Paul Makonda Special Thread: Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Paul Makonda; Make Arusha Great Again

Paul Makonda Special Thread: Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Paul Makonda; Make Arusha Great Again

Hivi unajua ufisadi wa makonda au unajitekenya?
Ungejua namna huyu jamaa alivyo fisadi tena mali za "kutumia nguvu" usingeandika huu upuuzi!
 
Jana diamond kampost makonda anaendesha gari ya zaidi ya milioni 500 ukimuona makonda anakemea ufisadi kama una akili timamu lazima ujiulize mara mbili mbili.
Kwani mtu kukemea ufisadi ni lazima na wwe uwe masikini sana!? Kwani hakuna matajiri wa haki wanaokemea ufisadi!?
 
Huo ndio ukweli mchungu kwamba Makonda pamoja na mapungufu yake yote YEYE siyo Muoga

Anatembea na Exodus 14:14

Dunia ya Leo inataka viongozi wasio waoga kama Trump 😂😂🔥

Kwenu Lucas na Erythrocyte - Mbeya
Kuwataja mafisadi bila ushahidi ni sawa na kuimba wimbo wa mchakamchaka chinja.

Acheni nchi iendeshwe kistaarabu. Hayo mambo ya kiwendawazimu yaiyoanzishwa na Magufuli tuliyazika naye Chato mwaka 2021.

Tunajenga nchi ya kistaarabu ambapo hatununui wabunge wa upinzani wala hatuui wapinzani. Tanzania ni yetu wote.
 
Huo ndio ukweli mchungu kwamba Makonda pamoja na mapungufu yake yote YEYE siyo Muoga

Anatembea na Exodus 14:14

Dunia ya Leo inataka viongozi wasio waoga kama Trump [emoji23][emoji23][emoji91]

Kwenu Lucas na Erythrocyte - Mbeya
Punguza ujinga
 
Kuwataja mafisadi bila ushahidi ni sawa na kuimba wimbo wa mchakamchaka chinja.

Acheni nchi iendeshwe kistaarabu. Hayo mambo ya kiwendawazimu yaiyoanzishwa na Magufuli tuliyazika naye Chato mwaka 2021.

Tunajenga nchi ya kistaarabu ambapo hatununui wabunge wa upinzani wala hatuui wapinzani. Tanzania ni yetu wote.
Nchi ya Kistaarabu ni Israel pekee 🐼
 
Back
Top Bottom