Nyie mnafikiri mna mpromote kumbe ndo mnamuharibia mwehu yuleKwa sasa taifa zima limeweka itikadi za kisiasa pembeni na kumwangalia Paul Makonda kama Kiongozi anayeweza kulivusha taifa kwenye hizi nyakati ngumu Sana
Mungu wa Mbinguni mtangulie Kijana huyu Paul Makonda awafikishe Watanzania Canan
Kwako Lucas [emoji23][emoji23][emoji23]