Paul Makonda Special Thread: Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Paul Makonda; Make Arusha Great Again

in politics nothing happens out of mere coincidence, everythings are normally well planned, organized and executed in order to achieve, a certain political objectives πŸ’

RC makonda statement is very significant politically speaking...

is it ex dentally or planned statement ?

who is the targeted individual within the government?

what is the objective of the statement politically?

is it a trap layed down for that targeted individual personal to respond and then kicked out of the government like what happened to former speaker of the National assembly?

is it ground for the next cabinet and government reshafle, as we are heading to serikali za mtaa elections soon at the end of the yr 2024πŸ’

let's wait and see πŸ’
 
Umenusa PDF mpya sio!
 
unajuaje pengine mana anazo?
 
Vipi kama makonda ni KARATA ya mama yetu kipenzi.
Kwamba anafahamu madudu ya watu anamtumia makonda kusema?.

Nawaza mama kamtuma kaka Makonda kusema hivyo ili kusent a message.

Ninachoamini Politics is a game either shine or go crazy.
 
Hivi kwa akili yako ndogo unafikiri amesema tuu! Yani wewe unafikiri unajua zaidi ya Samia πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kweli kabisa

Machalii wa Chuga wana msemo wao ukicheka na kima utavuna mabua.

Sasa ni kulekule ngendere tayari yumo kondeni, hakika Samia atavuna mabua

Nimekaa paleeπŸ‘‰
 
Sijui kwa Nini Leo nikiwa Saloon nanyolewa, Nimetafakari Muda Maghufuli (RIP) amenyolewa hadi Muda ameanza kuugua.
 
Vipi kama makonda ni KARATA ya mama yetu kipenzi.
Kwamba anafahamu madudu ya watu anamtumia makonda kusema?.

Nawaza mama kamtuma kaka Makonda kusema hivyo ili kusent a message.

Ninachoamini Politics is a game either shine or go crazy.
Inawezekana pia.
 
Sio wote tumesoma shule zenye school bus πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Wewe kenge, nakuhakikishia kuwa hii ndiyo nafasi ya mwisho kwa huyu pimbi wa Kolomije
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…