Nigrastratatract nerve
JF-Expert Member
- Sep 4, 2019
- 1,521
- 4,381
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mheshimiwa Paul Christian Makonda ametembelea maeneo mbalimbali ya Jiji la Arusha yaliyoathirika na mafuriko yaliyotokana na Mvua zinazoendelea kunyesha mkoani Arusha.
Mheshimiwa Mkuu wa mkoa ametembelea maeneo ya Sakina na Mianzini, maeneo ambayo yameathirika zaidi na mvua, kiasi kilichosababisha vifo vya watu 6 na uharibifu mkubwa wa miundombinu.
Akizungumza na wananchi wa maeneo hayo,Mkuu wa Mkoa Mh. Paul Makonda amewataka wananchi kuchukua tahadhari wakati wa mvua pamoja na kuhama katika maeneo yenye historia ya kuwa na mikondo ya maji.
Aidha Mh.Makonda pia amewataka viongozi wa Halmashauri zote za Mkoa wa Arusha ikiwemo Maafisa wa mipangomiji kufanya vikao vya Dharura kwenye maeneo yao ili kupata Tathimini ya maeneo yao na hatari iliyopo kwenye makazi ya wananchi endapo Mvua zitaendelea kunyesha.
PIA, SOMA:
Uteuzi wa Ukuu wa Mkoa Arusha
Matukio baada ya Uteuzi

- Msafara wa RC Paul Makonda ukitokea Uwanja wa Ndege wa Arusha Kuelekea katika ofisi yake kwa Makabidhiano
- Paul Makonda aingia Arusha anakabidhiwa Ofisi muda huu na kuzungumza na Wananchi
- RC Makonda: Rais Samia ameipendelea Arusha, amemtoa mwanae wa pekee na kumleta Arusha
- RC Makonda: Nimekoswa koswa mara 3 kupoteza maisha
- Arusha: Makonda akutana na Mwamposa na kufanyiwa maombi
- Makonda: Watalii hawaji Arusha kulala wanakuja kula starehe, ni lazima Arusha iwe salama saa 24. Hao wadudu nitaongea nao
- Makonda amtumia Mwamposa kupata umaarufu kwa kisingizio cha Salamu za Rais Samia, ni mbinu duni sana