Paul Makonda Special Thread: Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Paul Makonda; Make Arusha Great Again

Tumuombee? Mwombee we na familia yako
 
WANASEMA MAUAJI
 
CCM kimajaa mashoga na wasagaji.... mtajuana wenyewe.
 
Kama Makonda anachokifqnya Chama chake hakipendezwi Basi ni dhahiri kuwa CCM Ndiye Adui yetu mkubwa. hakina Nia njema na watanzania
Jamaa kagusa mirija ya wakuu. Bosi wake kampoza ameona Makonda Ndio anaweza shughuli za kujitoa Mhanga Sasa unaweza ukaelewa NI Kwa nini Yule Msomali anashutumiwa Kwa ujangili na wa Tembo Kwa miaka mingi Na ufisadi mwingine Kwenye Industry ya utalii Yeye Ndio Nembo ya Chama chao. Sasa Makonda kagusa mirija Maji yanatishia kukauka shambani
Mwenye sikio afahamu.
 
Umeme Mdogo
Walikwenda Kufanya Adjust Hutamsikia Tena
Zamani Walikuwa Wanawapeleka Chimwaga
 
Iambie familia yako imuombee makonde sisi wengine tunamengi ya kuombea
 
Alisema ataongea na waandishi punde si punde lakini hadi leo kimya hata huyu lucas ametoweka.

Uvunguni huko moto unafukuta.
CCM ina Wenyewe. Muda ndio Kila kitu! Wewe uliona wapi Mtu anaita kila Aina ya Dini Imuombee😁. Maana ata Imani aliyorisishwa na WazaZi wake aiamini- So ata imani yake kwa Mungu ina Walakini!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…