John Wickzer Mulholland
JF-Expert Member
- Apr 13, 2023
- 6,656
- 14,403
Amkumbuke Horace Kolimba.Mpigie sim mwambie amkumbuke Mangula kwenye vikao kama hivi!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amkumbuke Horace Kolimba.Mpigie sim mwambie amkumbuke Mangula kwenye vikao kama hivi!
Kwa hiyo ccm ni chama cha mafisadi?Wanaomhoji ni watetezi wa mafisadi.mwenyekiti wa hiyo kamati ni fisadi namba Moja Tanzania
Mwananchi wameripoti yuko Kinondoni.Source: Mwananchi
😂😂😂
Unaelewa maana ya " atinga"?Hatatokea
Kwann sijamuhusisha na CCM unadhani??Sijawahi kuelewa kwanini Makonda huwa anahusishwa na nafasi za juu kabisa za uongozi ikiwemo nafasi ya Rais.
Hivi kumbe nafasi ya Rais ni nyepesi kiasi cha hadi mtu kama Makonda kuishika? Wanaomuwazia hayo huwa mnaangalia nini kwake?
Kwani Kinondoni na Dodoma ni mbali?Mwananchi wameripoti yuko Kinondoni.
Umemaliza.....Kazi yake ni kufanya mambo ambayo wana-ccm wengine hawawezi kuyafanya, ambayo ni yale kutoa kauli zenye utata na muksheliii kwa umma
Simwongelei huyo zero brain nilikuwa nakujibu ulichoandikaUnaelewa maana ya " atinga"?
Usisahau kuni tag mkuuMutujulishe
Hivi kweli alishamuomba msamaha Mzee Waziri Mkuu mstahafu Warioba kwa udhalilishaji alio mfanyia?Mtu akiwadhalilisha wazee huwa anapata aina fulani ya laana kutoka kwa wale wazee mpaka akawaombe msamaha. !
Ile kutubu kwa Kiongozi wa dini haihusiani na makosa uliyowafanyia hao wazee !
Aende akawaombe msamaha hata kama ni wazee hohehahe !
Karma is a bitch !
Hata Lowasa walisema ni fisadi lakini baadae walimpokea kwa mbwembwe , nderemo, shangwe na vifijo.makonda hata upinzani hawamtaki mdhalilishaji, anafaa kuwa mkulima tu
Najaribu kuwaza...🤔
Tumeona MAKONDA akitoa kauli mbalimbali AMBAZO kimsingi si rafiki Kwa baadhi viongozi wa CHAMA na zinatishia uwepo wa viongozi hao ndani CCM.
Nina imani Kuna kitu nyuma ya hizi vurugu za MAKONDA kuelekea UCHAGUZI mkuu 2025 mpaka sasa Kwa kiasi kikubwa jamaa anawatu na kaaminika katika jamii kama mtetezi na msemaji wa watu.
SASA BASI, WHAT IF?!
Kabla ya 2025 MAKONDA akawajibishwa na CHAMA Kwa kigezo Cha "maadili" na akaamua kujiunga na upinzani mathalani ACT na kugombea Urais Nini kitatokea?
Je, kabla ya kujiunga na ACT akiwa bado Yuko huru na akaendeleza harakati zake kama mtu huru JE CHADEMA itakua tayari kumpokea?
Mwisho..
What if anatengenezwa Kwa ajili ya hayo hapo kuelekea 2025 apatikane mtu WA kichachafya CCM kidogo mwaka 2025. Na baadae MAMA aseme "we ni mwanangu Rudi nyumbani"
Jumatatu njema.
upinzani Lissu anatosha toa hiyo takatakaNajaribu kuwaza...🤔

afadhali ya wadudu wa arushaNje ya CCM makonda ni kama wale wadudu wa Arusha, zero impact