johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Mpigie sim mwambie amkumbuke Mangula kwenye vikao kama hivi!Mkuu wa mkoa wa Arusha mh Paul Makonda amefika makao makuu ya CCM Dodoma Kuhojiwa na Kamati ya Maadili
Source: Mwananchi
Kulirejesha ndani ya chupa ndio shughuli nzito.Hao wanaomuhoji wote wanamuogopa. Itakuwa kama vile wao ndio wanahojiwa.
Makonda ni zimwi la kufugwa ambalo limekuwa kubwa kuliko wanaomfuga.
Acha uzushi.Mkuu wa mkoa wa Arusha mh Paul Makonda amefika makao makuu ya CCM Dodoma Kuhojiwa na Kamati ya Maadili
Source: Mwananchi
Mbona tulikuwa nae hapa kumuaga gadna amekuja na SGR ya umeme!!?Mkuu wa mkoa wa Arusha mh Paul Makonda amefika makao makuu ya CCM Dodoma Kuhojiwa na Kamati ya Maadili
Source: Mwananchi
Akifika Dec huyo atakuwa na ugonjwa unaomtafuna taratibu.Hivyo vikao Mangula anavijua sio poa kabisa kaingia kwenye 18 za watu.Kulirejesha ndani ya chupa ndio shughuli nzito.
Kwani Dar -Dodioma ni mbali?Nimemuona Leaders kwenye msiba wa Gardner,
Huko Dodoma kapaa au?
Kabisa.Kulirejesha ndani ya chupa ndio shughuli nzito.