Tate Mkuu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 33,092
- 96,127
Lucas Mwashambwa akiuona huu uzi atasema "baada tu ya Mhe. Makonda kupewa mic ili aongee, mji wote wa Monduli ulitetemeka! Na wananchi wote wakaanza kububujikwa na machozi ya furaha!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bro hakuna kitu kinafanyika kwa bahat mbaya chief hizo ni politric, kuna maripoti ya CAG kuna mafuriko huko kusini nk. Serikali haina majibu zaid ya kutengeneza story kama hiz na mtu mzur ni makonda. Mtamjadili mpaka musahau ripot ya CAG ndio imepita hiyo.Kuna watu ukiwapatia Mic lazima uanze kuwaza nini kinaenda kutokea. Makonda ni mmoja wao, makonda hana kipaji cha kuongea kabisa kabisa, hana point, ba hajui basi anaweza pangilia vipi point zake, jamaa akisha pewa MIC yeye ni kuropoka tu.
Makonda akipewa MIC ni kutishia tu ndio point zake, fuatilia maongezi yake utagundua.
Leo pale Monduli baada ya kupewa MIC kaanzs kusema anawajua wanao mtukana Raisi na kuanza kuwaonya na kuwatishia.
Huyu akiendelea kupewa MIC kuna siku ataongea vitu vya ajabu sana na itakuwa too lare kusahihisha, naona hajashutukiwa kwamba sio mtu wa kupewa MIC.
Watu wa Protocak ni bora kwenye mikutani mikubwa inayo husidha viongozi wa juu, wakawa wanazuia kumpatia Makonda MIC.
Kule Kenya yule Makamo wa sasa wa Rais Ruto naye kiasi fulani anafanana na Makonda na angalau naona kaanza kujirekebisha, naye alikwa akipewa MIC hasa kipindi cha Kampeni alikuwa ni kuharibu badala ta. kujenga.
Hivi ajali ile ya coaster lilokuwa limebeba walimu wazungu na lori ilikuwa lini vile?Tangu huyu zandiki aingie Arusha ni majanga tu yanatokea, mafuriko, ajali za magari, vifo, n.k.
Wewe ni muongo, aliondoka kwenda kugombea ubunge Kigamboni akashindwa. Na msimamo wa Magufuli ulikuwa wazi, ukiamua kuacha nafasi ya uteuzi, ukishindwa kwenye uchaguzi, hakuteui tena.Ndiyo maana Mzee Magu alimtema alipomgundua
SI mtu mzuri kihivyo
Unadhani amebahatisha? Sio ukiona alisema kabisa hilo ni lake?Kuna watu ukiwapatia Mic lazima uanze kuwaza nini kinaenda kutokea. Makonda ni mmoja wao, makonda hana kipaji cha kuongea kabisa kabisa, hana point, ba hajui basi anaweza pangilia vipi point zake, jamaa akisha pewa MIC yeye ni kuropoka tu.
Makonda akipewa MIC ni kutishia tu ndio point zake, fuatilia maongezi yake utagundua.
Leo pale Monduli baada ya kupewa MIC kaanzs kusema anawajua wanao mtukana Raisi na kuanza kuwaonya na kuwatishia.
Huyu akiendelea kupewa MIC kuna siku ataongea vitu vya ajabu sana na itakuwa too lare kusahihisha, naona hajashutukiwa kwamba sio mtu wa kupewa MIC.
Watu wa Protocak ni bora kwenye mikutani mikubwa inayo husidha viongozi wa juu, wakawa wanazuia kumpatia Makonda MIC.
Kule Kenya yule Makamo wa sasa wa Rais Ruto naye kiasi fulani anafanana na Makonda na angalau naona kaanza kujirekebisha, naye alikwa akipewa MIC hasa kipindi cha Kampeni alikuwa ni kuharibu badala ta. kujenga.
Jinsi awazavyo mtu, ndivyo alivyo.Kuna watu ukiwapatia Mic lazima uanze kuwaza nini kinaenda kutokea. Makonda ni mmoja wao, makonda hana kipaji cha kuongea kabisa kabisa, hana point, ba hajui basi anaweza pangilia vipi point zake, jamaa akisha pewa MIC yeye ni kuropoka tu.
Makonda akipewa MIC ni kutishia tu ndio point zake, fuatilia maongezi yake utagundua.
Leo pale Monduli baada ya kupewa MIC kaanzs kusema anawajua wanao mtukana Raisi na kuanza kuwaonya na kuwatishia.
Huyu akiendelea kupewa MIC kuna siku ataongea vitu vya ajabu sana na itakuwa too lare kusahihisha, naona hajashutukiwa kwamba sio mtu wa kupewa MIC.
Watu wa Protocak ni bora kwenye mikutani mikubwa inayo husidha viongozi wa juu, wakawa wanazuia kumpatia Makonda MIC.
Kule Kenya yule Makamo wa sasa wa Rais Ruto naye kiasi fulani anafanana na Makonda na angalau naona kaanza kujirekebisha, naye alikwa akipewa MIC hasa kipindi cha Kampeni alikuwa ni kuharibu badala ta. kujenga.
Mwashambwa msameheni. Ni mgonjwa yule.Lucas Mwashambwa akiuona huu uzi atasema "baada tu ya Mhe. Makonda kupewa mic ili aongee, mji wote wa Monduli ulitetemeka! Na wananchi wote wakaanza kububujikwa na machozi ya furaha!
Wewe ni muongo, aliondoka kwenda kugombea ubunge Kigamboni akashindwa. Na msimamo wa Magufuli ulikuwa wazi, ukiamua kuacha nafasi ya uteuzi, ukishindwa kwenye uchaguzi, hakuteui tena.
Nawashukuru na nimekusamehe. Nguvu yangu ni pamoja na kuwa na moyo wa kusamehe watu aina yako.Mwashambwa msameheni. Ni mgonjwa yule.
Siasa inatakiwa kuwa hivyo. Inaonekana kuna watu mnapenda siasa za kinyonge sana.Mama Samia, huyu alishasema utii wake ni kwa genge la wale jamaa, anachofanya ni kudhoofisha serikali yako na chama, ambavyo vilikiwa imara kwa muda mrefu kabla ya kumuingiza yeye.
Kwa kuwa ni jini umelitoa kwenye chupa, angalia jinsi ya kulimaliza.
Kwenye chama kuna watu hawakutaka upuuzi wake, ametoka, sasa yuko kwako, kaja kukubomoa
Ni wapi umewahi kumuona huyo unayemsema amesimama kutoa comments juu ya vitu vinavyoendelea ndani ya serikali?Ni kweli.
Kauli ya Makonda inamfitinisha Samia na watendaji wake ndani ya chama na serikali.
Kauli hii pia inamfitinisha Samia na mkuu wa usalama nchini. Yaani kwamba Kuna taarifa za kumchafua rais Makonda anazijua halafu mkuu wa usalama hajui? Na kama anajua mbona hajamwambia rais Samia?