Paul Makonda Special Thread: Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Paul Makonda; Make Arusha Great Again

Paul Makonda Special Thread: Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Paul Makonda; Make Arusha Great Again

Muwe mnakemea pia na jinsi anavyosifiwaga mnoo Kinafiki!!
Kwa matusi yale ni aibu..mimi sio mpenda siasa ila hapana sikubaliani raisi kutukanwa vile na kudhalilishwa namna ile....yule ni mama na mzazi..halafu ni Rais...
 
Tatizo mamaenu naye vile vibabu vi3 vinamcontrol vibaya ifike mahala ajitambue sisi tunamtambua yeye ndie rais na asimame kama kiongozi mambo ya kuogopa vizee yanatoka wapi,,? Vizee vinawashwawashwa vimestaafu lakini havitaki kustaafu,,
 
Mpk hapo umeua. Hata mm sasa nakubali kuwa hao mawaziri wapo na ni kweli wanamtukana mama.

Walikuwa njama moja na Makonda lkn Makonda baada ya kushushwa cheo kaumia sana, naye ameamua liwalo na liwe.
Tujue wanatunaje, tuseme wanamkashifu au wanamsema vibaya au wanasema madhaifu yake. Kusema tu wanatukana is too general for people to get the inner side...
 
Muwe mnakemea pia na jinsi anavyosifiwaga mnoo Kinafiki!!
Ndio huwa naunga mkono hoja kabisa za Mange anavyokosoa kuhusu serikali na upupu wake..ila.sio kwa hayo matusi aisee
 
Sauwaa!!tuendelee kukumbushana Kwa namna yoyote ile kila tupato nafasi hiyo Iwe Kwa mazuri au mabaya,,makubwa na madogo,,,mengi na machache,,maupendo na machuki nk nk!!
Ndio huwa naunga mkono hoja kabisa za Mange anavyokosoa kuhusu serikali na upupu wake..ila.sio kwa hayo matusi aisee
 
Hatimae Paul Makonda amuibua Rais Mstaafu wa awamu ya nne kutokana na matamshi yake kwenye kumbukizi ya Hayati Edward Moringe Sokoine.

Je nini kitafuata baada ya Mzee Kikwete kuyatoa yake ya Moyo

ni??
 
Hatimae Paul Makonda amuibua Rais Mstaafu wa awamu ya nne kutokana na matamshi yake kwenye kumbukizi ya Hayati Edward Moringe Sokoine.

Je nini kitafuata baada ya Mzee Kikwete kuyatoa yake ya Moyo
View attachment 2962592
ni??
Hayo maneno ni ya Kikwete, kwenye kile kikao Cha "wazuri hawafi,ambapo walishindwa kupitisha azimio lao la kumpitisha Samia Rasimi".
 
Yeah! Ilikuwa inamhusu Chalamila Kagera enzi zile. Ndiyo maana ninawauliza hapo ndiyo wamemjibu Makonda?
Usitudanganye bhana, au umekopi kwa MTU haraka haraka, ukaona ulete umbeya wa uongo. Makonda kasema jana, Kikwete alisema zamani kule Dodoma, baada, ya Charamila kuongea issue fulani kama hii.
 
Usitudanganye bhana, au umekopi kwa MTU haraka haraka, ukaona ulete umbeya wa uongo. Makonda kasema jana, Kikwete alisema zamani kule Dodoma, baada, ya Charamila kuongea issue fulani kama hii.
Pamoja na hayo, ujumbe umefika.
 
Back
Top Bottom