Mlalamikaji daily
JF-Expert Member
- May 19, 2014
- 744
- 1,621
Kifupi makonda anachofanya ni kujionyesha,bado huna hoja,
ispokua ubinafsi wa mawazo ya kibadharia tu, ambayo mtu makini wala hawezi poteza muda kuskiza wala ku argue sana![]()
"Show off" kujifanya kondoo kumbe ndani ni mbwa mwitu mkali,
Ni mtu mwenye roho mbaya
Kuliko hata dingi yake aliyepita,
Halafu ni mshamba pia,
Coz anachofanya anataka kila mtu ajue

