Paul Makonda Special Thread: Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Paul Makonda; Make Arusha Great Again

Kuanzia umri huo ndio mtu anaanza kuwa na akili za kweli na kujiendeshea mambo yake mwenyewe, ni umri wa kujua mbivu na mbichi. Chini ya umri huo bado watu wapo kwenye kufuata mkumbo na kutokujua malengo yao katika maisha. Ni wazi watu 35-55 ndio wenye kushika uongozi wa dunia hii na wenye busara na nguvu pia. Ujinga wa Makonda unaonekana waziwazi na watu wa rika hili kuliko marika mengine yote.
 
Rais wa WaTz kwa Kura ngapi alizooata yeye na mwenza wake? Mpaka leo haijulikani kwa wizi wao. Huyo anajiopalilia ulaji wake unasema asipuuzwe. Na anayeita Katiba 'kakitabu', ataachwa kupuuzwa?
 
Inachefua sana kuona rais anatukanwa vile,makonda yupo sahihi.

..mbona Uvccm wanatukana viongozi wa upinzani matusi makubwa kabisa na watu wanavumilia?

..Rais aonyeshe uvumilivu na ukomavu kama kiongozi.

..Mtu huyuhuyu alimsingizia mwenzake ugaidi na akamfunga kwa miezi minane, leo kasemwa kidogo analialia.
 
Pamoja na yote, PCM anawakilisha hisia za watanzania wengi wanaomtakia Mama mema.

sifa kubwa ya CCM ni wanafiki and snitches. Huwa wanawekeana hata sumu.

90% waliokuwa wakimchekea JPM na kumuimba mitano tena , 89% among them walikuwa wanafiki na wakikaa pembeni wana msnitch. Hata ma’am alikuwa anampigia JPM makofi, but deep down , it wasn’t that way . Hiyo ndio CCM ! Chama cha Majambazi!

This time, kuna watu for sure wanautaka urais and they believe mama is unable to still handle the position. First off, gender issue , for them ….. woman is less. Second; wanaona nchi inaenda mrama na imekosa dira and mam does not know what she can do best. Dola imepotea, petrol ipo juu, deni limeongezeka, ufisadi ni kama umerudi, construction zimestuck, food supplies bei hazishikiki, kila mtu analia, japo wapo wanaocheka.

Third, hesabu zao zitayumba endapo mama atapiga mitano, kama mama ataendelea, chances za wao kupoteza matumaini zitaongezeka kama ilivyo kwa Raila.

PCM ni smartest guy kwa karne ya sasa. He was trained to sniff ; and he also Learned what is the right moment to hit the ball , his speech was so perfect and at the right moment.

However, it has disturbed a lot kwa sababu hao watu wapo , and some of them wapo kwenye high table na president, kama wengi mnadhani PCM ameropoka, you might have wrong idea .

The boy is very strategically and it takes a lot of minds to understand him. I am sure Samia anaelewa the connotation.

Aingie mzigoni awapige intel kama alivyofanya Ngosha ikiwemo kuingilia mawasiliano yao.

Unaweza kuwa unakimbizana na lema au lissu au wanamitandao, kumbe the devil is just right on your nose.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…