Paul Makonda Special Thread: Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Paul Makonda; Make Arusha Great Again

Paul Makonda Special Thread: Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Paul Makonda; Make Arusha Great Again

Mama Samia, huyu alishasema utii wake ni kwa genge la wale jamaa, anachofanya ni kudhoofisha serikali yako na chama, ambavyo vilikiwa imara kwa muda mrefu kabla ya kumuingiza yeye.

Kwa kuwa ni jini umelitoa kwenye chupa, angalia jinsi ya kulimaliza.

Kwenye chama kuna watu hawakutaka upuuzi wake, ametoka, sasa yuko kwako, kaja kukubomoa
Mwisho wa Makonda utafanana na mwisho wa Samia.
 
Shalom,

Sina haja ya kusema mengi sana Paul Makonda hana tofauti wapanda mtumbwi wa vibwengo ambao safari yao ni kwenda kwenye ghetto la popobawa.

Daud Bashite anatakiwa kujua CCM haina tabia ya kuvusha katiba na utamaduni wake, CCM hawawezi kufanya tena uchuro wa kubahatisha kamwe

Miaka yote CCM imepiga ulafi mihula ya madaraka na haitotokea kamwe na haitotokea kamwe, ukijivika upofu ndani ya CCM ndio utajua hujui.

Bahati nasibu sifa yake kuu ni zari la mpito tu na kikatiba ipo wazi sasa mkitaka kujifanya wendawazimu basi uwanja upo wazi.

Makonda ukumbuke Chato kuna Kaburi kujifanya Panzi bado sana.

Makonda tambua popobawa ni smart sana na wazito na wameshiba sana na wanakiu sana na wanahasira na wewe sana.

Umeanza na utamaliza

Wadiz
 
Ni kweli unampenda Sana Makonda, na hii huwa inatokea mtu fulani kumpenda mtu fulani automatic, inatokana na ku share spiritual rim, njozi na maono ya pamoja.

Ni kweli Makonda kwako ni kijana mtiifu na mnyenyekevu amekuwa hivyo tangu akiwa Mkuu wa Mkoa, alipotoka, alipokuwa mwenezi na sasa Mkuu wa Mkoa Arusha
Kwako binafsi hakuna baya lolote alilofanya na sababu unampenda hata akifanya kosa kwako huwa ni kosa dogo la utoto ambapo unaamini atajirekebisha

Madhara ya tabia za Makonda na consistence ya tabia hizo

1. Hulka ya kupenda ukuu, cheo na sifa:

a) ilianza kuonekana alipokuwa Mkuu wa Mkoa alijilinganisha na mawaziri na kuonekana mawaziri hawana lolote dhidi yake Mkuu wa Mkoa, kuna wakati alikua na msafara mkubwa kuliko waziri Mkuu na Makamu wa Rais.

Hulka hio ameendelea nayo alipokuwa mwenezi, alimdharau RC Chalamila mbele ya Kadamnasi, akamwagiza Waziri Mkuu Majaliwa kama yeye ndio Mkuu wa Chama, akifanya hivyo kwa mawaziri na ikapelekea baadhi yao kutokubaliana nae yupo Bashe ambaye alitoka hadharani kuonesha kutokukubaliana na maagizo ya Makonda swali je Cheo Cha katibu Mwenezi ni Command kwa Waziri Mkuu na Mawaziri .. Hilo nakuachia wewe Kadinali Pengo ujibu.

B. Akajipa msafara wa magari na kuwa yeye ndiye mtu anayewindwa Sana auwawe mara afanye ziara mkoani alale Dar kwa Maaskofu.

C. Akagoma kufuata maelekezo ya Katibu Mkuu Comred Nchimbi, Kadinali wewe unajua Askofu Mkuu wa Jimbo ndiyo mkuu wako wa kazi kama wewe ni padri au askofu msaidizi sharti ufuate maelekezo yake, kazi yako inakuwa kupeleka ushauri na mapendekezo na kuomba kibali cha utekelezaji. Makonda hakutaka kufuata uratibu wa kawaida kuwa ndani ya Chama Yuko chini ya Katibu Mkuu, Bali yeye alitaka ndio asikulizwe na aongoze, kwa kuwa hakuwa cooperative hii kitu imekisumbua Sana Chama ndipo Rais kaona isiwe tabu ampe ukuu wa Mkoa kwa sababu ni dhahili anagombana na kila mtu ndani ya Chama.

d. Imetokea tena alipofika Arusha, kujikusanyia Msafara wa Magari, Gari yake ya RC tena yenye bendera kupakia watoto wake (watu wa protocol wanaelewa zaidi je bendera na plate namba yenye cheo fulani inaweza kutumika ndivyo sivyo..?)

haya Leo tena kutuhumu mawaziri kuwa wanamtukana Rais hili jambo limefedhehesha Baraza la mawaziri, nchi na vyombo kwa ujumla, je ni kuwajulisha mawaziri kuwa hawezi kuwatii sababu kimsingi mkuu wa mkoa si mkubwa kwa Waziri ndio mana yuko chini ya Tamisemi. Kwan kauli hio Makonda kajitwalia uwaziri Mkuu wake na kuonesha baadhi ya mawaziri hawana hadhi ya kumtuma kwa kile tuu yeye anawaona wanamtusi Rais wa JMT

Hii tabia yake ya Ufitini, uchonganishi, kupenda madaraka, uzushi na uongo bado kwako Kadinali unaonaje ni makosa madogo....?
Vipi kwa Baraza la mawaziri wanaichukuliaje na wanamchukuliaje kijana wako kipenzi?

