Paul Makonda Special Thread: Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Paul Makonda; Make Arusha Great Again

Paul Makonda Special Thread: Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Paul Makonda; Make Arusha Great Again

Ndugu zangu Watanzania,

Mimi naendelea kuwapeni habari tofauti tofauti na mchanganyiko bila kuchoka .pia msichoke maana maisha ndio haya haya na nchi yetu ndio hii hii na watanzania ndio hawa hawa .

Ipo hivi kuna wimbo umemuonyesha Mkuu wa mkoa wa Arusha Mheshimiwa Makonda akicheza na kuimba kwenye gari lake, katika wimbo unaoitwa NAMLETA MAMA SAMIA. Video hiyo ambayo imeendelea kusambaa na kufurahiwa na watu wengi juu ya wimbo huo ambao umetungwa na msanii wa bongo freva Diamond.

Mhessimiwa Makonda mwishoni wa wimbo huo baada ya kumaliza kucheza wimbo huo amesema tukutane 2025. Hii ikimaanisha ni miongoni mwa nyimbo kali zitakazotikisa na kutumiwa wakati wa kampeni za Urais wa Rais Samia ,ambaye mamilioni ya watanzania wamekuwa wakiipigia magoti na kuisihi sana CCM kuhakikisha jina la Rais Samia linarejeshwa kwa wananchi kama mgombea pekee wa CCM atakaye peperusha bendera yake ili wampigie kura za ndio kwa kishindo kama sehemu ya kutoa shukurani kwake kwa utumishi wake uliotukuka .

Tuendelee kutulia na kuendelea kufurahia utawala wa mama yetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mama Samia Suluhu Hasssan,ambaye anaendelea kuchanja mbuga katika mioyo ya mamilioni ya watanzania. Video nitaangalia namna ya kuwawekea .ila kama unaweza ingia moja kwa moja kwenye instagram ya Diamond ujionee mwenyewe badala ya kuhadithiwa na Mwashambwa.

Mwisho nawasihi tu japo siyo kwa umuhimu,kuwa tuendelee kupendana sana watanzania,kuwa wamoja, tushirikiane, tusaidiane na tuwe kitu kimoja katika mambo yanayogusa maslahi ya Taifa letu.tusichukiane bila sababu wala kuumizana sisi kwa sisi. Duniani ni wapitaji tu ndugu zangu.hasira ya nini.wewe furahia maisha yako hata kama una lala njaa wewe jipe moyo tu kuwa kesho nayo ni siku Mungu atakupatia chakula.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.
Ameongea vizuri sana ,si alimzoea mwendazake nami nasema tukutane kama uchaguzi ukifanyika ,wenda akawa mkimbizi wa kwanza kimbia inchi mda ni mwalim mzuri
 
Endeleeni kudeka na kuzira kama watoto wadogo mkifikiri mtabembelezwa.
Hatutaki kubembelezwa, tunataka uwanja sahihi wa ushindani, hapo ndio tuone kama utaweza kuleta haya mapost yako marefu ya michoso.
 
Wana JF tusichukulie mzaha hii vita unataka kutokea mashariki ya kati kati ya Iran na Israel. Kuna mzee flan mwanausalama amenibrief kama vita hii ikitokeaa Putin lazima ashushe vitu vizito Skendinevia na Nato.

Kwa iyo nilishatenga kama dollars elfu mbili na tangu jana imemfanya shopping za mazagazaga karibu 100 tin mackerel, tin beans, tin tuna, tin sardine, dry fruits, digestive biscuits, tent/hema second had, radio ya mkononi na betri za kutosha, torch, dry bread. Kesho asubuhi nitaendelea na shopping.

Hulka yangu I never take anything for granted
Inawza kutuathiri hata sisi tuonao kaa huku vijijini ndugu yangu
 
Inawza kutuathiri hata sisi tuonao kaa huku vijijini ndugu yangu
Mkuu nimeipenda sana iyo avatar picha yako ya mawingu na landscape. Hayo aina ya mawingu nimbus na cumulus yanapendezesha anga sana na biashara ya mvua kubwa kujikusanya lucha ya kuwa clear white.

Ni wewe ulipiga iyo picha? Na ni wapi hapo?

Iyo picha inapendeza sana.
 
Kama ni hivyo ni kipi kinawafanya hamtaki mabadiliko ya kweli kwenye tume ya uchaguzi?
kwan mabadiliko ya kweli Lazima mpaka wewe useme au upendekeze?🐒

useless suggestions za wachache zinaheshimiwa tu na kuwekwa kabatini
 
Screenshot_20240414_222610_X.jpg


Na kuita watu mashoga
Screenshot_20240414_222809_X.jpg
 
kwan mabadiliko ya kweli Lazima mpaka wewe useme au upendekeze?🐒

useless suggestions za wachache zinaheshimiwa tu na kuwekwa kabatini
Hiyo ni kwa mujibu wa makusanyo kwenye kikosi kazi, na rasimu ya Warioba. Sasa majizi kwenda kinyume na wananchi ni lazima tuingie kwenye machafuko, ama mapinduzi ya kijeshi Ili matakwa halali ya wananchi yapatikane.
 
Siku ile madam alivyokuwa anamsema ndugai kwamba yite yake ya ndugai ilikua ni stress 2025, kumbe mwenye stress kuzidi mi yeye, heri mh angeachana kabisa na 2025.
 
You are very right man!
I have never heard such a fucken utterance from such a stupid politician. Yeye anajiona yupo ikulu. Kuteuliwa tu kuwa mkuu wa mkoa anakuwa na mbwembwe hizi, siku akiteuliwa kuwa Naibu Waziri mbona atajinyea!
 
Mkuu nimeipenda sana iyo avatar picha yako ya mawingu na landscape. Hayo aina ya mawingu nimbus na cumulus yanapendezesha anga sana na biashara ya mvua kubwa kujikusanya lucha ya kuwa clear white.

Ni wewe ulipiga iyo picha? Na ni wapi hapo?

Iyo picha inapendeza sana.
Hapana ndugu yangu niichukua kwenye mtandao.
Hii nadhani ni south Africa
Screenshot_20240414-233814_Google.jpg
 
Hiyo ni kwa mujibu wa makusanyo kwenye kikosi kazi, na rasimu ya Warioba. Sasa majizi kwenda kinyume na wananchi ni lazima tuingie kwenye machafuko, ama mapinduzi ya kijeshi Ili matakwa halali ya wananchi yapatikane.
jeshi la manyumbu, mavuta bangi na manywa visungura sio, au lile la mihemko na matusi 🐒

kwahiyo kikosi kazi ndio kimependekeza machafuko na mapinduzi ya kijeshi 🤣

🐒au hayo ya machafuko ya kijeshi ni mapendekezo yako na manyumbu wenzio baada ya kuvuta na kunywa visungura, mnajiona nyie ni Jeshi la manyumbu, right 🤣
 
Back
Top Bottom