econonist
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 20,189
- 29,663
Kweli kabisa mkuuMakonda yuko sahihi 100%
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli kabisa mkuuMakonda yuko sahihi 100%
Mambo yakiendelea hivi usishangae anapigwa risasi na raia. Maana ameliweka jeshi la polisi mfukoni.Kuandamana napo ni njia moja wapo ya kulalamika live. Kama njia zote unafata na bado hakuna muhafaka ni hatua gani zaidi? Kumloga au kumpiga lisasi
Nashukuru mkuu imenifumbua macho. Umeongea mambo ya msingi Sana.Serikali inaruhusu wahujumu na matapeli nchini na wale mikopo kaush damu kama Platinum,Bayport n.k!
Eti ni sehem ya intelligence ya kuwatawala watz waendelee kuwa chini kiuchumi!!
Huyo unaemwita tapeli ni sehemu ya mpango kazi wa kitapeli kama Deci vile!!
Unakuta ni mtu ambae system inamtambua kabia na yupo Kwa malengo maalum!
Ukiona mtu mwovu hachukuliwi hatua ujue ni sehemu ya system tu ndivyo ilivyo!!
Hii nchi Kuna vitu vya ajabu sana vinaruhusiwa kwa sababu maalum!!
Unafikiri kwanini Rama was kariakoo alijipiga risasi Kwa kutapeliwa fedha !!?
We achana nae huyo jamaa!!kama hachukuliwi hatua ni dhahiri shahiri analindwa na mfumo kabisa!!
Hats hizi deals zinazopigwa plus wizi vinalindwa na na system kwa ujumla!kama havilindwi kwanini vipo!!?
Ndivyo ilivyo!
Jombi ni nini kiongozi? Uwe Unatoa japo idea basi nini kifanyike unaweza kua na idea nzuri za kumsaidia mtu. Usiwe mtu wa kupinga tu bila kuja na wazo la mtu kumsaidia mwenyetatizo.''lisasi'' ni nini jombi! Lakini hapa wanazungumzia kulalamika!
Upo Sahihi kabisaa mkuu!!!!!Ipo siku mtanielewa vyema napomuona na kuwaambini kuwa Mwamba Mwenyewe Makonda kama kiongozi Mwenye uchungu na maisha ya watu wanaonewa na kunyanyaswa. Ipo siku mtafahamu kuwa Mwamba Makonda anapigwa vita na kushambuliwa na kuchafuliwa na watenda maovu ,wezi,matapeli,wauza madawa ya kulevya ,madhulumati na ambao matumbo yao yamejaza chakula cha dhuluma. Makonda amejitoa na kujitolea kuhatarisha maisha yake kwa ajili ya kusaidia na kuhakikisha watu wanapata haki zao.
Nitaendelea kumsemea na kutetea Mwamba Makonda hata nikiitwa chawa na kutukanwa matusi yote. Lazima mfahamu hatari kubwa iliyopo kwa mtu kupambana na wenye pesa au mamlaka au vyeo vikubwa wanaotumia nafasi zao kuonea watu na kuwakandamiza. Lakini Mwamba Makonda ameamua kutoa na kuhatarisha maisha yake kwa ajili ya kuwapambania wanyonge. Halafu anatokea mlevi mmoja na mabango yake kichwani anaropoka mitandaoni au hadharani eti kuwa ni maigizo.hii yote ni kutaka kumkatisha tamaa Mwamba Mwenyewe Makonda kijana jasiri kusini mwa jangwa la sahara.
Uko sahihi mkuu wangu, lakini hata huyo Makonda anasikiliza na kutatua kero nyepesi. Nakuhakikishia ukimpelekea Makonda hiyo kero hakuna kitu atamfanya, maana utakuta watu wa aina hiyo ndio huwa wanatumika kupora uchaguzi Ili ccm ikae madarakani.Mkuu yule alijiua baada ya maelekezo ya Rais kutokuheshimiwa na kwa bahati mbaya Rais aliyetoa maelekezo alifariki na kuliacha Jambo bado halijatekelezwa. Sasa Kama Mtu alifikisha kesi yake kwa Rais wa Nchi utamlaumu Nini?. Its unfair tu jamaa akaona hawezi kuhimili msingi akaona ajiue.
Kuhusu Jambo langu tumeenda mpaka polisi Tena Hadi ngazi ya RCO wa Mkoa kupeleka ushahidi na baadae kufungua jalada. Nimepeleka ushahidi Hadi kwa mbunge wangu amfikishie Waziri Mkuu aone jinsi wananchi wanavyoteswa ila hola. Kila mtu kimya. Nimepeleka ushahidi kwa ofisi nyeti ya upelelezi wakakimbia kwa kumuogopa huyo tapeli.
Kilichobakia ni nini? Kama umechukua hatua zote na bado vyombo vya Dola havichukui hatua. Ni Bora kuweka mambo wazi ili seriklia ijisahihishe.
