Paul Makonda Special Thread: Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Paul Makonda; Make Arusha Great Again

Paul Makonda Special Thread: Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Paul Makonda; Make Arusha Great Again

Makondakta kapelekwa kuwa RC ili uchaguzi ukifika achukue form ya ubunge agombee, kule kwenye uenez ingekuwa ngumu kugombea, akisha hombea ubunge atashinda, baada ya hapo litaundwa baraza la mawaziri ataihizwa ediha kama W/mkuu au Wizara nyeti, hapo ndio mtajua mchoro wa ramani mnaoupuza leo
Ni wasi nchimbi hawezi kufanya Kaz na mskonda
 
Mkuu, cheo cha waziri mkuu kwa muundo tulionao hakijawahi kumnyoosha mtu zaidi ya kumtambua mtu kwa ukali au upole wake.
Tutengeneze katiba mpya itakayokuja kuondoa mapungufu yaliyopo sasa...aidha tujenge taasisi imara zenye kuzingatia sheria na kanuni zilizo wazi.
 
So bure we dada kuna kitu makonda anakufanya, nilikuona wa maana threads zako za nyuma kumbe ni majitaka tu.
 
Mkuu P,
Sitaki kuamini uongozi wa juu wa nchi yetu unaweza kuwa umeshuka thamani kiasi hicho, kwamba unahitajika uthubutu tu. Hata mwizi anapofanya uamuzi wa kwenda kuiba sehemu anajivika uthubutu na ujasiri. Pamoja na uthubutu tunahitaji viongozi wenye 'akili', na waadilifu. Swali ni kwamba hizo sifa anazo?
 
Huu ni unabii tu,
Mnaojidai kumpinga Makonda siku akiwa waziri mkuu atawanyosha na mtanyoka anzeni kufanya mazoezi ya kuwajibika.
Ni story za vijiweni kama story zingine, siku akiwa hiv akiwa vile hizo ni wishful thinkings. Although ana madhaifu ya kuyafanyia kazi kabla hajafika huko
 
Inaonekana Muheshiwa anahoja ila ameongelea mahapa (platform) isiyo sahihi
Amedhalilisha viongozi, lakini amefanya watu waanze kutafuta hayo matusi
Mfano mimi nilikuwa sijakutana na hayo matusi
 
Mheshimiwa GS bila kujua wahuni walikupanga na wewe ukajaa kwenye mfumo

Je, unajua hata wewe nafasi yako wahuni wanaitaka?

Mbona huko nyuma ulikuwa na akili nyingi? Nini kimekukumba.

Kuondoka kwa makonda hakutakunufaisha zaidi ya wewe kuwa kwenye wakati mgumu.

Hiyo nafasi yako wahuni wanaitaka, km ulivyotumika kumhujumu makonda nawe utahujumiwa soon.
 
Tuwe wakweli jamani kuendelea au kumuwazia mtu Kama huyo ambae kimsingi amekosa zifa tu zautumishi waumma ni matusi kwetu,hivi tukiambiwa tuorodheshe mafanikio chanya aliyoyaleta tangia awe mtumishi hata kurasa moja ya A4 haijai Lakini uzushi na ulaghai unaweza kujaza rim nzima.Ila kwakua ndio Uhuru wetu wakutoa maoni tunaona fresh Lakini Kama tungeheshimu utawala wa Sheria dude alitakiwa awe kwenye maximum prison Sasa hivi anatumikia adhabu zake kwa makosa na maumivu aliyofanya Tena sio yakificho Yale ya hadharani kweupe
 
Makondakta kapelekwa kuwa RC ili uchaguzi ukifika achukue form ya ubunge agombee, kule kwenye uenez ingekuwa ngumu kugombea, akisha hombea ubunge atashinda, baada ya hapo litaundwa baraza la mawaziri ataihizwa ediha kama W/mkuu au Wizara nyeti, hapo ndio mtajua mchoro wa ramani mnaoupuza le
Hata enzi za magu aligombea pia ila wana kigamboni wakamkataa, wapumbavu wachache kama wewe ndo mnaona anafaa!
 
Huu ni unabii tu,
Mnaojidai kumpinga Makonda siku akiwa waziri mkuu atawanyosha na mtanyoka anzeni kufanya mazoezi ya kuwajibika.
Nchi hii sio nyepesi kama unavyofikiri, kwamba limekua shamba la bibi kila mtu anaweza kuwa waziri mkuu, au Rais ,kwanza nasema kama Mungu aishivyo ccm uchaguzi ukifanyika kwisha , na ole wao waibe kura shauri yao watajua hawajui
 
Unaonekana una akili na post zako unazo wekaga hapa, ila kwa haya mawazo yako kuhusu Makonda na kufikiri anaogopwa ni net negative, yule hata Magufuli alimpiga nje na President jana kwenye ile clip kama umeiona she had enough already, Makonda ni chawa tuu mpiga kelele na hata akili hana
Kweli kbs!
 
Nchimbi ilikuwa lazima atafute mtu wa kummudu. Makonda ameshakuwa mtu mkubwa san kimamlaka. Ametumika na kiktwete, akatumika na JPM, Sasa Yuko na Samia.

Ni sawa na IGP afu umeudishe kuwa mkuu wa kituo. Lazima tu ataonekana Yuko juu ya wengine.
 
Humfahamu Nchimbi wewe. Kaa kwa kutulia, ukishakua chawa wa Makonda basi unaendeleza mapambano. Kwa akili zako makonda atamfitini Nchimbi ndicho unajaribu kumtisha.

Katibu mkuu huyu ni mwanamipango thabiti, humuoni akipiga kelele hovyo. Ni chache zinakwenda na watu.

Acha akitengeneze chama, maana kila mtu ni kambale.
 
Nyie malizaneni tu
 

Attachments

  • FB_IMG_1616545580714.jpg
    FB_IMG_1616545580714.jpg
    90.9 KB · Views: 3
  • FB_IMG_1626856519720.jpg
    FB_IMG_1626856519720.jpg
    59.9 KB · Views: 3
Back
Top Bottom