Paul Makonda Special Thread: Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Paul Makonda; Make Arusha Great Again

"Wananchi wamebubujikwa na machozi waliposikia makonda kateuliwa kuwa mkuu wa mkoa Arusha"
 
Umewahi kupima ugonjwa wa akili?
 
Makonda ni Mwamba kwelikweli. Wapinzani wakisikia jina lake tu wanabaki wanatetemeka kama wagonjwa wa homa kali.
 
Sawa umeandika but of all people you think your makonda can change Arusha?? Never on earth!
 
Leo jumatatu ataje hao wafadhili wa Mange kwani weekend yote hii ameendelea kuporomosha matusi tena mazito mazito,siyo anatingisha tingisha sambwanda lake tu.
Na wewe unaangalia na kusemea mataka ya mwanaume? Aisee dunia inaenda kasi
 
Makonda ni Mwamba kwelikweli. Wapinzani wakisikia jina lake tu wanabaki wanatetemeka kama wagonjwa wa homa kali.
Umwamba wake unaujua wewe tu anapounguruma kichogoni kwako,maana aisifuye mvua imemnyeshea,kutwa kucha unasifia umwamba wa nyamitako hivi hujistukii kuwa unaofanya ni upuuzi
 
Kuna mwaka niliwahi kushawishiwa na mdau wangu ninunue eneo niweke mjengo. Picha hii inanikumbusha eneo nililoonyeshwa Unga Limited. Roho ilisita na nawapa heko wote wanaoweza kuishi maeneo kama hayo hapo hata kama ni karibu na mjini kati. πŸ₯΄
 
Hata hao wazao wa Ibrahim wenyewe walishaachana na hizo mambo za kumsubiri messiah wa kuwapeleka Kanan. Wanajipeleka wenyewe. Yaani wanaisaka njia wenyewe kwa teknolojia, jasho na damu tu huku wakipanga na kupangua viongozi wao kwenye boksi la kura kwa kadiri wanavyojisikia. Hizo porojo za "wazalendo" wamemuachia kiduku mwenye kazi ya kulinda legacy ya ukoo wa Kim.

Tumerudi nyuma sana!

Halafu John, tafuta darasa makini uelimishwe maana hasa ya "itikadi; ideology". Nimeanza kuamini kuwa inawezekana ikawa kweli kuwa na wewe una uelewa ziro kama ilivyo kwa watanzania wengi.
 
Gavana amebamba hatareee πŸ˜‹πŸ˜‹

Bashite utatuua jamani πŸ˜‹πŸ˜‹
Chawa wa chadomo naona mmekuja na system mpya ya matusi ya nguoni, sera hakuna, hoja za msingi hakuna, sera zenu hazijulikani, naona mmekuja kwa style ya kipekee kabisa, matusi matusi matusi, ndiyo sera zenu.
 
Toa magufuli na makonda katika uzalendo. Wale ni wauaji sana
 
Well said
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…