ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Makonda makonda makonda
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Au kumwaminisha kuwa yeye ni mwema, mwambata na mtetezi kuliko wengine?Anachokifanya ni kujaribu kumtia yule mama uoga kama alivyofanya MUSIBA Kwa JPM
Wakati wa hotuba yake alimjibu nini Makonda kama ulisikiliza?Tarehe 13 mwezi uliopita, Ikulu jijini Dar es Salaam, Rais Dr. Samia Suluhu Hassan alitoa msimamo wake kama mkuu wa nchi na wa CCM kuhusu 'makundi' na 'watoto' wake kisiasa.
Katika hafla ya kuwaapisha viongozi mbalimbali aliowateua, Rais Samia alisema kwa umakini, umadhubuti na wazi kabisa kuwa yeye hana makundi wala watoto ndani ya chama chake na Serikali.
Rais Samia akaenda mbele na 'kuwakemea' wote wanaojitanabaisha kuwa ni watoto wa Mama au wa kundi la Mama. Alihitimisha kuwa viongozi wote kwa ujumla wao ni watoto wake.
Jana, kwenye Maadhimisho ya Waziri Mkuu wa zamani wa Tanzania, Hayati Edward Moringe Sokoine, RC Makonda amesikika akijitanabaisha kuwa yeye ni mtoto wa Rais Samia. Amesikika mara mbili akisema 'Mama yangu' kwenye kauli zake, tena mbele ya Rais Samia.
Kwanini Makonda atofautiane na kukinzana na msimamo wa Rais Samia kwa kujitaja kama 'mtoto wa Mama Samia'? Makonda alilenga au analenga nini?
MteuleYeye ni "mwana wa pekee"
Kabisa, hata akili zao zinafananaMwisho wa Makonda utafanana na mwisho wa Samia.
Sikusikia majibu Mkuu. NisaidieWakati wa hotuba yake alimjibu nini Makonda kama ulisikiliza?
sio kweliMbinu ya Makonda ni kumchochea Mange "amtukane " Rais ....
Anajua akim provoke Mange ...anae chafuka ni Rais ......kundi la Makonda wanachotaka Rais achafuke sana
Hilo nalo lina ukweli pia lakini kubwa ni kumtisha tu yule mama ili aogope atoe pesa kwa vikundi vya kumlinda nje ya mfumo maisha yaende. Tofauti ya alichofanya BASHITE ni sawa tu na Musiba tofauti ni namna ya kufikisha ujumbe tuAu kumwaminisha kuwa yeye ni mwema, mwambata na mtetezi kuliko wengine?
Ukweli ni upi?sio kweli
mange anamtukana rais kwa upumbavu wake mwenyewe, sasa wewe leo unambie makonda ndio anamprovoke mange atukane?Ukweli ni upi?
Makonda sometimes 'yes' sometimes 'no'........Tarehe 13 mwezi uliopita, Ikulu jijini Dar es Salaam, Rais Dr. Samia Suluhu Hassan alitoa msimamo wake kama mkuu wa nchi na wa CCM kuhusu 'makundi' na 'watoto' wake kisiasa.