Paul Makonda Special Thread: Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Paul Makonda; Make Arusha Great Again

Sema wewe na hao 70% wenzako ndio mnaoelewa huo ujinga, wa usimba, uyanga, video za ngono na siasa uchwara.
Kwa maana ndege wafananao uruka pamoja na mtu aonavyo nafsini mwake basi ndivyo alivyo.

But in reality, Watanzania wanaojielewa na kujitambua wapo wengi tu na hawapendi kusikia mambo ya kijinga, siasa za magazetini na uchawa.​
 

CCM wala haijawaweza sema mbegu na kizazi ndio kinatatizo. Sio wote.

CCM yenyewe hata iamue ilete maendeleo haitawezekana. Ni mpaka uwiano wa wanaojitambua na wasiojitambua ufike walau 30:70
Kwa sasa ni 5:95
 
Kaka una hoja, usikilizwe
 
Am not into politics but makonda was attractive. Nilikua nafatilia ziara zote za mwenez kipind kile mikoa yote 25.
 
Oh dear

Kazi ipo
 
Sema wewe na hao 50% wenzako ndio mnaomuelewa Makonda.
Kwa maana ndege wafananao uruka pamoja.

But in reality, Watanzania wanaojielewa na kujitambua wapo wengi tu na hawapendi kusikia siasa za magazetini na uchawa kama ulizoandika hapo juu.​
Endelea kujifariji.

Bongo nyoso, Makonda na hao ccm wanawin akili za watu wa kipato cha chini ambao ni wengi na wengi wao ndo hao hufuata mkumbo, hawana source tukuka za habari zaidi ya hizo ambazo zinaendeshwa na hao hao.

Hao unaoona ni werevu ni wale ambao ni wafukunyuku, wapenda kusomasoma vitu na hawajabase kwenye source moja kupata habari.

Kuna watu Millard Ayo asipopost habari yoyote basi hawaiamini, wao mtandaoni ni Millard Ayo.
Wengine ITV , wengine TBC yaani hao hiyo source yake ilichokipost ndo hicho anakibeba na kukiamini wala hakifanyii tathmini yoyote.
 
Tukiachana na chuki binafsi na kusimamia uhalisia tutalitendea haki taifa.Siku zote mchapa kazi huwa kikwazo sana kwa wale bora viongozi, wavivu, wezi, miungu watu n.k..Kipimo cha kiongozi mzuri/bora,huwa ni wananchi anaowaongoza,hasa wa hali ya chini.Makonda anakubalika sana kwa wananchi wa hali ya chini kama alivyokuwa hayati J.P.MAGUFULI kwasababu ni kiongozi aliye karibu na watu wake,huwasikiliza na kutatua changamoto zao kwa vitendo na uwazi bila unafiki.Huyu Makonda akishindanishwa na SAMIA S.H. wa utawala huu kwa wananchi, Makonda atapita kwa 100%.
 

Bongo Sio poa
 
Of course watu wajinga wanataka hivyo ila mimi hapana,japo unachoongea kina ukweli Kwa sehemu kubwa.
 
He is just a populist. Nothing more.

Ametatua shida gani za wananchi? Nipe mfano?
 
Ukiona MTU amerusha tusi kwenye huu uzi ujue ndio huyo huyo wazir anayehusika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…