Nyie mnafikiri mna mpromote kumbe ndo mnamuharibia mwehu yuleKwa sasa taifa zima limeweka itikadi za kisiasa pembeni na kumwangalia Paul Makonda kama Kiongozi anayeweza kulivusha taifa kwenye hizi nyakati ngumu Sana
Mungu wa Mbinguni mtangulie Kijana huyu Paul Makonda awafikishe Watanzania Canan
Kwako Lucas [emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi unamjua mkuu JtB personally? Kwa kukudokezea tu, jamaa mkwanja haumpigi chenga. Ukibahatika kupata ofa yake utakunywa mpaka wasamalia wema wakuokote kukupeleka nyumbani. Nenda kwake Useri - Rombo ukajionee mwenyewe.Hang'over ya pombe za kudoea hiyo anaamka hata hela ya supu hana.
Labda zamani sasa hivi kaisha anakunywa mpaka visungura.Hivi unamjua mkuu JtB personally? Kwa kukudokezea tu, jamaa mkwanja haumpigi chenga. Ukibahatika kupata ofa yake utakunywa mpaka wasamalia wema wakuokote kukupeleka nyumbani. Nenda kwake Useri - Rombo ukajionee mwenyewe.
WAZALENDO WA NCHI HII NI WAWILI TU NYERERE NA SOKOINEKwa sasa taifa zima limeweka itikadi za kisiasa pembeni na kumwangalia Paul Makonda kama Kiongozi anayeweza kulivusha taifa kwenye hizi nyakati ngumu Sana
Mungu wa Mbinguni mtangulie Kijana huyu Paul Makonda awafikishe Watanzania Canan
Kwako Lucas [emoji23][emoji23][emoji23]
Sio wote ila ni wengi.Srma Makonda anawin watu wa akili ndogo. Siyo wote wenye kipato cha chini wana akili ndogo.
π€£ π€£ π€£Kwa sasa taifa zima limeweka itikadi za kisiasa pembeni na kumwangalia Paul Makonda kama Kiongozi anayeweza kulivusha taifa kwenye hizi nyakati ngumu Sana
Mungu wa Mbinguni mtangulie Kijana huyu Paul Makonda awafikishe Watanzania Canan
Kwako Lucas πππ
π€πHata hao wazao wa Ibrahim wenyewe walishaachana na hizo mambo za kumsubiri messiah wa kuwapeleka Kanan. Wanajipeleka wenyewe. Yaani wanaisaka njia wenyewe kwa teknolojia, jasho na damu tu huku wakipanga na kupangua viongozi wao kwenye boksi la kura kwa kadiri wanavyojisikia. Hizo porojo za "wazalendo" wamemuachia kiduku mwenye kazi ya kulinda legacy ya ukoo wa Kim.
Tumerudi nyuma sana!
Halafu John, tafuta darasa makini uelimishwe maana hasa ya "itikadi; ideology". Nimeanza kuamini kuwa inawezekana ikawa kweli kuwa na wewe una uelewa ziro kama ilivyo kwa watanzania wengi.
Huyo ni mwingine siyo huyu πLabda zamani sasa hivi kaisha anakunywa mpaka visungura.
Ni sahihi Arusha inahitaji kuboresha miundombinu.Museum ya Arusha ambayo unasema hakuna hii hapa..
Arusha wanakusanya mapato ila ndio Jiji wanaiba sana mapato maana hakuna stand ya maana wanazidiwa na Njombe Mkoa wa juzi tu una stand nzuri ambayo Arusha hakuna...Ni sahihi Arusha inahitaji kuboresha miundombinu.
Pili uhakika wa usalama, hii bado ni changamoto sana. Sijajua kwa nini hadi leo serikali inashindwa kuboresha hasa kwenye majiji makubwa.
Tunahitaji kuwa walau na majiji kama dar, Dodoma, Arusha na Mwanza kuwa na huduma zote saa 24 kbl hatujapeleka na mikoa na wilaya zenye shughuli kubwa za kiuchumi.
Nilishaweka katika mambo ambayo RC kwa mamlaka yake hasa huyu ndugu Makonda atembee nayo. Hilo ni kama shamba la bibi.Arusha wanakusanya mapato ila ndio Jiji wanaiba sana mapato maana hakuna stand ya maana wanazidiwa na Njombe Mkoa wa juzi tu una stand nzuri ambayo Arusha hakuna...
ππππNikazani mm ndio sielewi mimi nmeenda mara kadhaa hakuna guide sijawai kuelewa ile sanaa ya pale kwa kwelii.Bure mkuu na sio mbali na mjini ni karibu na ofisi za Tanapa au Aim Mall ipo majengo...
Sawa umeandika but of all people you think your makonda can change Arusha?? Never on earth!
Huo ubabaishaji alikuwa akifanyia Dar jiji kubwa mambo mengi watu ni rahisi kusahau sasa Arusha ni kama kiganja cha mkono, analolisema leo lisipoonekana miezi mitatu au minne watu watamtupia vilago vyake.Makonda kwa kuongea na kupanga tu, anaweza kweli kweli...
Lakini, baada ya muda jaribu ku-quantify matokeo ya vitu vyote anavyovitaja, hakuna matokeo...
Unashiriki mapenzi ya jinsi Moja nini? Maana huwezi kimsema hivyo mwanaume mwenzio!Gavana wa Arusha amenoga halafu ana mahipsss hatarii πππ
Huyu Gavana ni mnono kweRi kweRi.
Cc : Nyani Ngabu Extrovert Lamomy mshamba_hachekwi Depal Mufti kuku The Infinity Mzee wa kupambania Poor Brain