Paul Makonda Special Thread: Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Paul Makonda; Make Arusha Great Again

Sasa kama unaishi gizani kiasi cha kutokujua maovu ya Bashite nikikueleza hapa utaamini tu kama kondoo au ntapogeza muda bure,inaweza kuwa na wewe ni Sukuma gang who knows
Yataje kwa faida yangu na wasio jua. Pia itasaidia kukuondoa kwenye kundi la wafuata mkumbo tu!
 
Labda nikuulize swali fupi tu, kama usemayo ni kweli kwanini kila siku humu watu wako bize na Chadema chama wanachodai kimekufa?
 
Yataje kwa faida yangu na wasio jua. Pia itasaidia kukuondoa kwenye kundi la wafuata mkumbo tu!
Bashite alihusika kwenye shambulio la yule mbumge
Bashite alihusika kupora watu pesa na mali zao zingine
Bashite na watu wasiojulikana walikuwa kitu kimoja.
Je yanatosha au ni machache
 
Bashite alihusika kwenye shambulio la yule mbumge
Bashite alihusika kupora watu pesa na mali zao zingine
Bashite na watu wasiojulikana walikuwa kitu kimoja.
Je yanatosha au ni machache
Aliingia clouds na mitutu ya bunduki wazi wazi bashite ni jambazi
 
Labda nikuulize swali fupi tu, kama usemayo ni kweli kwanini kila siku humu watu wako bize na Chadema chama wanachodai kimekufa?
Hahaha hizo ni propaganda zangu za kuififisha hicho cham mfu kionekana hakina watu ili CCM tuendelee kuwa maarufu. Yaani siku zote mi chadema ni cham kilichokufa tangu 2015 na hakina kabisa mashabiki na lema ni jambazi la magari na mbowe ni gaidi na lisu kakimbilia ulaya kuolewa hahaha mtakoma. Tatizo lenu nyie wapinzani mlianza siasa za kuchafuana basi na sisi tukasema ngoja tule nanyi sahani moja. Ila si unaona uzushi wetu mwingi unaaminika. Mfano chadema ni chama cha wachaga na cha wakristo na pia kinaongozwa mtu aliyepata zero na mvaa heleni na viongozi wake wengi majambazi kama mbowe lilikuwa tekaji la magari
 
Mkuu kwa zama hizi hizo propaganda zenu hazitowasaidia kabisa,kwani watu wengi siku hizi wamepata elimu kiasi,labda huko porini ndiyo bado wanaamini hizo propaganda zenu
 
Ushauri mujarab kabisa. !
Ni kweli kabisa akawaombe msamaha na wakiri kwamba wamemsamehe !
Vinginevyo ni kazi bure !!
 
Ukiwatendea uovu watu ujue kwanza kabisa malipo yake yatafanyika hapa hapa Duniani !!
 
Naona Makonda ana nyuzi nyingi kama JPM. Hii ni ishara njema kwa huyu kijana. Anaongelewa kuliko hata Marais wastaafu wanaoishi.
 
Mkuu kwa zama hizi hizo propaganda zenu hazitowasaidia kabisa,kwani watu wengi siku hizi wamepata elimu kiasi,labda huko porini ndiyo bado wanaamini hizo propaganda zenu
Zimefanya kazi mbona. Sasa wapiga kura wanajua mbowe ni gaidi, jizi, jambazi na uaji
 
Zimefanya kazi mbona. Sasa wapiga kura wanajua mbowe ni gaidi, jizi, jambazi na uaji
Hahahahah watu gani hao wanaojua hilo,labda watu pori lakini watu wa kawaida wanawadharau tu, ni sawa na ile propaganda yenu ya kila anayewapinga mnasema vyeti fake,ili kwa sasa limekuwa kama kichekesho
 
Unayehoji hayo wewe ni nani eti..! Ndiye unayetoa msamaha wa huyo? Unasehemu gani ya maisha yake

Aaahaaa! Ndiyo maana hata vyuo vya Tanzania havipo hata kwenye 20 bora Africa, pengine hapo ulipo na wewe una PhD 😏

wewe ni kilaza na mshamba, unauliza maswali ya kijinga sana
 
kwani viongozi wanaondolea watu dhambi? wenyewe wana dhambi zao
Mungu tu ndo anaondoa dhambi

Mt 6:6 SUV​

Bali wewe usalipo, ingia katika chumba chako cha ndani, na ukiisha kufunga mlango wako, usali mbele za Baba yako aliye sirini; na Baba yako aonaye sirini atakujazi.
 
Habari wana jamvi?

Binafsi namkubali huyu jamaa kwa uthubutu wake wa baadhi ya mambo na namna anavyopambana kuweka alama ya uongozi.

Wengi hawapendezi kwa namna anavyowasimanga wengine, lakini kwa sasa na hizi tabia zetu acha afanye tu.

Kinachonipa mashaka ni toka amalize kikao chake na kamati ya nidhamu na maadili ya CCM habari zake zimeanza kufifia hata yeye ni kama amekosa nuru.

Duru zinasema kikao kilikuwa cha moto dhidi yake, na pengine akuzinguliwa chamani.
Tumuombee tu ndugu yetu, chama kimsamehe na kuendelea kumuamini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…