Paul Makonda Special Thread: Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Paul Makonda; Make Arusha Great Again

Amesema yeye ni yule wa jana, leo na hata milele na kwamba hakuna copy ya Makonda - Nukuu
Hizi sifa na kutaka kujiinua nafsi yake na hata kutaka kujifananisha na mamlaka za mbingu itakuja kumgharimu sana mtu huyu. Yeye ni mtu wa kuonewa huruma, kwa kuwa amejaa kiburi cha uzima kwa kutegemea nguvu za mwanadamu
 
Hizi sifa na kutaka kujiinua na hata kutaka kujifananisha na mamlaka za mbingu itakuja kumgharimu sana mtu huyu. Yeye ni mtu wa kuonewa huruma, kwa kuwa amejaa kiburi cha uzima kwa kutegemea nguvu za mwanadamu
Mwamba Makonda ni mcha Mungu na mwenye hofu ya Mungu. siku zote amekuwa mtu wakujinyenyekeza na kumkimbilia Mungu kwa kila jambo. Ndio maana wakati wote humtaja Mungu juu ya makubwa aliyomtendea katika maisha yake. Na kwamba yupo hai mpaka leo kwasababu ya ulinzi wa Mungu. Ndio maana umeona watumishi wa Mungu na viongozi wa Dini kila mara na wakati wakimfanyia maombi na dua njema.

Mwamba Makonda hajawahi kujiinua wala kujifananisha na Mungu wala kujiweka juu ya Mungu wala kusema amefika hapo kwa uwezo wake au nguvu zake Mwenyewe Makonda kama Makonda. Siku zote amesisitiza kuwa amefika hapo kwa uweza wa Mungu Mwenyewe aliye hai.
 
Kwa watu kujaa sana kwenye msiba siyo kipimo cha upendo. Hapa Afrika Wachawi wanaongoza kuzikwa na watu wengi. Watu hupenda kujiridhisha whether mbaya wao amekufa kweli na kuzikwa kina kirefu. Hata Magufuli ilijuwa hivyo hivyo
 
Amemuua nani? Unahukumu kitu usichokijiua. Siasa maji taka.
Labda maji kutoka kwa mama yako. Ila kwetu Makonda ni mhalifu tu.

Makonda anahusika moja kwa moja na matukio yafuatayo;
1. Kuuawa kwa Ben Saanane
2. Kushambuliwa Tundu Lissu
3. Kuuawa kwa Akwilina
4. Kujipatia mali kwa njia ya udanganyifu kutoka kwa wafanyabiashara kama GSM, NAS, GBP, Yusuf Manji
5. Kuvamia kituo cha radio/TV cha Clouds
6. Kumteka Roma Mkatoliki
7. Kumteka Mo Dewji
 
Siasa za Tanzania hazitaki 'UELEDI''. Zinataka amshaamsha na mtu ajitoe ufahamu.
Ndio njia tulioamua kuchagua.
Sasa hizo si mufanye kwenye chama chenu!! Kwani lazima CCM wafanye huo ujinga wa Mwendazake!!
 
Huna ushahidi, ukiambiwa nenda ukashitaki unaanza kulia lia, Sasa kama huna ushahidi unapoteza mda tu, fanya mengine.

Makonda Yuko Arusha palepale kitovu Cha watumu wake, anachanja mbuga balaa, Lema Sasa anaanza kuangazia mambo mengine Siasa kwisha kabisa.
 
viongozi waandamizi CCM, huteuliwa kutokana na umahiri, umadhubuti, uzoefu, bidii na weledi wao katika kufanya kazi. Hawapewi nafasi kuwafurahisha au kuwapendeza, mtu au watu fulani, mahala fulani. No haipo hivyo hiyo. Waandamizi hawa ni viongozi wa CCM moja, imara na madhubuti kwa mustakabali mwema wa wananchi na waTanzania wote kwa ujumla....

viongozi wa ngazi zote CCM, hupimwa kwa matokeo ya kazi zao, mathalani katika kuongeza wanachama wapya wengi zaidi, kuishauri serikali juu ya utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi, na maoni ya wananchi kuhusu masuala mbalimbali, kuunganisha wanachama, kushinda chaguzi mbalimbali, kuongeza uelewa wa wanachama kuhusu itikadi, sera, uelekeo na malengo ya chama na serikali n.k

mengine ni porojo na stori za hapa na pale kusogeza muda tu 🐒
 
mwenye sifa hiyo ni Mungu pekee. Yeye ndiye jana leo na hata milele

Magu alianzaga hivyo hivyo kuchukua utukufu wa Mungu. hatima yake sote tunaijua.
 
Kwa nini unaniamulia kuwa sina ushahidi? Umeudai ukaukosa? Au kwa umburura wako unadhani ushahidi tunaweka hapa JF?
 
Makonda ni mtoto wa mjini, usimfananishe na washamba wa mjini.
 
Wewe itakuwa ni newbie kwenye Siasa. Mpina ni theorist mzuri sana na sio mtendaji mzuri wala kiongozi mzuri. Labda kama kipindi Mpina anakuwa waziri haukuwa na ufahamu ila usingeongea hicho ulichoongea. Mpina kwa theory ni kama Geofrey Mwambe ila kiutendaji ni zero kabisa, hakuna wanachoweza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…