Mkuu nguvu ya chui ipo mkiani. Makonda nguvu yake ilikuwa ni JPM, Mwendazake hayupo daima na kwa sasa hakuna wa kufanana naye kwenye lineup iliyopo.
Samia mwenyewe hana characteristics za ukatili za kufikia Magufuli hata kwa asilimia 10% kutokana na jinsia yake, malezi yake, imani yake, jamii yake, elimu yake, utamaduni wake na familia yake.
Mkuu Kwani Makonda si Kawa Mwenezi nchi nzima, kafanya nini cha maana zaidi ya kelele ukilinganisha na matukio yake ya uharibifu kipindi cha Mwendazake??
Hizo kelele mbuzi akiwa ziarani kama Mwenezi zimempandisha juu zaidi au zimemshusha chini zaidi?? Jibu unalo!
Sasa hivi ni Mkuu wa mkoa tena Arusha, atafanya nini alichoshindwa kufanya akiwa Mwenezi nchi nzima??
Na kibaya zaidi kachokoza nyuki mchana! Jua kali bila kuangalia hali ya hewa!!
Asubiri majibu mujarab, maana watoto wa mjini wanajibu kimya kimya tena kwa mahesabu ya mbele!!
Yetu macho, kusubiri Makonda awe waziri mkuu![emoji444][emoji445][emoji344]