Paul Makonda Special Thread: Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Paul Makonda; Make Arusha Great Again

Paul Makonda Special Thread: Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Paul Makonda; Make Arusha Great Again

Sisi majobles tunaiomba Serikali yetu Chini ya Rais wetu mpendwa Mama Samia kuwa UMRI WA KUSTAAFU UPUNGUZWE UWE MIAKA 45 hiari na 55 lazima ili vijana wanao maliza vyuo vikuu wapate nafasi
 
Makonda huwa lazima aharibu. Sasa watu wameamua kujiita wadudu halafu yeye anajidai kumjua sana Mungu!! Wadudu walivyoambiwa hivyo moyoni watakuwa walisema, "Huyu dingi ni gani!?"
 
Haoni tatizo kubwa zaidi ni MSD kutumia miezi mitatu hadi minne kufikisha dawa na vifaa hospitalini ili ashughulike nalo hilo zaidi?
Nadhani ina shida ya kuelewa kwamba baadhi ya vifaa ni lazima vizalishwe ndio viletwe nchini,

Labda tungejouliza why mopango ya ununuzi ya vituo vya afya huwa ni Siri hadi mwaka wa pesa ukikaribia kuisha ndio inakua dharura?
 
Watumishi wa Umma Huwa wapo wapo Hadi unajiuliza Hawa ni Wasomi walienda shule kuongeza maarifa au kukua na kupata cheti waje kutoa Huduma za hovyo?

Huu ni aina nyingine ya ushahidi wa jinsi tuna Utumishi wa Umma usiojitambua na usiowajibika.

My Take
Wakati mwingine Watumishi Wakifanyiwa bullying unapata shida kuwatetea kutokana na walivyo.

Utashangaa wanaoitaa Wataalamu na Wasomi wanasubiria Kila kiutu waelekezwe na Viongozi wa siasa, soma Mkuu wa Mkoa Arusha Paul Makonda: Kiongozi Mzima Kujieleza Hujui, Mnapataje Hizi Nafasi TARURA?

========

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary Senyamule amewataka wakandarasi na wasimamizi wa miradi mbalimbali ya serikali inayotekelezwa katika Mkoa huo, kuhakikisha wanakamilisha Kwa wakati na ubora unaotakiwa.

Hayo yamebainishwa na Senyamule wakati wa ziara yake ya kikazi katika Halmashauri ya Jiji la Dodoma iliyofanyika Leo Aprili 23,2024..

Aidha Mhe. Senyamule amekagua ujenzi wa Hospitali ya wilaya ya Dodoma, ukarabati wa madarasa ya Shule ya msingi Amani, ukaguzi wa Shule ya Dodoma English Medium pamoja na ukaguzi wa ujenzi wa jengo la Mionzi ya kutibu Saratani katika Hospitali ya Benjamini Mkapa.

View attachment 2972465
Hongera mkuuu wa mkoa Dodoma. Umeonyesha leadership. Licha ya makosa kuna kurekebishana bila kudhalilishana mbele ya watu. Matatizo yamesemwa mbele ya watu na hakuna aliyekuwa embarrassed. Then inaweza kufuata face to face kwa anayehusika kujua chanzo cha mapungufu ili kumsaidia kama anahitaji msaada wako kufanya inavyotakiwa. Na kama hana uwezo hatua zingine zifuate ili ufanisi uwepo . Ila mambo ya kufokeana na kudogoshana mbele ya kadamnasi yanaonyesha immaturity au ukosefu wa maadili na wala hayajengi.
Incompetence ni Kitu Cha kawaida sana ktk utendaji kwa watu Weusi hapa duniani, ndio maana hata Rais wa zamani wa nchi ya Afrika ya Kusini Pieter W. Botha alisema kwamba watu Weusi siyo wazuri kwa lolote lile, zaidi ya kuendekeza ngono.
 
Hongera mkuuu wa mkoa Dodoma. Umeonyesha leadership. Licha ya makosa kuna kurekebishana bila kudhalilishana mbele ya watu. Matatizo yamesemwa mbele ya watu na hakuna aliyekuwa embarrassed. Then inaweza kufuata face to face kwa anayehusika kujua chanzo cha mapungufu ili kumsaidia kama anahitaji msaada wako kufanya inavyotakiwa. Na kama hana uwezo hatua zingine zifuate ili ufanisi uwepo . Ila mambo ya kufokeana na kudogoshana mbele ya kadamnasi yanaonyesha immaturity au ukosefu wa maadili na wala hayajengi.
MSD kutoa Dawa na vifaa tiba kutoka Dar to Dodoma 4months?

Afrika kuna shida kubwa sana
 
Hongera mkuuu wa mkoa Dodoma. Umeonyesha leadership. Licha ya makosa kuna kurekebishana bila kudhalilishana mbele ya watu. Matatizo yamesemwa mbele ya watu na hakuna aliyekuwa embarrassed. Then inaweza kufuata face to face kwa anayehusika kujua chanzo cha mapungufu ili kumsaidia kama anahitaji msaada wako kufanya inavyotakiwa. Na kama hana uwezo hatua zingine zifuate ili ufanisi uwepo . Ila mambo ya kufokeana na kudogoshana mbele ya kadamnasi yanaonyesha immaturity au ukosefu wa maadili na wala hayajengi.
Huu upuuzi wako ndo umetufikisha hapa tulipo!!!! Hvi unawajua waafrika wewe???? Ikibidi hata fimbo zitumike kabisaa
 
Afrika bado tunashida sana nandio maana nivigumu sana mwalimu kuendesha masomo bila mzigo wafimbo.
 
Ila watumishi wa umma hapa Tanzania ni Kama wanalazimishwa kufanya kazi, yaani mtu anaenda kupata breakfast, anachukua masaa 3 alafu unakuta wananchi wanamsubiri ili wapate huduma. Sijui wana shida gani watumishi wa umma wa hii nchi.
 
Back
Top Bottom