Paul Makonda Special Thread: Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Paul Makonda; Make Arusha Great Again

Paul Makonda Special Thread: Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Paul Makonda; Make Arusha Great Again

Sielewi Kwann Pengo alienda Arusha kumshika kichwani.

Hawa Wakatoliki Hawa, hatari sana
 
Wengi mnaoshadadia hii comparison ni misukule ya mwendazake, pigeni sarakasi binukeni hadi mvunjike viuno ila bashite is no more just like mwendazake tu. Aa kmmmmmk, mnateseka hatari, na bado!!!
Hivi ulitegemea Makonda angetangazwa Katibu mwenezi wa Chama Tawala kutoka huko shimoni alikokuwa?..Sasa endelea kumchukulia poa tu 😀
 
Akwilina alihusikaje Makonda?
Labda maji kutoka kwa mama yako. Ila kwetu Makonda ni mhalifu tu.

Makonda anahusika moja kwa moja na matukio yafuatayo;
1. Kuuawa kwa Ben Saanane
2. Kushambuliwa Tundu Lissu
3. Kuuawa kwa Akwilina
4. Kujipatia mali kwa njia ya udanganyifu kutoka kwa wafanyabiashara kama GSM, NAS, GBP, Yusuf Manji
5. Kuvamia kituo cha radio/TV cha Clouds
6. Kumteka Roma Mkatoliki
7. Kumteka Mo Dewji
 
Najaribu kuwaza...🤔

Tumeona Makonda akitoa kauli mbalimbali ambazo kimsingi si rafiki Kwa baadhi viongozi wa Chama na zinatishia uwepo wa viongozi hao ndani CCM.

Nina imani Kuna kitu nyuma ya hizi vurugu za Makonda kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 mpaka sasa Kwa kiasi kikubwa jamaa anawatu na kaaminika katika jamii kama mtetezi na msemaji wa watu.

Sasa basi what if?

Kabla ya 2025 Makonda akawajibishwa na Chama kwa kigezo cha "Maadili" na akaamua kujiunga na upinzani mathalani ACT na kugombea Urais, nini kitatokea?

Je, kabla ya kujiunga na ACT akiwa bado yuko huru na akaendeleza harakati zake kama mtu huru je, CHADEMA itakua tayari kumpokea?

Mwisho, what if anatengenezwa kwa ajili ya hayo hapo kuelekea 2025 apatikane mtu wa kichachafya CCM kidogo mwaka 2025 na baadae Mama aseme "We ni mwanangu rudi nyumbani."

Jumatatu njema.
 
makonda hata upinzani hawamtaki mdhalilishaji, anafaa kuwa mkulima tu
Unasema mkulima tuu? Unatuonaje sisi wakulima!
Huyu nafasi yake pekee anayofiti ni gerezani pekee achana na hizi drama zake anazotumia kuwahadaa masikini hadi wanadhani ni mtetezi wao!

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Najaribu kuwaza...🤔

Tumeona MAKONDA akitoa kauli mbalimbali AMBAZO kimsingi si rafiki Kwa baadhi viongozi wa CHAMA na zinatishia uwepo wa viongozi hao ndani CCM.

Nina Imani Kuna kitu nyuma ya hizi vurugu za MAKONDA kuelekea UCHAGUZI mkuu 2025 mpaka sasa Kwa kiasi kikubwa jamaa anawatu na kaaminika katika jamii kama mtetezi na msemaji wa watu.

SASA BASI, WHAT IF?!

kabla ya 2025 MAKONDA akawajibishwa na CHAMA Kwa kigezo Cha "maadili" na akaamua kujiunga na upinzani mathalani ACT na kugombea Urais Nini kitatokea??!!

Je, kabla ya kujiunga na ACT akiwa bado Yuko huru na akaendeleza harakati zake kama mtu huru JE CHADEMA itakua tayari kumpokea??!!

Mwisho..

what if anatengenezwa Kwa ajili ya hayo hapo kuelekea 2025 apatikane mtu WA kichachafya CCM kidogo mwaka 2025..... Na baadae MAMA aseme "we ni mwanangu Rudi nyumbani"

juma tatu njema.
Ndugu akuna aliechafua chama aka savaiivuuu YULE kumpa u rc ndioo kuhitimisha safari yake nikoo buzz kwa nabii utaniambia uliza kwa mpalangee
 
Back
Top Bottom