Paul Makonda Special Thread: Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Paul Makonda; Make Arusha Great Again

Wana CCM toka wajue kwamba inawezekana na hakuna lolote litakalotokea la kutisha naona wanajiandaa katika Hali ambayo haijawai tokea. Mpaka tufike 2025 tutaona mengi sana ya kutisha na kustaajabish. Tufunge mikanda tu
 
Kuwa
Tatizo lakuwapa watu wasimamie mambo ambayo siyo fani zao.Huyo mzee miaka yake yote alikua anashughulika na mambo ya uhasibu leo unamleta asimamie mambo yote ya utalii na uhifadhi plus jamii itakavyonufaika na hiyo taasisi lazima maelezo yapelee.
Kuwa Mhasibu hakumzuii kuielewa taasisi yake..mf kujua Hifadhi ya Taifa ya Tarangire iko mkoa gani .
 
Na Mapooza yanatokana na kuinajinsi ardhi aliyotupa Mola kwa kufanya machafu kama vile;
Kudhulumu mali za wengine.
Kudhulumu "haki za kuishi" za viumbe walioumbwa na Mola
 
LEO NI JUMATATU. TUNASUBIRI MAJINA YA MAWAZIRI WANAOMTUKANA RAISI WETU
NOTE: YULE SIYO MAMA WA MAKONDA NI Rasi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
 
Leo jumatatu ataje hao wafadhili wa Mange kwani weekend yote hii ameendelea kuporomosha matusi tena mazito mazito,siyo anatingisha tingisha sambwanda lake tu.
 
Kwanini hakwenda kuaga miili ya wanafunzi Jana?
 
Kwanini hakwenda kuaga miili ya wanafunzi Jana?
Swali la kijinga sana.Ameenda kukagua madhara ya mafuriko sehemu mbalimbali mkoani Arusha.
Kwenye kuaga miili alikuwepo Mkuu wa Wilaya ya Arusha Mjini ambako ndio ajali ilipotokea.
Hivyo siku nyingine shirikisha ubongo.
 
Swali la kijinga sana.Ameenda kukagua madhara ya mafuriko sehemu mbalimbali mkoani Arusha.
Kwenye kuaga miili alikuwepo Mkuu wa Wilaya ya Arusha Mjini ambako ndio ajali ilipotokea.
Hivyo siku nyingine shirikisha ubongo.
Kuna jibu la kijinga, ila hakuna swali la kijinga.
 
Ni ya mtu binafsi na anaitangaza sana wageni wengi wanapita hapo...
Fanya utalii wa ndani ujifunze vitu sio mnaandika vitu vya Arusha kama vile vipo USA...ukiangalia site zote za matangazo ya ya utalii ipo na imechukua tuzo bora kadhaa..
Gharama yake ipoje kutalii hapo mkuu ?
 
Pamoja na mtindio wa akili nadhani umeelewa.
Wisdom is chasing you but you are always faster.
Swali halijajibiwa,

Kwanini hakwenda Kutoa Heshima za mwisho Kwa watoto wale tena wa shule ya msingi?

Nani kakwambia hiyo ziara ya uharibifu isingewezekana kufanyika baada ya watoto kuzikwa?

Karibu🙏
 
Arusha imempendeza sana, Bw. Makonda, hata wapige kelele za namna gani, hapo arusha asihamishwe, wana arusha tumemkubali na tunaamini tutasonga mbele kwa kasi kubwa huku kero zetu zikimalizwa kwa 100%.
Imependeza nini? na nini maana ya kupendeza? weww ni me au ke? make kama nu me una matatizo, haiwezekani kutwa nzima kusifia wanaume wenzako.
 
Hawajalaaniwa sema jamaa ni wakorofi mno.waliwahi kufukua makaburi ya wazungu wamisionari ili wawatahiri kule meru 🤣
🤣🤣🤣Nadhani na bangi nayo inachangia,nmekaa na Wameru sana....ni ndugu zangu,kwahyo nawajua vizuri sana.Kitu kama Bangi ni kawaida tu....Kuhusu ukorofi ni kweli,ukorofi wanao...tena Ukorofi wao ni ule Ukorofi OG...sio wa kujifunza au kuiga.
 
Mpaka saa saba hii nyamitako hajataja hao wafadhili wa Mange Kimambi anatingisha kalio lake tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…