Paul Makonda Special Thread: Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Paul Makonda; Make Arusha Great Again

Paul Makonda Special Thread: Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Paul Makonda; Make Arusha Great Again

Tangu kuteuliwa kwa RC Makonda Arusha, Lema ni kama amepotea, watu wapo bize na makonda in short kama hali itaendelea hivi hivi A town Lema ana kazi sana.

Utendaji kazi wa RC unawakosha watu na kuona jinsi chama chao cha mapinduzi ni sikivu nenda uone jinsi watu wanavyosaidiwa kero zao.

Huu muziki ukiendelea hivi hivi kelele za kina Lissu zitakuwa maeneo mengine ila sio Arusha, Istand to be corrected.
Hawa ndio calibre ya viongozi wa kuongoza nchi chini ya chama cha mapinduzi. Kuna watu wamejaa ccm hawaeliwi tunaposema mapinduzi tunamaanisha nini. Tunawataka kina makonda, sabaya, bashiru ali former katibu mkuu, profesa kabudi, na wengine. Tunahitaji uadilifu ujasiri na ujuzi kisiasa. Ubeberu ushapanga haturuhusiwi kuendelea. Wanahitajika viongozi wakweli na jasiri.
 
Kwa nchi zinazoongozwa na watu wenye akili timamu huyo zero brain hawezi kuwa kiongozi.
 
Kichwa cha habari tu kimeacha nisisome habari yako ila ninataka kukuuliza je unajua maana ya dunia? Inaanzia wapi na inaishia wapi

Inawwzekana unajua dunia nzima nikama kanda ya kaskazini ambyo ni Tanga,kilimanjaro na Arusha
Mwambie ukweli huyo pimbi!
 
Umesahau kuweka namba ya simu.

Ili iwe vyepesi kukufikia nakushauri weka namba ya simu hapo chini
 
Utendaji kazi wa Makonda unamfanya afuatiliwe sana na wananchi wote. Alipoteuliwa mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, kuna watu walisema hataliweza hili jiji. Kampana hadi sasa hivi wote wanaokuja wanaonekana wanapwaya sana.

Kawekwa nje ya game kwa muda na kwa utulivu kabisa kakaa kimyaa hadi pale mwenye mamlaka alipoona anafaa kumsaidia kazi na kumuingiza kwenye team. Huko kapigaaa hadi wenye chama lao wakaanza kusema anaonyesha madhaifu badala ya kusifu yaliyofanyika.

Siasa ni ngumu sana. Fitina ikaingizwa, kachomolewa ile nafasi na kuwekwa mkuu wa mkoa wa Arusha. Siyo mbaya. Arusha ina hadhi yake kubwa tu hapa TZ.

Maneno yakaanza kuwa haiwezi Arusha. Kuna wadudu. Akaanza na wadudu wenyewe na kuwaweka kwenye mstari. Ikiwa hamjui, watu kutoa udenda Dar ilikoma kipindi akiwa mkuu wa mkoa Dar. Siyo Vita ndogo. Ila alijiyahidi sana.

Makonda ni mtu wa kazi
Makonda ni mbunifu
Makonda anapenda haki.

Siyo rahisi kuwa kiongozi Afrika. Fitina ni nyingi mno. Mtu akijitaidi, basi na apewe maua yake.
 
Back
Top Bottom