Viongozi wanaishi kwa kuheshimiana hata kama hawajakubaliana, mfano Kinana na Nchimbi, wapo washindanu January na Mwigulu wote hao si kitu kimoja lakini wanaishi kwa kuheshimiana bila kuvuka mipaka

Uungwana ni kitendo
Kama Kadinali utamwacha Makonda na tabia hizi lambda kwako ndio sifa za uongozi, Sisi tunasema Yetu Macho
Pengo ni mtu hovyo sana
 
Shalom,

Sina haja ya kusema mengi sana Paul Makonda hana tofauti wapanda mtumbwi wa vibwengo ambao safari yao ni kwenda kwenye ghetto la popobawa.

Daud Bashite anatakiwa kujua CCM haina tabia ya kuvusha katiba na utamaduni wake, CCM hawawezi kufanya tena uchuro wa kubahatisha kamwe

Miaka yote CCM imepiga ulafi mihula ya madaraka na haitotokea kamwe na haitotokea kamwe, ukijivika upofu ndani ya CCM ndio utajua hujui.

Bahati nasibu sifa yake kuu ni zari la mpito tu na kikatiba ipo wazi sasa mkitaka kujifanya wendawazimu basi uwanja upo wazi.

Makonda ukumbuke Chato kuna Kaburi kujifanya Panzi bado sana.

Makonda tambua popobawa ni smart sana na wazito na wameshiba sana na wanakiu sana na wanahasira na wewe sana.

Umeanza na utamaliza

Wadiz
Ataondolewa Arusha siku sio nyingi.
 
Makonda anawatesa sana mnashindana na mtu ambaye hata akitolewa Leo atawekwa tena inshort riziki yake ndefu
Ugumu wa maisha upo kwetu sio kwake na wote tuna mwisho
 
Makonda anawatesa sana mnashindana na mtu ambaye hata akitolewa Leo atawekwa tena inshort riziki yake ndefu
Ugumu wa maisha upo kwetu sio kwake na wote tuna mwisho
Ila Ndege bana, Makonda ni Panzi tu Tena wakufugwa
 
Fasihi ni Nini .....
Fasihi ni hiki alichoandika kiongozi.
Ahsante.
 
Concept hapo ni POPOBAWA.

Wenye akili tunajua Popobawa ndani ya chama ni nani. Huwa haachi asili
 
Ila Ndege bana, Makonda ni Panzi tu Tena wakufugwa
Yaani mtu account yake inasoma zaidi ya billion nne unamuona panzi wakati kakuzidi ujanja na connection na umaarufu labda wewe umemzidi akili tu kitu ambacho ni kawaida kabisa kumzidi mtu akili au wewe kuzidiwa
 
Makonda anasema ambayo wanaojifanya wafuasi wa Mama hawawezi kusema. Nilisema humu, Makonda ni mtu unayeweza kumtumia vile unavyotaka na akasema na kufanya lolote unalotaka.
 
Yaani mtu account yake inasoma zaidi ya billion nne unamuona panzi wakati kakuzidi ujanja na connection na umaarufu labda wewe umemzidi akili tu kitu ambacho ni kawaida kabisa kumzidi mtu akili au wewe kuzidiwa
Ndege achana na huyo Panzi pori hana lolote huyo
 
Sasa niachane mimi nakaa arusha au niko ccm nachotaka kukwambia unayoandika juu yake ni hisia zako tu jumatatu asubuhi wakuu wa vyombo vya usalama vya arusha wakiitwa kwenye kikao ni chap wanaamka asubuhi kwenda kumsikiliza ovaaa

Kama ni kuchafuliwa ameshachafuliwa sana hivyo hakuna jipya kwenye bandiko lako
Ndege achana na huyo Panzi pori hana lolote huyo
 
Yaani mtu account yake inasoma zaidi ya billion nne unamuona panzi wakati kakuzidi ujanja na connection na umaarufu labda wewe umemzidi akili tu kitu ambacho ni kawaida kabisa kumzidi mtu akili au wewe kuzidiwa
Anafanya biashara gani ya Kuwa na billioni 4 au unasifia wizi tuu, punguza uchawa wa kijinga
 
Back
Top Bottom