Paul Makonda Special Thread: Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Paul Makonda; Make Arusha Great Again

Makonda ni kijana mzuri sana

Namwombea kwa Mungu amtumie huyu kijana kwa ajili ya Tanzania
Kipi kizuri kimoja tu alichokifanya ambacho unaeza sema ona ile,huyo mjanjamjanja tu,ndo maana magu alimshtukia akampiga chini,anatumia njia ya kijuana na viongozi
 
Mbona chalamila yuko vizuri dar? Makonda kwa sasa anapitia kwenye magumu kisiasa keshapunguzwa makali. Hatakuwa kama enzi zile akiwa mkuu wa mkoa wa dar
 
DAB ni bingwa wa kucheza na akili za wajinga!!
 
Alipotajiwa watu aliowaua chini ya utawala wa dhalimu magu na hasa shambulizi lake dhidi ya Lisu, akaambiwa uchunguzi uanze dhidi yake imebidi atulie kwanza, amejua watu hawakawii kuchomoa battery.
Alitajiwa Chacha Wangwe?!!🐼
 
Ukiacha Yusuph Makamba, anaefuatia ni huyo mwamba Poul Makonda.
Hakuna mkuu wa mkoa wa Daresalam alie litendea haki jiji hili zaidi ya hao wawili.

Naunga mkono hoja, turudishiwe Makonda wetu.
 
Mbona chalamila yuko vizuri dar? Makonda kwa sasa anapitia kwenye magumu kisiasa keshapunguzwa makali. Hatakuwa kama enzi zile akiwa mkuu wa mkoa wa dar
Charamila ni mzinguaji tu, kwanza kapooza utadhani ni mwenyekiti wa serkali ya mtaa bhana!
 
Ukiacha Yusuph Makamba, anaefuatia ni huyo mwamba Poul Makonda.
Hakuna mkuu wa mkoa wa Daresalam alie litendea haki jiji hili zaidi ya hao wawili.

Naunga mkono hoja, turudishiwe Makonda wetu.
Yupo Abbas Kandoro alikuwa vizuri wala si lopolopo kama konda.
 
Kwanini Makonda asiamuru kamati ya maadili ya CCM ivunjwe iundwe upya?
 
Sasa kama chama Kaimu mwenyekiti ni Kinana, katibu mkuu Nchimbi na huyu msemaji mpya huyu jamaa wa kugugu unategemea nini. Kinana ndio wale sirini walimuita magufuli mshamba na kumsema vibaya hata kupanga njama dhidi yake. Katibu mkuu ni huyu Nchimbi aliyemtetea lowassa agombee urais kikao cha kamati kuu hadi kususa kikao baada ya kushindikana na kutoka nje ya kikao. Msisahau Lowassa alinangwa nchi nzima kama fisadi nambari moja nchini. Hii CCM tusitegemee wanamapinduzi wasioonea haya rushwa uzembe na kila ufisadi mfano ya magufuli watakua na nafasi. Inatakiwa wanaccm kuacha uchawa na kusimama kidete kuhakikisha chama kinabakia kwenye mstari sahihi ili kutoachwa yeyeto kwenye fursa kupata maendeleo ya kiuchumi kwenye jamii inayojali haki na usawa kwa wananchi wake wote
 
Nyani katema bungo
 
Mhe. Makonda ana karma ya uongozi katunukiwa na Mungu.
wapo watakao muonea wivu kutokana na kipawa chake. Mngu atamlinda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…