Labda anaisaidia serikali kupunguza nakisi ya bajeti. Kama juhudi zote hizo na hakuna analifanyia kazi.Mkuu yule alijiua baada ya maelekezo ya Rais kutokuheshimiwa na kwa bahati mbaya Rais aliyetoa maelekezo alifariki na kuliacha Jambo bado halijatekelezwa. Sasa Kama Mtu alifikisha kesi yake kwa Rais wa Nchi utamlaumu Nini?. Its unfair tu jamaa akaona hawezi kuhimili msingi akaona ajiue.
Kuhusu Jambo langu tumeenda mpaka polisi Tena Hadi ngazi ya RCO wa Mkoa kupeleka ushahidi na baadae kufungua jalada. Nimepeleka ushahidi Hadi kwa mbunge wangu amfikishie Waziri Mkuu aone jinsi wananchi wanavyoteswa ila hola. Kila mtu kimya. Nimepeleka ushahidi kwa ofisi nyeti ya upelelezi wakakimbia kwa kumuogopa huyo tapeli.
Kilichobakia ni nini? Kama umechukua hatua zote na bado vyombo vya Dola havichukui hatua. Ni Bora kuweka mambo wazi ili seriklia ijisahihishe.
Elezea hao One 2 One Focus Limited na huyo Mwamwega wamafanya utapeli gani au makosa yao ni yapi. Malalamiko mengine ya wabongo dhidi ya matajiri na biashara zao ni kwa sababu ya kukosa uelewa na hulks ya ujamaa wa Nyerere ya kubeba zaidi wasio matajiri.Pamoja kwamba Mimi ni mfuasi wa CHADEMA na mwanachama wa CHADEMA, ila Kuna jambo moja linanifanya nimuunge mkono Makonda. Kusikiliza kero za wananchi ambazo serikali imeshindwa kuzishughulikia.
Mimi simkubali CCM na Wala simkubali Makonda kwa sababu nyingi tu, ila nakubali kwa hichi alichokifanya. Hata Mimi ningepata nafasi ningeenda kupeleka malalamiko yangu.
Kuna jambo tumelipigania sana. Kiasi cha kufikia kwa polisi. Lakini inaonekana polisi wanamuogopa muhusika. Tumepeleka malalamiko na ushahidi Hadi ofisi ya Waziri lakini hakuna hatua iliyochukuliwa. Wapelelezi wa serikali wamefika sehemu wanakimbia njiani na kuacha mtuhumiwa akijigamba.
Nimeleta ushahidi hapa JF kuhusu tapeli moja anajiita Generali Mwamwega, kwa jina sahihi Macegeron Rweyemamu. Huyu ni tapeli mkubwa analiza watu kupitia kampuni ya One 2 One Focus Limited. Kupitia hiyo kampuni ameitumia kuwahujumu watanzania wengi kiasi Cha wengine kufilisika.
Niliuleta ushahidi hapa JF ukafutwa, tumepeleka ushahidi polisi wamekimbia nao, tumehusisha ofisi za serikali ila wanadai wanamuogopa huyo tapeli.
Inapofikia serikali inamuogopa raia mmoja na hata kumuacha atumie majina ya Viongozi kuibia wananchi unategemea nini?. Kama polisi wanamuogopa tapeli na kuacha kumkamata au kumchunguza raia waendelee wapi?
Generali Mwamwega hagusiki, anatumia cheo Cha jeshi wakati sio mwanajeshi na hakuna Mtu anayemkamata au kumuonya. Anatumia jina la Rais wa Zanzibar Hussein Mwinyi kuibia watu na hakuna anayemkamata au kumuonya. Na emefikia hatua anatumia jina la Waziri Mkuu ila hakuna anayemkamata au kumuonya.
Hivyo basi inapofikia hatua serikali kupitia vyombo vyake vya ulinzi vinamuogopa Generali Mwamwega ambaye wala sio Mwanajeshi aendelee kuumiza raia, basi anachokifaanya Makonda kuita raia na kuwasililiza kero zao nakiunga mkono maana kinaweka hadharani uchafu wa serikali na vyombo vya Dola ambavyo vipo kulinda raia lakini vimegekua kulinda wahalifu.
Kwa nilioyaona kwa Generali Mwamwega na jinsi serikali ilivyomkingia kifua nadhani wananchi wapewe platform ya kuongea haya mambo hadharani Tena live kwenye TV ili uchafu wa vyombo vya Dola uwekwe wazi na wahusika wajue kumbe wanafahamika.
Wakuu wa mikoa wengine igeni mfano wa Makonda maana wananchi wa kawaida wananyanyaswa sana na vombo vya Dola vikishirikiana na wahalifu akama akina Generali Mwamwega au kwa jina halisi Osward Macegeron Rweyeyemamu.
