Paul Makonda Special Thread: Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Paul Makonda; Make Arusha Great Again

Paul Makonda Special Thread: Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Paul Makonda; Make Arusha Great Again

stupid, aseme pia aliowapotza na kuwaua. Sheitwani mkubwa. Kuna siku atawataja
Wewe ni mjinga kabisa. Tukisema mbowe anagongwa mtungo na wanaume utafurahia??? Maana ndiyo maneno ya mtaani wanasema mbowe ni shoga ndiyo maana alitoboa sikio. Jifunze kuheshimu viongozi
 
Anatafuta uhalali wa kuanza kupora viwanja na fedha za wafanyabiashara wakubwa hapa Arusha.

Atatengeneza walalamikaji waigizaji wa kiwanja cha mfanyabiara na kuanza kumsumbua huyo mfanyabiashara ili mradi tu ajipatie fedha ama kiwanja.

Makonda ni shetani ktk sura ya binadamu.
 
kitu wanachokikosa wanachi kwa viongozi wao ambacho makonda anafanya kugusa maisha ma mioyo ya watu anavunja ile gap ya kiongozi na wanachi..narudia tena akionesha nia wallah napanga foleni kupiga kura
Huyo mwananchi anayemfuata Makonda asiye na mamlaka yeyote iwe ardhi, ndoa, biashara anapoteza muda tu.

Nasikitika Watanzania bado wajinga sana
 
Kama ulikuwa shahidi wa kuona, si uwataje wewe na unao uhuru pia wa kumburuza mahakamani

Mengine hayo ni makelele tu yadiyo na maana yoyote ile

Makonda chapa kazi ziba masikio kwa wapuuzi kama hawa
It might be you are makonda. Au nawewe umezaliwa na shetani kama huwezi kulaani mauaji ya wanadamu!
 
Utendaji kazi wa Makonda unamfanya afuatiliwe sana na wananchi wote. Alipoteuliwa mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, kuna watu walisema hataliweza hili jiji. Kampana hadi sasa hivi wote wanaokuja wanaonekana wanapwaya sana.

Kawekwa nje ya game kwa muda na kwa utulivu kabisa kakaa kimyaa hadi pale mwenye mamlaka alipoona anafaa kumsaidia kazi na kumuingiza kwenye team. Huko kapigaaa hadi wenye chama lao wakaanza kusema anaonyesha madhaifu badala ya kusifu yaliyofanyika.

Siasa ni ngumu sana. Fitina ikaingizwa, kachomolewa ile nafasi na kuwekwa mkuu wa mkoa wa Arusha. Siyo mbaya. Arusha ina hadhi yake kubwa tu hapa TZ.

Maneno yakaanza kuwa haiwezi Arusha. Kuna wadudu. Akaanza na wadudu wenyewe na kuwaweka kwenye mstari. Ikiwa hamjui, watu kutoa udenda Dar ilikoma kipindi akiwa mkuu wa mkoa Dar. Siyo Vita ndogo. Ila alijiyahidi sana.

Makonda ni mtu wa kazi
Makonda ni mbunifu
Makonda anapenda haki.

Siyo rahisi kuwa kiongozi Afrika. Fitina ni nyingi mno. Mtu akijitaidi, basi na apewe maua yake.
Una akili sana mkuu!:Drake:
 
It might be you are makonda. Au nawewe umezaliwa na shetani kama huwezi kulaani mauaji ya wanadamu!
Hakuna ushahidi wowote wa mauaji, angekuwa muuaji wangeshamtia hatiani kipindi yuko nje ya system.
 
Wananchi wanaojitokeza kulalamika kwa mkuu wa Mkoa Makonda ni wengi sana, kama vile hakukua na serikali hata kidogo. Lakini inafahamika kuwa ni CCM iliyoko madarakani tangu nchi pate uhuru 1961. Je, sawa wananchi kuitenga CCM kwenye shida hizi wanazompelekea Makonda awasaidie kuzitatua leo?
Wananchi wameitenga CCM au wakuu wa mkoa huo waliotangulia hawakuwa na uwezo wa kuyafanya haya!!!
 
Makonda amempoteza lema kabisa Arusha kitu makonda kinachombeba ni kutembea sambamba na walala hoi lema yeye ni mtu wa kelele tu huku akineemesha familia yake na unabii feki Mimi naipenda chadema lakini Kwa jinsi makonda anavyo floo sioni wa kumzuia Kwa Arusha labda chama changu chadema kitafute mgombea atakae tembea na bit za makonda Ila Kwa lema sioni ushindi
Acha upotoshaji!! Wewe ni mpiga kura wa arusha??
 
Back
Top Bottom