Paul Makonda Special Thread: Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Paul Makonda; Make Arusha Great Again

Una mawazo ya kitoto.
 
Kwamba aende upinzani halafu agombee urais? Yani kwa chama gani? Huyu hana huo ubavu na hana hiyo haiba ya kugombea urais akapata kwa sasa ajitahidi kutuliza matikiti asome game he is still young akitulia labda huko mbelelakini bado sana i dont see that coming.
 
Kiujumla amekosa mshauri bora ukiwa kama post ya rc lazima utafute mshauri unaemwamimi hatakama ajaenda shulee ila Ana hekima na mwadilifu unapoenda sehem anaelekeza sema nn fanyaa kile
 
Kiujumla amekosa mshauri bora ukiwa kama post ya rc lazima utafute mshauri unaemwamimi hatakama ajaenda shulee ila Ana hekima na mwadilifu unapoenda sehem anaelekeza sema nn fanyaa kile
Tatizo ni mjuaji na amezungukwa na wapumbavu. Kwake kuweza kukua zaidi itakuwa ngumu sana. Ana bahati ya kuaminiwa lakini huwa anaharibu mapema.
 
Mawazo mazuri ila vip kama??
 
Tatizo ni mjuaji na amezungukwa na wapumbavu. Kwake kuweza kukua zaidi itakuwa ngumu sana. Ana bahati ya kuaminiwa lakini huwa anaharibu mapema.
4sure mkuuu uko sahihi dogo Ana nyota sema anakosa wa kuilinda nyota yake
Bahatimbaya sheikh wetu amekufa ningemshauri aende magomenj kusafisha nyota yake
 
Vyama nimetaja hapo..... Alafu fikiria akaunganisha nguvu na POLE POLE🤣🤣
 
Nje ya CCM makonda ni kama wale wadudu wa Arusha, zero impact
Ameshazoea vya kunyonga hawezi vya kuchinja. Mtu anayetaka kufananisha history ya kisiasa ya ENL na huyu bwege atakuwa hajui political path aliyopitia Lowassa tokea anaanza ubunge. Huyu dogo hajui hata siasa za jukwaani ana vyeo vya kupewa tu mtu anawezaje kufikiria kumfananisha na ENL? Kuna vijana wanapewa buku 20 kuendesha ajenda bila kuwa na akili.
 
why not,
it might be 🐒

in politics nothing happens out of mere coincidence, everythings are normally well planned, organized and executed in order to achieve a certain well specified political objectives 🐒
 
Vyama nimetaja hapo..... Alafu fikiria akaunganisha nguvu na POLE POLE🤣🤣
Bado sana. Yani awatikise akina Kinana, JK, Makamba Sr, Mangula, Serikali nzima kwq maana ya kamati ya ulinzi na usalama? Bro hao wanaishi kwa kudra za chama and out of chama chao they are nothing watabaki kuwa wanaharakati tu. Unless you must be kidding.
 
Kuna sehemu hujanielewa Bondpost maana halisi ya huu Uzi ipo sentensi ya mwisho kwenye kauli ya mama ukishindwa kung'amua hapo hutanielewa
 
Binafsi sijawahi muelewa anafanya (ga) nn? Pia serikalini kumejaa waoga wengi...hv kipindi kile akiwa itikadi & uenezi alikua anawahoji watumishi wa halmashauri kama nani? Na watumishi wapo wanajibu😁

Nlikuwa nafuatilia Ile akiwa Iringa Kuna jamaa wa Ardhi anaitwa Shirima alikua analalamikiwa na kila mtu lkn Shirima hajibu maswali kiufasaha Makonda kila mda akabaki kusema "Shirima muogope Mungu"
 
Wavivu wengine kumbe wapo Jf, kutwa nzima ni makonda makonda makonda,

Fanyeni yenu washamba nyie

Makonda piga kazi, maadamu umeaminiwa
 
Shirima ni noma 😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…