Paul Makonda Special Thread: Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Paul Makonda; Make Arusha Great Again

Ukiwa na mikono misafi isiyo na damu hakuna shida. Ila kama kuna shida mahali, suluhisho ni kutubu na kuwaomba msamaha wote uliowakwaza na Mungu akubariki.
 
Dah hii ni zaidii ya uchawa..kiukweli vijana tutafute maisha kwa njia nyingnezo la sivyo.tutaishia kuwa vibaraka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…