moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 142,674
- 743,909
Ametukanwa na nani?Niaibu hata kuyaweka hapa mkuu, yaani mama katukanwa haswaa....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ametukanwa na nani?Niaibu hata kuyaweka hapa mkuu, yaani mama katukanwa haswaa....
Mawaziri? Mbona sijaona mkeka wa Yunus sasa?mangekimambi pamoja na baaadhi ya mawaziri
Inaudhi sanaa mambo mengi sanaa ya kuongela kuliko kudil na kumchafua especially lgbtq au ndio njia nyingine ya kutangaza.Kwa matusi yale ni aibu..mimi sio mpenda siasa ila hapana sikubaliani raisi kutukanwa vile na kudhalilishwa namna ile....yule ni mama na mzazi..halafu ni Rais...
Yule dada nilimu-unfollow miaka kama mitatu iliyopita kiukweli huwa ana matusi mabaya sana hadi unajiuliza hivi huyu hana ndugu maana hana aibumangekimambi pamoja na baaadhi ya mawaziri
haeleweki sikuhizi anatuma xxx za wasaniiiYule dada nilimu-unfollow miaka kama mitatu iliyopita kiukweli huwa ana matusi mabaya sana hadi unajiuliza hivi huyu hana ndugu maana hana aibu
tunasubiri kama atawatajaMawaziri? Mbona sijaona mkeka wa Yunus sasa?
Nape anasemaje?
Kuanzia umri huo ndio mtu anaanza kuwa na akili za kweli na kujiendeshea mambo yake mwenyewe, ni umri wa kujua mbivu na mbichi. Chini ya umri huo bado watu wapo kwenye kufuata mkumbo na kutokujua malengo yao katika maisha. Ni wazi watu 35-55 ndio wenye kushika uongozi wa dunia hii na wenye busara na nguvu pia. Ujinga wa Makonda unaonekana waziwazi na watu wa rika hili kuliko marika mengine yote.Habari wana Jf
Kama ilivyo kawaida nimechunguza sana Kwa nini ndugu poul makonda anachukiwa sana,na watanzania wenye huo umri nilioutaja hapo.
Nimegundua ni kupitwa kwa mafanikio,nimekuja kuona wanatanzania kinachotusumbua ni wivu wa mafanikio ya mtu.
Leo hii hata makonda akiongea jema vipi bado watanzania wataendelea kumsakama acheni wivu huo na roho mbaya poul makonda mungu kampa kipaji cha kuongoza watu na anavitu vingi sana kwake na kama watanzania tunatakiwa kujifunza kupitia yeye poul makonda.
Chukua hii Kama hamjui
Kitendo cha Rais @SuluhuSamia kumrudisha Makonda kwenye siasa ni kwasababu kuna mahali amezidiwa nguvu. Makonda ni yule kijana asiye na soni, mwenye kufanya/kuongea yale ambayo wakubwa hawawezi kuyaongea wenyewe.
Hapa, Makonda ni kipaza sauti tu,na anakipawa cha uongozi
Ukweli nimefurahi sana mh rais wetu wa JMT kumchagua poul makonda kurudishwa katika nafasi inatakiwa Tanzania tupate vijana Kama 50 au 100 Kama alivyo poul makonda hii nchi tungekuwa mbali sana.
Watanzania tuigeni mfano kwa ndugu mh.poul makonda tuacheni wivu na chuki tufanyani kazi kutwa tunamtaja makonda bora tungemtaja kwa mema ila Watanzania tunamtaja makonda kana kwamba yeye sio binadamu kila baya anatupiwa yeye.
Watanzania wooote inatakiwa tumuunge mkono poul makonda,huyu ni adhina ya taifa.
Ahsante mh.raisi kwa kumrudisha ndugu poul makonda huyu atakusaidia sana katika kuijenga nchi.
Sisi wengine tumekalia kukosoa na kupiga majungu.
Mungu mlinde ndugu poul makonda
Mungu mlinde mh raisi wetu JMT
NAKARIBISHA MAONI.
KIKUBWA ACHANENI NA WIVU WA PAMOJA NA ROHO MBAYA.
Rais wa WaTz kwa Kura ngapi alizooata yeye na mwenza wake? Mpaka leo haijulikani kwa wizi wao. Huyo anajiopalilia ulaji wake unasema asipuuzwe. Na anayeita Katiba 'kakitabu', ataachwa kupuuzwa?Katiba ya Tanzania inatamka na kutambua kuwa Rais ndiye mkuu wa nchi,Amiri jeshi mkuu na mtendaji mkuu wa serikali yeye ni mwenye mamlaka makubwa katika nchi hii anaweza kuwa symbolic leader(queen) kulingana na katiba yetu.
Inasikitisha sana kuona mtu wa kwenye chama chako ambaye pia amekuajiri unamkebehi na kumfanyia dhihaka pamoja na matusi hivi hata kama unajiona wewe ndiyo baba ako,babu au bibi yako amemuweka rais kwenye hicho kiti haimaanishi kumtukana YEYE umeitukana mamlaka aliyopewa na umewatukana watanzania wote.
Hili la makonda siyo kwamba jamaa karopoka hapana ila toka Rais alipoingia madarakani naye alituma ujumbe wengi wanafikiria kuhusu kina bashiru ila ukweli lipo kundi jengine ambalo lipo against na MAMA hivyo nadhani kuna watu watajifanya kumsema Makonda ila ukweli usemwe jamaa yupo sahihi.
NAWASILISHA.
PamojaToka jana makonda hajapumzishwa,watu mitandao kila mtu anamnanga makonda,hapa tunaanza kuamini huenda kweli vijana wapo kazini.
2025 tunaenda na mama
hapana wapo wengine ambao wanaopinga jinsia,wapenda vyeo,wezi na wapenda pesa...wote wanamakundi yaoUkitafakari kwa makini, majibu yapo kwenye mazungumzo ya Mabeyo, waliokuwa wanataka kuipinda katiba ni hao hao wanatoa matusi.
Tuletee screenshots hapa.Nendeni page ya Mange kimambi instagram
Mtu na nusu gani wakati bichwa halina akili!Makonda ni mtu na Nusu
Aisee...kumbe mchochezi ni yeye!?Mbinu ya Makonda ni kumchochea Mange "amtukane " Rais ....
Anajua akim provoke Mange ...anae chafuka ni Rais ......kundi la Makonda wanachotaka Rais achafuke sana
Inachefua sana kuona rais anatukanwa vile,makonda yupo sahihi.