johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Akiwa CHAWA mkuu wa Rais anakuwa amevunja kifungu gani Cha Sheria?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Makonda anapenda kudekezwaMakonda anataka yeye ndiye awe chawa mkuu wa Rais Samia, anamlazimisha Rais amsikilize yeye sana kwamba yeye ndiye msema kweli, Mimi kwenye serikali yangu sitahitaji machawa wala watu wakujipendekeza kwangu” Hashim Rungwe
Rais ni nembo ya taifa hahitaji kuwa na chawa, sifa za chawa ni kupenda kuwa sehemu chafu unless otherwise uniambie bosi wake ndo uchafu wenyeweAkiwa CHAWA mkuu wa Rais anakuwa amevunja kifungu gani Cha Sheria?
2hrs kwa hizi LC600, kama dereva sio muoga.Kwani Dar -Dodioma ni mbali?
Haka kamsemo kananifurahishaga sana. 😎🤓😜😣🤗Kulirejesha ndani ya chupa ndio shughuli nzito.
Wanaweza kwa sababu hii!Wanamuogopa? Are you serious?View attachment 2971060
Taarifa za jogging basi tena ni makonda tu!Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda amewasili kwenye ofisi za Makao Makuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) jijini Dodoma kwa ajili ya kuhojiwa na Kamati ya Maadili.
Makonda ameitikia wito wa kufika mbele ya kamati hiyo kwa barua aliyoandikiwa Aprili 16, 2024 huku sababu za kuitwa kwake zikiwa hazijawekwa wazi.
Awali, Makonda alitakiwa kufika mbele ya kamati hiyo Aprili 20, 2024 kabla ya kusogezwa mbele na kupangwa kufanyika leo Jumatatu, Aprili 22, 2024.
Pia soma
Mkapa ni maji marefu sana, ndiye aliijenga nchi ikakaa kimfumo, japo na yeye akikuwq na mapungufu yake, Dar iliacha kumuimba Mwaibula ikaanza kuimba SUMATRA na LATRAWakati Benjamin William Mkapa akiwa Mhariri wa Magazeti ya Serikali, akiwa katika kazi yake, alisikia maneno ya waziri mmoja, Oscar Kambona, akimsengenya rais, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.
Benjamin Mkapa hakupanda kwenye jukwaa lolote la kisiasa na kutoa habari hizo. Alimfuata rais Nyerere na kumpa hizo habari. Nyerere akamuhoji akitaka kujua uhakika wa habari hizo, kwa sababu aliona itakuwa vigunu sana kwa Kambona kumsema yeye Nyerere vibaya, akizingatia urafiki wao wa muda mrefu.
Kama mwanafalsafa aliyefuata methali ya Kirusi "Trust but verify", Nyerere alimuamini Kambona, lakini akataka kuhakiki mambo na kuweka watu waliomfuatilia, ambao walikuja kuthibitisha maneno aliyoyasema Mkapa kwa Nyerere.
Kilichofuata ni historia. Kambona alikimbia nchi na kwenda uhamishoni Uingereza alikokaa kwa miaka mingi sana.
Historia hii inatufundisha nini?
Kukosana viongozi kushawahi kutokea nchi hii, ika hakujutangazwa kwenye hotuba. Kutangaza kwwnye hotuba ilikuwa ni papara inayoonesha kukosa mahesabu kama aliyokuwa nayo Benjamin William Mkapa.
Hii ndiyo tofauti ya mtu kama Mkapa aliyepanda ngazi mpaka kuwa rais na mtu kama Makonda ambaye anatafuta kiki za muda bila ya kuusoma mchezo wa muda mrefu.