Paul Makonda Special Thread: Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Paul Makonda; Make Arusha Great Again

Kumtetea Huyo Fala unatakiwa kuwa na nati ikiyolegea kichwani.
 
Nawe kuna muda unakuwaga kajinga sana.
 
Viongozi katoliki hupenda "ukalikatili flani hivi" so sikosa lake! Hata masista ukifanya nao kazi utaona hili...
Naomba kusaidiwa hawa viongozi wajuu kanisa hili mbona siwaoni wakiwawekea wagonjwa mikono na kuwaponya? mbona hawatoi watu mapepo? mbona hawaneni Kwa lugha?
Wanafanya vizuri sana kwenye miradi though!!
 
J, tulia kwanza. Kunywa maji ujitafakari na haya malalamishi yako. Na wew unafanya yaleyale unayoyakemea kwa M.
 
Nilipoona umeandika neno lambda badala ya labda nishajua mkoa unaotokea

Sent from my Nokia C10 using JamiiForums mobile app
 
Akapimwe. Maneno yale ni mazito mno
 
Wameshiba hao.....sisi mfumuko wa bei inatutesa.

Hayatuhusu
 
Nyie ndio mnataka kuleta fitina

Mbona hata Samia huwa analalamikaga sana Kuna watu wanampiga vita ndani ya CCM
(hapo vipi)

Acheni uchochezi
Alichokisema makonda ni sahihi
Alilalamika lini?
 
Hayo ni maneno ya mtaani tuu
Mzee ni mtumishi wa Mungu
Askofu wa Jimbo Fulani alivimba miguu anashindwa kutembea kazunguka mahospitali wapi hakuna kitu akaambiwa weweee uaskofu ni ajira jali maisha yako akaenda Kwa mganga alitolewa midude ya ajabu ajabu na akaambiwa mitego iliyopelekea haya IPO madhabahuni kanisa kuu la Jimbo unakosalisha wakaenda napo ng'oa Kila kitu nikasema du hatari askofu akapona alipouliza sababu akaambiwa shida ni hiyo nafasi kuna mtu alikuwa anaitaka, sasa mtu mwenyewe aliyefanya hayo ni ndugu mmoja mtiifu Kwa askofu hakuna Mfano chezea Dunia weye
 
Uongo mtupu
 
Should we we wait to hear another leakage of recorded voices? Or even short videos?
 
Pengo achana na zandiki Makonda la sivyo wewe sio rafiki wa wakatoliki.
 
Na wewe ni chawa ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…