Paul Makonda Special Thread: Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Paul Makonda; Make Arusha Great Again

Anaelewa sectors za tourism industry au analeta ujaujanja kwenye kaz za watu
1. Accommodation (kulala kula na kunywa)

2.Transport (kuanzia ndege ,tax, mabas mpka yale malendkruza marefu marefu,)

3.Attractions (vivutio apa ndio mwenezi mstaafu uwezo wake ulipoishia )

yaani huyu chalii asikamatwa mapema atavuruga uko chugastan
 
Kwa nini mnafuatilia usanii wa huyu mjinga? Kukaa kote alikokaa Dar na matamko yake yaliyoyeyuka kama barafu mara hii mmeshasahau? Kukuza utalii ni kitu kinafanywa na serikali na ni process ya muda mrefu yenye mikakati na kujitoa kwingi. Haya hebu tuchulie Makonda ni mchapa kazi sana, tujiulize, RC anawezaje ku-perfom mkoa mmoja uwe tofauti na mikoa mingine wakati serikali ni hiyo hiyo moja? Achaneni na hizi danganya toto!
 
Makonda amenikasilisha sana, sina wivu wa kile anakipata au kuwa ndani ya serikali ila amenikosea sana binasfi why hatulizi kichwa ,naomba niandaliwe pambano nae tuzichape roho ya itakua na amani
Pole kwa hilo!udhamini wa pambano lako na Mh.Makonda unahitaji umakini mkubwa...ila pambano lenu litavutia watalii zaidi na kuongeza mapato.
 
Mtoa mada unavyosema ARUSHA hakuna Museum nzuri au kubwa una uhakika?

Unaijua CULTURAL HERITAGE?
Aseee ile siyo bana, ile sijui imeunganisha na bibi Jane Goodwill mzazi wa nyani wa gombe?.

Utakuwa hujui museum labda nadhani, au useme ile ya hapo nyuma jirani na ofisi ya RC?.
 
Hebullient
Hebu tueleweshane kwa mifano huenda wengine tupo Nchi hii hii lakini hatuoni hayo mafanikio yake kwa wananchi na impact yake imekuaje? Tatizo moja tunatabia yakutokufuatilia murndelezo wa mambo baada yakukusanya watu na malalamiko then solution yake ni ipi inatoka,je hawa watu wanatelekezwa au wanakua wapi tena baada yakuwasikiliza siku tukiweka ushabiki kando ndio tunaweza kutoka hapa tulipo
 
Nadhani yuko bize na mambo ya vita ya tatu ya dunia WW3, anatoa ushauri katika medani za kivita huko mashariki ya kati. Vinginevyo ngoja nimtag hapa aje atupe majibu.
makonda
 
Ukimsikiliza Makonda anapoongea unajua Sasa Arusha inaenda kubadilika, lakini kiuhalisia yeye ni motivation speaker. Anasema watalii wanatakiwa wakija wasilale Bali wawe na sehemu za kutembelea, ni wazo zuri lisilo na uhalisia. Kwanza watalii wengi wanaofikia Arusha huenda kutazama utalii wa wanyama, na wengi ni wazee. Kwa kawaida wazee hawataki kelele, na hutaka sehemu tulivu ya kupumzika. Sasa mtu ambaye hataki kelele utampeleka kutalii usiku?

Huyo mfanyabiashara awe makini na huyo Makonda, atawaita wafanyabiashara na kujifanya anataka wampe changamoto zao, lakini atatumia changamoto hizo kuishia kupiga rushwa na kusaka political millage, na hatatua changamoto yoyote ya maana, mara watasikia kahamishwa.
 
Daah... Hivi kwa chuki zenu dhidi ya Makonda hamuoni kama mnampaisha zaidi!?, ukiingia jamii forums jukwaa la siasa kumejaa Makonda tu. Hamna hata wake/wapenzi wa kuwasahaulisha kuhusu Makonda!?,
NB: Mimi sio mfuasi wa Makonda lakini mwanaume kukaa unamfikiria mwanaume mwingine kwa chuki Kila saa sio afya kiakili.
 
Kwani Mkuu wa Mkoa Arusha ni nani? acha ujingaa kwenye mambo ya Jamii wewe
 
Wangapi wanaijua? Na inatangazwa vyakutosha? Ina nini chakufanya hadi mtu akija Arusha asikose kupita pale?
Muulize museum gan arusha inaeleweka,? Ukifika pale sijui wanaitaje settings ya vitu haipo sawa.lights, displays zake .em nenda ile ya crater kafananishe na za mjin uone tofauti. Arusha nzima museum yenye standard ipo crater ndan kule ngorongoro. Hapa china kuna mitaa yenyewe inauza nyama choma 24hrrs.hiv arusha si inaongoza kifugaji.why kusiiwe na mtaa ambao ikifika jion everything related na ngombe kuanzia supu,chalarii,mitori,mishkaki na wakifika wazungu mnawaeleza jins mitori,mishakak inavoliwa na ugali kachumbar, mbege pale,huon kama hela tupu? Sabab ukiwa na eneo kama hilo hao hao tours operator wataleta watu.
 
Kwani Mkuu wa Mkoa Arusha ni nani? acha ujingaa kwenye mambo ya Jamii wewe
Mkuu wengine hatukuwa na taarifa ya hao watoto, kwanini usingeitaarifu JF kuhusu watoto, kwenye thread yako yenye aya nne sentensi moja tu yenye maneno yasiyozidi 15 ndo umeelezea kuhusu watoto, kwingine ni lawama. Ulivyo na hasira na Makonda umesahau hata kuweka R.I.P kwa haraka za kuelezea chuki zako dhidi ya Makonda. Mkuu kunywa hata bia/whiskey/Gin leo weekend. Chuki dhidi ya mwanaume mwingine zitakuletea stress za bure.
Great minds discuss ideas; average minds discuss events; small minds discuss people... ELEANOR ROOSEVELT
 
Acha ujinga wako na chuki binafsi.angekuja napo ungekuja na chuki zako hapa na kuropoka ropoka kuwa ameleta siasa msibani na kwamba amefurahi kupata nafasi hiyo. Kwa hiyo mkuu wa wilaya ni mdogo mpaka udharau uwepo wake? Acha ujinga na chuki za kijinga kwa Mheshimiwa Makonda.
 
Atakuwa kawakilishwa

Ila nyie mjifunze,usalama wowote unaanzia kwenu

Ova
Mtu anaambiwa huwezi kuvuka kwenye hayo maji ni mengi halafu analeta ubishi kisa tu kavuta mibangi yake ya Arusha,matokeo yake analeta maumivu kwa familia hakupoteza uhai wa malaika na watoto wasio na hatia na wasioolewa kitu wala kuwa namaamuzi wala uwezo wa kujiokoa. Baadhi ya Vijana wa Arusha wajinga sana. Bangi zinawapeleka kubaya sana.
 
Poleni sana wana familia poleni sana wana Arusha.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…