi yake aliyepita,
Halafu ni mshamba pia,
Coz anachofanya anataka kila mtu ajue
 
Makonda ni mtu hovyo! Nchi inao watu wazuri, watendaji na wasomi kibao. Jana nilisikia watu wanajadiliana samia kwanini anamng’ang’ania makonda badala ya kufukuzia mbali… hana anachokijua na hata personality ya ukuu wa mkoa hana.
Ndio maana nahofia huu mzaha mzaha wa watu mara paap kawa raisi kweli,

Moto wa kichaa ni moto,
Tuache mzaha na vitu serious
 
Kifupi makonda anachofanya ni kujionyesha,
"Show off" kujifanya kondoo kumbe ndani ni mbwa mwitu mkali,
Ni mtu mwenye roho mbaya
Kuliko hata dingi yake aliyepita,
Halafu ni mshamba pia,
Coz anachofanya anataka kila mtu ajue
bado ni hoja, maoni na mtazamo binafsi wa kinadharia tu, ambao ni dhaifu na hauna athari wala hauwezi kudhoofisha effots, strategies , focus wala approches anazotumia kutatua changamoto binafsi na za jumla za wananchi, hususan wa Arusha :BASED:

in short ukijitokeza kwa wanArusha kujaribu kumkosoa Makonda kwa hoja za kibinafsi hivyo, wanachoweza kukufanya ni kukuchapa makofi na kukupuuza tu:pedroP:
 
Nimeshangaa sana kuona kuna watu wana imani na huyu Makonda,
Na kwamba eti, ana uchungu sana sana na nchi hii!
Na kwamba eti ni mkuu wa mkoa bora, ni Kiongozi mzuri!

Yote tisa,
Nimeshangaa na nimestuka kuona kuna wanaokwenda mbali zaidi na kudai makonda anafaa kuwa raisi!

Yaani kabisa Raisi wa nchi,
Unajua hebu tuweni serious,
Huu mzaha mzaha ulitumbua usaha kipindi kile tukapata raisi ambaye,
Ilibidi "Mungu" aingilie kati kuokoa watu wake,
Mpaka leo serikali inashindwa hata namna ya kuanza kulipa madai ya wafanyakazi yaliyosimamishwa kwa miaka 7

Ikiwemo kuajiri n.k kutokana na uamuzi mbovu wa mtu mmoja tu,

Leo hii mnaona Kuna mwingine mwenye akili zile zile za KUPENDA SIFA,
mnaanza kumsifia eti ohoo sijui raisi,

Niwakumbushe tu.
MOTO WA KICHAA PIA NI MOTO,
Ungejiuliza tu swali moja mbona mamlaka ya uteuzi imemuona anafaa sana ???😳👁🙄🤠🤠
 
Nimeshangaa sana kuona kuna watu wana imani na huyu Makonda,
Na kwamba eti, ana uchungu sana sana na nchi hii!
Na kwamba eti ni mkuu wa mkoa bora, ni Kiongozi mzuri!

Yote tisa,
Nimeshangaa na nimestuka kuona kuna wanaokwenda mbali zaidi na kudai makonda anafaa kuwa raisi!

Yaani kabisa Raisi wa nchi,
Unajua hebu tuweni serious,
Huu mzaha mzaha ulitumbua usaha kipindi kile tukapata raisi ambaye,
Ilibidi "Mungu" aingilie kati kuokoa watu wake,
Mpaka leo serikali inashindwa hata namna ya kuanza kulipa madai ya wafanyakazi yaliyosimamishwa kwa miaka 7

Ikiwemo kuajiri n.k kutokana na uamuzi mbovu wa mtu mmoja tu,

Leo hii mnaona Kuna mwingine mwenye akili zile zile za KUPENDA SIFA,
mnaanza kumsifia eti ohoo sijui raisi,

Niwakumbushe tu.
MOTO WA KICHAA PIA NI MOTO,
Uzi bora kabisa kuhusu huyu Mtu anaitwa makonda:ClapHD::ClapHD::ClapHD::ClapHD:
 
Makonda anatufaa sana kwenye urais 2025.kwa kazi anayoifanya Arusha ni zaidi ya rais wa sasa.wanaomchukia makonda ni punguani wachache tu
 
Atakayepandishwa na Mungu hakuna atakayeweza kumshusha 👁
Na atakayeshushwa na Mungu hakuna atakayempandisha 👁
Hata kama Dunia yote ingeungana 🙏🙏👁
 
check approaches zake katikati kufikia conclusions za malengo yake na matarajio ya wanainchi.....

Top Down Approach na Bottom Up Approaches, zinafanyika hadharini mchana kweupe ....

publicity ipi unataka tena?
every media platforms ni Makonda tu. which publicity is more than that?🐒

ndio maana nasema this gentleman is more than a leader 🐒
Atakuja kuirudisha TZ kwenye Reli yake 🤠🤠
Mafisadi Kazi wanayo !
Aliyepandishwa na Mungu hakuna wa kumshusha na Aliyeshushwa na Mungu hakuna wa kumpandisha 👁🤠🤠🌳

Let’s wait and see what is coming next 👁😷
 
Atakuja kuirudisha TZ kwenye Reli yake 🤠🤠
Mafisadi Kazi wanayo !
Aliyepandishwa na Mungu hakuna wa kumshusha na Aliyeshushwa na Mungu hakuna wa kumpandisha 👁🤠🤠🌳

Let’s wait and see what is coming next 👁😷
that is very important thing 🐒
 
Nimeshangaa sana kuona kuna watu wana imani na huyu Makonda,
Na kwamba eti, ana uchungu sana sana na nchi hii!
Na kwamba eti ni mkuu wa mkoa bora, ni Kiongozi mzuri!

Yote tisa,
Nimeshangaa na nimestuka kuona kuna wanaokwenda mbali zaidi na kudai makonda anafaa kuwa raisi!

Yaani kabisa Raisi wa nchi,
Unajua hebu tuweni serious,
Huu mzaha mzaha ulitumbua usaha kipindi kile tukapata raisi ambaye,
Ilibidi "Mungu" aingilie kati kuokoa watu wake,
Mpaka leo serikali inashindwa hata namna ya kuanza kulipa madai ya wafanyakazi yaliyosimamishwa kwa miaka 7

Ikiwemo kuajiri n.k kutokana na uamuzi mbovu wa mtu mmoja tu,

Leo hii mnaona Kuna mwingine mwenye akili zile zile za KUPENDA SIFA,
mnaanza kumsifia eti ohoo sijui raisi,

Niwakumbushe tu.
MOTO WA KICHAA PIA NI MOTO,
Andiko zuri sana.

Nchi hii inayojiendea kimatukio ina watu wa ajabu sana, ndio maana mtu yeyote tu anaweza kuwa kiongozi, akafanya chochote hata kiwe kibovu namna gani, na maisha yakaendelea tu kama hakuna shida.

Mara hii tu kuna watu wengi wameshasahau tabu tulizopata kwa Magufuli, achilia mbali wale ngumbaru wengi kweli ambao katikati ya hizo tabu bado hawakuweza kuona shida yoyote.

Jamii pumbavu huzalisha viongozi wapumbavu, matokeo yake ni mwendelezo wa kuishi maisha ya kipumbavu na kuyarithisha kwa vizazi na vizazi
 
Back
Top Bottom