Paul Makonda Special Thread: Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Paul Makonda; Make Arusha Great Again

Umesahau Ile lugha Yao Maarufu ya kuitwa wanyonge 🤣🤣
 
Watanzania wengi hupendelea kuitwa majina ya dhalili kwao ni sifa na huona kama wanajaliwa
Harafu Chadema wanaleta maneno meeengi Kwa Wabongo 😁😁😁

Huwa nawaona hawana akili na Wala hawajawatambua Wabongo.

Wabongo wanapenda mtu kama Kibajaji vile
 
Umemaliza kila kitu.

Ndo mana ili hii nchi iweze kuendelea kweli ni lazima vyovyote vile wenye akili ndo washike madaraka ya hii nchi.

Vinginevyo siku si nyingi sana tutakuwa failed state.
 
Umemaliza kila kitu.

Ndo mana ili hii nchi iweze kuendelea kweli ni lazima vyovyote vile wenye akili ndo washike madaraka ya hii nchi.

Vinginevyo siku si nyingi sana tutakuwa failed state.
Tupeni nafasi wenye akili tuwasaidie mipango ila tuu kama mfumo wa siasa utakuwa supportive.

Ila Kwa jinsi hii ya Bora liende,hapa Kila mtu apambanie tumbo lake
 
Tupeni nafasi wenye akili tuwasaidie mipango ila tuu kama mfumo wa siasa utakuwa supportive.

Ila Kwa jinsi hii ya Bora liende,hapa Kila mtu apambanie tumbo lake
Ndo mana wenye akili tumeshaona kuwa in very few years to come hii nchi itakuwa failed state. Akili za watu wengi ziko kama akili zako
 
Umeongea ukweli mtupu kabisa yani naunga mkono hoja 100%
 
Siongezi neno mkuu
 
Ndo mana wenye akili tumeshaona kuwa in very few years to come hii nchi itakuwa failed state. Akili za watu wengi ziko kama akili zako
Wenye akili hawawezi kuwa wale wajamaa mbuzi na wazee wa propaganda na vitisho kama kina Mwendazake au Makonda
 
Leo ni siku ya Jumamosi.Unaongea uongo. Kwanza lazima, ujue kuwa duniani kote kuna mipira, kuna udaku, na kila kitu. Sasa, ww unataka kutudanganya kuwa, WA Tanzania wanatakiwa wawe wanawaza, tu katiba mpya, sio kweli.
 
Ungesema Watanzania wengi. Kuna Watanzania wengine tunajali nchi kuendelea hizi kiki, uchawa na drama hazitusaidii chochote badala yake hii system ya Tanzania inanufaisha wachache sana. Tatizo Watanzania wengi kama mfano wako mnajiona ni wanyonge nyonge tu
 
Hivi haiwezekani tukamkubali mtu kwa jinsi alivyo yeye bila kumfananisha na mtu mwingine (haswa marehemu)?

Binaadam wote ni Sawa ila kila mmoja kaumbwa na utofauti wake wa kipekee sana na tutauona vizuri zaidi tukiondoa fikra za kulinganishana na kufananishana.
 
Asante sana kwa somo zuri. Ni wakati wa utekelezaji sasa.
 
Leo ni siku ya Jumamosi.Unaongea uongo. Kwanza lazima, ujue kuwa duniani kote kuna mipira, kuna udaku, na kila kitu. Sasa, ww unataka kutudanganya kuwa, WA Tanzania wanatakiwa wawe wanawaza, tu katiba mpya, sio kweli.
Sio sahihi kudhani Katiba ndio italeta maendeleo,hii dhana ni mbaya sana na ni upotoshaji mkubwa.
 
Rais wa WaTz kwa Kura ngapi alizooata yeye na mwenza wake? Mpaka leo haijulikani kwa wizi wao. Huyo anajiopalilia ulaji wake unasema asipuuzwe. Na anayeita Katiba 'kakitabu', ataachwa kupuuzwa?
Kwahiyo ndiyo sababu ya kumtusi na kuutweza utu wake vile?

Leo hii 2024 ndio mnashtuka usingizini kwamba hatakiwi kukaa hapo?

Hiyo statement ya kuiita Katiba “kakitabu ndio mmeisikia leo?

Rais Samia, wanatishia kumwaga ugali…wewe tupa kabisa mboga na kwenye mafiga mwanga maji na mikono yao walambishe mchanga, ukichelewa wanakuwahi.
 
Leo ni siku ya Jumamosi.Unaongea uongo. Kwanza lazima, ujue kuwa duniani kote kuna mipira, kuna udaku, na kila kitu. Sasa, ww unataka kutudanganya kuwa, WA Tanzania wanatakiwa wawe wanawaza, tu katiba mpya, sio kweli.

Kitu kinaweza kuwepo lakini kisipendwe.
 
Watanzania wengi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…