Paul Makonda Special Thread: Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Paul Makonda; Make Arusha Great Again

Bado makonda anapaswa kupewa hata ukatibu mkuu CCM pale au makamu mwenyekiti. We need him
 
It’s all because of the Power of FOOLS.
 
Siku namuona Paul ,pale Escape one nilimuuliza Ruge huyu ni nani akasema ni DC wa Kinondoni..nikamwambia huyu hana akili ila anapenda sifa..hamna kitu humu ....alikuja kunielewaa baadae sana alipozingua mjengoni
 
Lucas Mwashambwa chawa mwandamizi
 
Yaani Mpumbavu apewe Ubalozi kutuwakilisha Watanzania Werevu akina GENTAMYCINE na Wenzake? Uko serious?
Chuki zitakuua wewe fisadi!!! Mawaziri wanaomtukana rais huwasemi bali unamsema anayewafichua. Pathetic
 
Siku namuona Paul ,pale Escape one nilimuuliza Ruge huyu ni nani akasema ni DC wa Kinondoni..nikamwambia huyu hana akili ila anapenda sifa..hamna kitu humu ....alikuja kunielewaa baadae sana alipozingua mjengoni
Wewe mtu ana mpaka Meza yake Beach Kidimbwi ambayo hukaa na wale Malaya wa pale huku akiwa Kawakumbatia wakati anajua ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam unaona hapo kuna Mtu kweli mwenye Akili timamu? Na kuna Demu mmoja pale Jina lake linaanzia na herufi H ana Moto ( Dally Kimoko ) na alikuwa akimzoea sana sasa sijui kama Kapona.
 
bado wanafanya trial and errors, even after 60 years za kuwa madarakani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…