Zile zilikuwa fix tu mkuu.Uko sahihi mkuu wangu, lakini hata huyo Makonda anasikiliza na kutatua kero nyepesi. Nakuhakikishia ukimpelekea Makonda hiyo kero hakuna kitu atamfanya, maana utakuta watu wa aina hiyo ndio huwa wanatumika kupora uchaguzi Ili ccm ikae madarakani.
Ukitaka kujua kupiga kelele hakuwatishi, Kuna yule jamaa alijiunganishia bomba la mafuta nyumbani kwake akakutwa, waziri mkuu aliunda hadi tume na akaahidi hadi kutoa taarifa hadharani, hakuna lolote limesemwa hadi leo! Wangekuwa na nia ya dhati wangewezeaha mifumo kufanya kazi.
Vyombo vya dola sio wagawa haki, mahakama pekee ndio kinapaswa kuwa chombo cha ugwaji haki na maamuzi ya nani ana haki. Kinachopaswa kufanyika ni mfumo wa Mahakama uboreshwe watu wasikimbile vyombo vya dola kupata haki kwa sababu ni precedent mbaya sana.Mkuu yule alijiua baada ya maelekezo ya Rais kutokuheshimiwa na kwa bahati mbaya Rais aliyetoa maelekezo alifariki na kuliacha Jambo bado halijatekelezwa. Sasa Kama Mtu alifikisha kesi yake kwa Rais wa Nchi utamlaumu Nini?. Its unfair tu jamaa akaona hawezi kuhimili msingi akaona ajiue.
Kuhusu Jambo langu tumeenda mpaka polisi Tena Hadi ngazi ya RCO wa Mkoa kupeleka ushahidi na baadae kufungua jalada. Nimepeleka ushahidi Hadi kwa mbunge wangu amfikishie Waziri Mkuu aone jinsi wananchi wanavyoteswa ila hola. Kila mtu kimya. Nimepeleka ushahidi kwa ofisi nyeti ya upelelezi wakakimbia kwa kumuogopa huyo tapeli.
Kilichobakia ni nini? Kama umechukua hatua zote na bado vyombo vya Dola havichukui hatua. Ni Bora kuweka mambo wazi ili seriklia ijisahihishe.
Uthubutu tu wa kuanzisha jambo binafsi naona unasaidia sana kuliko kutokufanya. Makonda endelee tu bila kujali limevuka mipaka gani, maana hao wenye mipaka yao hawafanyi kitu.Kwa binadamu yeyote anayetamani kuona Tanzania inapiga hatua ya maendeleo katika kila nyanja, basi bila shaka atakuwa anafurahishwa na jitihada za Makonda katika kutatua kero za wananchi.
Makonda ni mbunifu sana. Popote alipo lazima watu wamsikilize. Na hii ni kutokana na yeye mwenyewe kupenda kusikiliza.
Uenda asifanikiwe kwenye kila analolianzisha. Ila nia yake daima huwa ni njema. Dunia ni ngumu sana. Kuna watu wana nguvu na wanafanya kila wawezalo kukwamisha maendeleo kwa maslahi yao binafsi.
Makonda ni mpambanaji, mbunifu, msikivu, mpenda haki.
Mfumo wa mahakama ufumuliwe.Mfumo wa haki Tanzanian ni changamoto sana.wasimamizi wa haki nao ni matapeli.
Njia sahihi ni watu wote kufuata utaratibu wa kimahakama au usuluhishi wa wanasheria kupata haki zao, ni jambo baya sana kuvigeuza vyombo vya dola kuwa wagawa haki, hiyo ni mifumo ya Kangoroo courts.Kulalamika hadharani ni njia bora zaidi kama mifumo imesinzia!! Inamuumbua mhusika lakini pia inaziamsha mamlaka!! Unawezaje kuiona kwamba hii siyo njia sahihi bila kuwa hata na suluhisha kama wewe pia SIYO TAPELI?? Sisi mnaotutapeli kila siku anatufariji sana Makonda
Hizo Kangoroo courts zinaweza kutuliza mambo kwa muda mfupi tu ila huwa zinaweza kugeuka na kuwa mwiba mkali.Mkuu nakubali unachosema. Ila kwa Sasa tupo desperate hivyo ni Bora atakaye tusaidia hata robo au nusu kuliko ambaye hawezi kutusaidia.
Makonda amesema ni ngumu kupata haki mahakamani, anajua ni kwa kiwango gani mahakama zimeoza. Hivyo ametumia udhaifu huo kupatia kiki, badala ya kuhakikisha mahakama zinafanya Kazi kwa usahihi!Vyombo vya dola sio wagawa haki, mahakama pekee ndio kinapaswa kuwa chombo cha ugwaji haki na maamuzi ya nani ana haki. Kinachopaswa kufanyika ni mfumo wa Mahakama uboreshwe watu wasikimbile vyombo vya dola kupata haki kwa sababu ni precedent mbaya sana.