Paul Makonda Special Thread: Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Paul Makonda; Make Arusha Great Again

Ameongea vizuri sana ,si alimzoea mwendazake nami nasema tukutane kama uchaguzi ukifanyika ,wenda akawa mkimbizi wa kwanza kimbia inchi mda ni mwalim mzuri
 
Endeleeni kudeka na kuzira kama watoto wadogo mkifikiri mtabembelezwa.
Hatutaki kubembelezwa, tunataka uwanja sahihi wa ushindani, hapo ndio tuone kama utaweza kuleta haya mapost yako marefu ya michoso.
 
Inawza kutuathiri hata sisi tuonao kaa huku vijijini ndugu yangu
 
Inawza kutuathiri hata sisi tuonao kaa huku vijijini ndugu yangu
Mkuu nimeipenda sana iyo avatar picha yako ya mawingu na landscape. Hayo aina ya mawingu nimbus na cumulus yanapendezesha anga sana na biashara ya mvua kubwa kujikusanya lucha ya kuwa clear white.

Ni wewe ulipiga iyo picha? Na ni wapi hapo?

Iyo picha inapendeza sana.
 
Kama ni hivyo ni kipi kinawafanya hamtaki mabadiliko ya kweli kwenye tume ya uchaguzi?
kwan mabadiliko ya kweli Lazima mpaka wewe useme au upendekeze?πŸ’

useless suggestions za wachache zinaheshimiwa tu na kuwekwa kabatini
 
kwan mabadiliko ya kweli Lazima mpaka wewe useme au upendekeze?πŸ’

useless suggestions za wachache zinaheshimiwa tu na kuwekwa kabatini
Hiyo ni kwa mujibu wa makusanyo kwenye kikosi kazi, na rasimu ya Warioba. Sasa majizi kwenda kinyume na wananchi ni lazima tuingie kwenye machafuko, ama mapinduzi ya kijeshi Ili matakwa halali ya wananchi yapatikane.
 
Siku ile madam alivyokuwa anamsema ndugai kwamba yite yake ya ndugai ilikua ni stress 2025, kumbe mwenye stress kuzidi mi yeye, heri mh angeachana kabisa na 2025.
 
You are very right man!
I have never heard such a fucken utterance from such a stupid politician. Yeye anajiona yupo ikulu. Kuteuliwa tu kuwa mkuu wa mkoa anakuwa na mbwembwe hizi, siku akiteuliwa kuwa Naibu Waziri mbona atajinyea!
 
Hapana ndugu yangu niichukua kwenye mtandao.
Hii nadhani ni south Africa
 
Hiyo ni kwa mujibu wa makusanyo kwenye kikosi kazi, na rasimu ya Warioba. Sasa majizi kwenda kinyume na wananchi ni lazima tuingie kwenye machafuko, ama mapinduzi ya kijeshi Ili matakwa halali ya wananchi yapatikane.
jeshi la manyumbu, mavuta bangi na manywa visungura sio, au lile la mihemko na matusi πŸ’

kwahiyo kikosi kazi ndio kimependekeza machafuko na mapinduzi ya kijeshi 🀣

πŸ’au hayo ya machafuko ya kijeshi ni mapendekezo yako na manyumbu wenzio baada ya kuvuta na kunywa visungura, mnajiona nyie ni Jeshi la manyumbu, right 🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…