Paul Makonda Special Thread: Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Paul Makonda; Make Arusha Great Again

Hivi hatuwezi kupata Viongozi walau 20 Tanzania kama Makonda ili nchi isonge mbele . Katiba tuitakayo inatakiwa itupe viongozi kama Makonda aisee very inspiring and solving people's problems what a leader.
Huo usanii hauwezi kubadili nchi hii. Tunataka mifumo inayofanya kazi kwa usahihi, sio mtu kusaka kiki za kisiasa. Hapo anajifanya anatatua matatizo ambayo chama Chake kimeshindwa kufanya mifumo ifanye kwa ufanisi.
 
very ambitious, determined, committed, focused, creative and for sure, a very visionary young leader of modern Times 🐒
 
Makonda anafaa ANGALAU kwa sasa kuingoza nchi hii kuliko wasomi wengine wanabweteka tu. Kwa hali ilivyo nchini tunamuhitaji Makonda au Majaliwa,
 
Mambo nini jombaa? sema nini, mazaa kashusha ndonga saizi yetu, huwezi amini asubuhi hii mdudu niko mageroni.

Sema amsha amsha za hivi tulizimiss sana. Mamaa tuachie hii nyusu chuga... Haina kuhama hadi 2030.

Ukiruhusu na kiroba utatisha sana mazaa, utaboost uchumi wetu sana.

#chuga_kama_mbele
Haina kwere.
 
Huo usanii hauwezi kubadili nchi hii. Tunataka mifumo inayofanya kazi kwa usahihi, sio mtu kusaka kiki za kisiasa. Hapo anajifanya anatatua matatizo ambayo chama Chake kimeshindwa kufanya mifumo ifanye kwa ufanisi.
Yes mifumo imara na siyo haya maigizo
 
Wananchi wanaojitokeza kulalamika kwa mkuu wa Mkoa Makonda ni wengi sana, kama vile hakukua na serikali hata kidogo. Lakini inafahamika kuwa ni CCM iliyoko madarakani tangu nchi pate uhuru 1961. Je, sawa wananchi kuitenga CCM kwenye shida hizi wanazompelekea Makonda awasaidie kuzitatua leo?
 
Hahahaha
 
Back
Top Bottom