Paul Makonda Special Thread: Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Paul Makonda; Make Arusha Great Again

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Hivi unagombea tena mwaka huu?? Nimekwambia nipe mpunga nikusaidie kukupigia kampeni unaringa, shauri yako hautorudi jimboni we haya.!
hilo liko bayana kabisaa, na sio mwaka huu ni mwakani πŸ’

basi nikipata kibali cha uhai na afya njema tena, Baraka na Neema za Mungu, nitakuepo tena kwenye debe 2025 kikamilifu, kuthibitishwa tena na wanainchi ambao kwakweli wana Imani kubwa sana nami na chama changu, lakini pia wanashauku kubwa mno kuongozwa nami πŸ’

ni suala la muda tu, mimi pamoja na Dr.Samia Suluhu Hassan na wengineo watakao chaguliwa, kuendelea kuaminiwa na Watanzania kwa mujibu wa sheria πŸ’

God bless Tanzania πŸ’
 
Arsenal wamenivuruga mpk nimechanganya mafile!! Kumbe ni mwakani uchaguzi πŸ˜…

Lakini ukumbuke ulipita bila kupingwa mtumishi, mwakani haipo hiyo!! πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mama ni Chaguo kutoka kwa Mungu
Hakuna nguvu itakayoweza kumyumbisha Jemedari Jabali letu Mwanazuoni Samia Suluhu Hassan
Yamkini watesi wake wanaungana kumchafua ila jina lake litaendelea kung'ara kwenye mioyo ya watanzania
kwako Lucas Mwashambwa
 
Wakutane hiyo 2025 kwenye wizi wa kura!
 
Kwanza nianze kwa kumshukuru Mama Samia Suluhu Hassani
Pili niungane na wewe kububujikwa na machozi hadi 2025
 
Sote viongozi na wanainchi yatupasa kuombeane Mema daima,

lakini pia tusisahau kujiombea wenyewe, na familia zetu, Neema na Baraka za Mungu katika maisha, kazi na majukumu yetu ya kila siku [emoji205]
Mungu hajatuumba hivyo kamwe. Lazima mwingine awe kwa ajir ya wengine. Kuwa beba kwa maombi na asitambulike kamwe ndivyo ilivyo. Mungu hukaa gizani anasema utashangaa nae Ni Nuru.

Wewe unaweza ukaomba lakini usijibiwe na ukaona umejibiwa. Mwingine anaweza akaomba kwa ajir yako akajibiwa na hujibiw sbb hutaki kuacha maovu ila aliye acha anajibiwa.

Sasa ombea viongozi wa taifa hili Mungu atakupa ajenda akiwafunua tabia zao na matendo yao ili UWEZE kuomba labda Mungu atawarehemu hivo wakati mwingine ukiona Mtu ana dunda pengine Ni sbb Mungu kampa mda labda atatubu.

Ndo maana nasema ingekuwa vizuri akasema MUNGU AKIPENDA 2025. lakini kwa kuwa hajui Wala hajafundishwa Wala simuhukumu na hata Mungu hamuhukumu mtu. Anasafar ngumu ye achekelee tu.kuna mda wa furaha na upo wa majonzi
 
Arsenal wamenivuruga mpk nimechanganya mafile!! Kumbe ni mwakani uchaguzi πŸ˜…

Lakini ukumbuke ulipita bila kupingwa mtumishi, mwakani haipo hiyo!! πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
apo kwa akina Arsenal dah, hurumae 🀣

we we we, no no no.......
mie sie wa kupita bila kupingwa, ila hua ni aibu tu na fedheha wanapataga wale wa pande ile ingine wa kushindana na mimi, lakini pia hutengwa na jamii kwa muda Fulani kwamba wanapinga maendeleo yale ambayo tumefanya pamoja πŸ’

so,
people are free to challenge me and of course to compete me kwa debe πŸ’
 
 
Baada ya Makonda kusema kuna watu hasa viongozi wanatumia watu kumkashifu Rais hakika ni kama aliwashitua viongozi na watu wa kada mbali mbali na kila mmoja amekemea na anapinga!

Lakini unaweza kujiuliza haya matusi kwa viongozi yameanza leo? Mbona yalikuwepo? Kwanini walikaa kimya mpaka Makonda alipo watuhumu ndio wamejitokeza kupambana!

Baada ya Makonda kusema pengine sio kweli lakini kwanini walikuwa kimya? Walitaka nani aseme?

Ukimya wao ulisababishwa na nini?
 
Acha tu nacheka ila nna machungu walichokifanya Arsenal leo 🀣🀣🀣

Kwenye debe mtumishi hutoboi kwanza wananchi wako wenyewe unaenda kuwatembelea kipindi cha kukaribia uchaguzi unafikiri watakubali wakuchague??
 
Bwana hakawii kuitimiza ahadi yake, na wala hapendi mtu yeyote apotee bali wote wapokee toba πŸ’

ukihuisha nafsi yako vema kwa toba na msamaha, na roho mtakatifu akawa ndani yako bara-bara, akajenga makao yake ndani ya Roho na mwili wako, hiyo itakua ndio njia pekee rahisi sana kwa wewe kuskia na kutambua sauti ya wito wa Mungu katika maisha yako, katika kazi, majukumu na kila ufanyalo πŸ’

maisha yako ni sauti,
Je ni sauti ya nani, ya wito gani umeiskia na kuifuata hata uko na maisha hayo πŸ’

ni uamuzi wako kutege sikio vyema na kuskia sauti sahihi na wito sahihi katika maisha yako πŸ’

ingekua Heri leo muisikie Sauti yangu, msifanye migumu mioyo yenu πŸ’
 
Hii n post yangu ya kwanza humu jf,ila n ya pili kukuhusu wewe humu mitandaon, Huwa nakufuatilia sana Kila hatua ya maendeleo Yako kisiasa,dhumuni langu kwa ujumbe huu,nikuendelea kukupa moyo nakukuombea mema kwa M/Mungu siku zote,naona mbele huko utakuja kuwa mbunge-waziri na hata zaidi.....
 
Acha tu nacheka ila nna machungu walichokifanya Arsenal leo 🀣🀣🀣

Kwenye debe mtumishi hutoboi kwanza wananchi wako wenyewe unaenda kuwatembelea kipindi cha kukaribia uchaguzi unafikiri watakubali wakuchague??
hata Liverfool nao wamefungwa kidimodomo kama simbwa jana πŸ’

mtumishi,
mimi daima nipo kwa wanainchi, na hivi karibuni nimehitimisha sehemu kubwa sana kuwatembelea, na kwakweli time imeenda.

Apo dar tunakuja sana, but kwa muda mrefu tuko huko kwa wanainchi,

na hakuna kuzubaa, coz tayari wengi wameanza kuzengea zengea, but binafsi nipo rada mbaya sana nipo chonjo nimejipanga ile mbaya...

nitakula nao sahani moja, nitakwenda nao sambamba bila mbambamba mpaka kieleweke. una far nchezo nin πŸ’
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…